Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Mkuu kabla ya kutaka kupora Bandari ulishasikia mtu anawataja DPW?

Msijifiche kwenyw hoja dhaifu haitawasaidia nyie vibaraka.

Ukoloni ni mbaya sana

Mwarabu aliwafanya kuwa watumwa lakini hadi leo mnamwabudu
Leta ushahidi kuwa mwarabu alileta utumwa hapa.
Usilete picha za kuchora.
Bring historical facts.

Msituletee utumbo mliolishwa na wazungu. Mkawachukia waarabu bure tu.
Leo hii kuna waarabu website kuliko wewe ambao vizazi vyao vimeanza hata kabla yesu hajazaliwa.
Au unataka tubadili Uzi?
 
Mtanzania gani mwenye elimu yenye mashiko na asie mfia dini au mpenda wazungu ameukataa huu mkataba?
Usilete habari ya kina lissu na Huyo muhaini SLAAA au wale vibaraka wa wazungu ndani ya CCM.
KABLA Hujapinga kitu tumia muda kidogo kuisoma Profile ya hio Kampuni inayotaka kuwekeza hapa.

Hao ni Multi billion dollars company. Imewekeza kwenye bandari zaidi ya 40 na inafanya kazi hizo za bandari kwa miaka mingi kulikounavyofikiri wewe.

Jiulize. Je! Kampuni au nchi yenye sifa mbaya ya kukandamiza watu inawezaje KUKUBALIWA NA NCHI ZAIDI YA 40 DUNIANI KUWEKEZA KWAO?
Wewe ni lijinga.

Watu hatupingi Uwezo au ubora wa kampuni.

Watu Tunapinga kilichopo kwenye Mkataba.

Kila Mtanzania ana Dini, kwahiyo anapopinga swala hili, anapinga huku akiwa na Dini yake.

Wewe ulitaka mtu kabla ya kupinga, Ajikanae Hana Dini ndio apinge???.

Kwamba Mzee Butiku, Shivj, wasomi woooote Hawa wenye Akili na watu huru, Kwa pamoja, NI WAFIA DINI?.

hivi Unaakili, nyie waislam Huwa ni wapuuzi sana ,Kila kitu mnahusisha na dini
 
Kwa kifupi serikali ya CCM hipo kwa sababu roma hawajai hikataa .
 
Leta ushahidi kuwa mwarabu alileta utumwa hapa.
Usilete picha za kuchora.
Bring historical facts.

Msituletee utumbo mliolishwa na wazungu. Mkawachukia waarabu bure tu.
Leo hii kuna waarabu website kuliko wewe ambao vizazi vyao vimeanza hata kabla yesu hajazaliwa.
Au unataka tubadili Uzi?
Uhainiiiii......pambaneni sasa. Mnaulizwa mkatana una muda wa miaka mingapi.....naanza porojo za udini badala ya kujibu.
 
Tafakuri Tunduizi kuhusu tamko la Maaskofu

Tamko la maaskofu linesema SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU mimi nawakumbusha tu ya KAIZARI AACHIWE KAIZARI na ya MUNGU APEWE MUNGU

Nimelisoma TAMKO LA MAASKOFU na mimi nimeona mambo haya

Mimi nlichoona:
Badala ya kutoa maoni kwamba mkataba urekebishwe (kitu ambacho watanzania walio wengi ndio wanachotaka) tamko linataka huu mkataba uachwe kabisa, yani usiendelee hapa KANISA LIMEIBGILIA SERIKALI kutimiza wajibu wake maana wameipa amri serikali iachane mara moja na huu mkataba ikiwa serikali itauacha huu mkataba wa uwekezaji ni dhahiri kuwa ile kauli ya ALMARHUM SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU rahimallahu kuwa nchi hii KANISA LINA NGUVU KULIKO SERIKALI na hapo ndipo MFUMO KRISTO UNADHIHIRI kwa kuonesha nchi hii inaendeshwa na KANISA

Cha pili: Tamko linataka Bandari tuiendeshe wenyewe, kimsingi na kwa spidi ya sasa kama watanzania bado hatuwezi kuendesha bandari na kufikia viwango hitajika

Cha Tatu: ukiangalia namba 4, tamko linasema “ tukiweka ubia na makampuni yenye ubobezi wa kiteknolojia kutoka sehemu mbalimbali duniani, na sio ubia kutoka nchi moja, tukiweka mikataba yenye tija”..

Hii inamaanisha bado tunahitaji uwekezaji.. sasa tamko linaposema sio uwekezaji wa nchi Moja, kwani Ticts ilikuwa ya nchi ngapi? Si walikuwa wachina pekee? , na tamko linaposema nchi mbali mbali duniani, Dubai(UAE) si ni mojawapo ya nchi zilizopo duniani kama ilivyokuwa China kuendesha Ticts kwa miaka 30?

Hili tamko nadhani lingesema vipengele vya mkataba viwekwe sawa.

Na linapokuja swala la ubobezi, Hata huko Europe na Marekani wanamtumia huyohuyo DP sasa sijui tamko linataka ubobezi gani?!

Kingine, tamko linaposema makampuni ya ndani binafsi ndo yaingie ubia na wawekezaji wa nje, tayari serikali imeshapoteza, wakati sekta kama hizi lazima serikali yenyewe iingie makubaliano na mwekezaji moja kwa moja ili kuwe na direct control, kuliko kupitia kwa kampuni binafsi

Mwisho bila kupepesa maneno, hili tamko halimtaki Mwarabu awekeze, ila kwa kusema “ kutoka sehemu mbali mbali duniani” ni dhahiri kwamba ingekuwa ni nchi ambayo haitoki ukanda wa mashariki ya kati kama Ulaya, basi hili tamko lisingetoka, kama ambavyo halikutoka kwenye mikataba mibovu ya madini, ununuzi wa ndege, na mikataka mingine mibovu. Nadhani baraza la MAASKOFU wanataka kutwambia kuwa itakuwa vizuri zaidi mwekezaji akitoka Vatican au Ulaya na iwe kampuni ya Wazungu Wakristo ila tu wamejificha nyuma ya kichaka wanachokijua wao,

Hapa kanisa limekumbuka kauli ya SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU ila wamesahau ya

Kaizari aachiwe kaizari na ya Mungu apewe Mungu

Hebu turudi nyuma kwenye historia Kanisa ndani ya nchi hii linapata wapi Moral authority wakati kanisa hilo haohao TEC na CCT walisaini mkataba na serikali 1992 wa kula mabilioni ya PESA maarufu kwa jina la MoU

Mkataba wenye masharti magumu tu kuwa kulipo na hospitali za kanisa serikali isijenge za kwake ipeleke wafanyakazi hapo na mishahara ya hizo hospitali za kanisa itoke serikalini hii ni hatari sana

Serikali imeanza kujenga hospitali zake kila wilaya hili kwao limekuwa tatizo kubwa sana

Hebu tujikumbushe machache kuhusu KANISA NA KADHIA MBALIMBALI ZA TANZANIA

Tutakwenda hivi kwa amri ya Maaskofu hadi lini?

Maaskofu hawaitaki historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika kwa kuwa inawaweka Waislam juu, historia hii ikafutwa.

Ushahidi upo.

Maaskofu hawakuitaka East African Muslim Welfare Society (EAMWS) matokeo yake ikapigwa marufuku kwa amri ya serikali mwaka wa 1968 kwa kuwa ilikuwa inajenga Chuo Kikuu cha Waislam.

Ushahidi upo.

Maaskofu hawakupenda kuona Waislam wanaelimika zikafanywa kila aina ya mbinu kuhakikisha kuwa watoto wa Waislam hawapati elimu ya sekondari wala Chuo Kikuu.

Ushahidi upo.

Maaskofu hawakutaka Organisation of Islamic Conference (OIC) ijenge Chuo Kikuu Tanzania katika miaka ya 1970 na kweli chuo hakikujengwa.

Chuo kikapelekwa kujengwa Mbale, Uganda.

Maaskofu wakakataa Zanzibar kujiunga na OIC na haikujiunga.

Ushahidi upo.

Maaskofu wamekataa kuzirejesha Mahakama za Kadhi zilizovunjwa mwaka wa 1963 na mahakama hakika hazikurejeshwa.

Ushahidi upo.

Yapo mengi lakini tutafakari haya kwa sasa.

Tanzania hii itaendeshwa kwa matakwa ya Maaskofu hadi lini?

JE NCHI HII BAADA YA KUSAINI MoU mwaka 1992 na makanisa ndio makanisa yamepata idhini ya kuiendesha Tanzania?

Na huu ndio MFUMO KRISTO UNAVYOENDESHA TANZANIA

WATANZANIA WENZANGU

Nawaasa tuiache serikali ifanye kazi yake ina vyombo vyake na wataaalamu wake tuliheshimu bunge na serikali katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa Watanzania

Sisi Watanzania WAZALENDO wenye nchi hii tunasema

Kazi iendeleeeeeeee

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni lijinga.

Watu hatupingi Uwezo au ubora wa kampuni.

Watu Tunapinga kilichopo kwenye Mkataba.

Kila Mtanzania ana Dini, kwahiyo anapopinga swala hili, anapinga huku akiwa na Dini yake.

Wewe ulitaka mtu kabla ya kupinga, Ajikanae Hana Dini ndio apinge???.

Kwamba Mzee Butiku, Shivj, wasomi woooote Hawa wenye Akili na watu huru, Kwa pamoja, NI WAFIA DINI?.

hivi Unaakili, nyie waislam Huwa ni wapuuzi sana ,Kila kitu mnahusisha na dini
Hao wahuni wakurupukaji tu. Walidhani sera ya udini itawabeba.
 
Mkuu, National Anthem ,

"The Catholic church is not powerful as it used to be, but also not weak as some may presume."

Mimi siyo mkatoliki, lakini huu ukweli naufahamu vizuri sana. Siasa ambazo zimekuwa zikiendelea hapa nchini kwa miezi kadhaa iliyopita zinaenda kusababisha matatizo makubwa hapa nchini. Kiufupi sidhani hata kama vyombo vyetu vya usalama vimejidhatiti kukabiliana nazo.

Siasa hizi zimefanywa na wanaojiita machawa na wafuasi wa Raisi waliopo ndani ya mfumo, chama na taasisi za kidini. Hatari kubwa ni kwamba Raisi mwenyewe alipoziona zinaendelea hakuonyesha kukerwa nazo au kuzikemea. Angekuwa anafahamu walau siasa, angetoka hadharani kujifanya anazikemea ilhali anakubaliana nazo, mambo yasingekuwa hivi leo.

Nikipe mfano halisi wa hiki nachokisema. Mwaka 1970 wakati wa vita vya Kagera kuna mama mmoja wa kihindi aliandika hivi kwenye moja ya gazeti la Serikali "The Arabs Are Arming Amin". Akimaanisha kwamba waarabu wanamuunga mkono Iddi Amin. Mwalimu Nyerere alikereka sana na ile kauli na kumfukuza yule mama. Alisema kwamba hata kama PLA na Libya wanamuunga mkono Amin, haimaanishi kwamba Waarabu wote ndiyo wanafanya hivyo. Mzee aliogopa kwamba mwishowe hilo suala lingezua hisia hasi dhidi ya waarabu wote hata waislamu.

Leo hii wanaomtetea Raisi Samia wanatoa hoja kwamba Raisi anapingwa kwasababu ya uislamu wake. Wengine wanaenda mbali wakisema kila anayempinga Raisi ni Mkatoliki au ameajiriwa na Karamagi. Kauli kama hizi Raisi alitakiwa azikemee mapema kabisa zilipoanza kuzungumzwa, lakini akaamua kunyamaza kwasababu anakubaliana nazo (Complicity) na zinamfaidisha kisiasa. Alichokikemea ni zile kauli za uzanzibari wake ila siyo udini. Hapa pananifanya niwaze sana.

Hatari ipo hapa: Huu walaka unaonesha kuwakera sana wafuasi wa dini ya kiislamu ambao wengi wao wanaamini kwamba Raisi Samia anaonewa kwasababu ya uislamu wake. Ila unanekana kuwafurahisha sana wafuasi wa Kanisa Katoliki. Tatizo linaanza pale ambapo siku chache zijazo utasikia viongozi waandamizi wa dini ya kiislamu wakianza kuja hadharani kumtetea Raisi Samia kwasababu ni mwenzao. Ila pia wakati Raisi Magufuli analeta taharuki kubwa nchini, TEC hawakuwahi kuandika walaka kama huu. Hapa unadhani nini kikatokea ???

Wakatoliki nao wataanza kuhubiri hizi siasa huko makanisani, na haitaishia kwa wakatoliki peke yao. Itaenda kwa Walutheri, Wamoravian hadi Walokole. Jambo ambalo lilitaka kutokea mwaka 2010-2015 lakini likadhibitiwa mapema. Mwaka 2023-2025 ndiyo limeshatokea, na mpaka sasa hakuna upande ambao unakubali kushindwa. Tulipofika ni kwambna, serikali ikitaka hata kuwashughulikia wahalifu ambao kweli wamevunja sheria, suala la dini litaingia kwa kasi.

Dr Slaa ataonekana anaonewa kwasababu ni Mkristo aliyewahi kuwa Padri na siyo kwasababu ameongea kauli tata ya kisiasa. Mahali tulipofika ni kwamba taifa limeshagawanyika sana, na watanzania kuja kuaminiana na kupendana tena kama zamani, itatuchukua muda sana. Tatizo kama hili, siyo TISS, TPDF au TANPOL wanaweza kulitatua. Kwenye lugha ya kisiasa tunasema "Both sides have crossed the Rubicon" hakuna kurudi nyuma.
 
Tafakuri Tunduizi kuhusu tamko la Maaskofu

Tamko la maaskofu linesema SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU mimi nawakumbusha tu ya KAIZARI AACHIWE KAIZARI na ya MUNGU APEWE MUNGU

Nimelisoma TAMKO LA MAASKOFU na mimi nimeona mambo haya

Mimi nlichoona:
Badala ya kutoa maoni kwamba mkataba urekebishwe (kitu ambacho watanzania walio wengi ndio wanachotaka) tamko linataka huu mkataba uachwe kabisa, yani usiendelee hapa KANISA LIMEIBGILIA SERIKALI kutimiza wajibu wake maana wameipa amri serikali iachane mara moja na huu mkataba ikiwa serikali itauacha huu mkataba wa uwekezaji ni dhahiri kuwa ile kauli ya ALMARHUM SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU rahimallahu kuwa nchi hii KANISA LINA NGUVU KULIKO SERIKALI na hapo ndipo MFUMO KRISTO UNADHIHIRI kwa kuonesha nchi hii inaendeshwa na KANISA

Cha pili: Tamko linataka Bandari tuiendeshe wenyewe, kimsingi na kwa spidi ya sasa kama watanzania bado hatuwezi kuendesha bandari na kufikia viwango hitajika

Cha Tatu: ukiangalia namba 4, tamko linasema “ tukiweka ubia na makampuni yenye ubobezi wa kiteknolojia kutoka sehemu mbalimbali duniani, na sio ubia kutoka nchi moja, tukiweka mikataba yenye tija”..

Hii inamaanisha bado tunahitaji uwekezaji.. sasa tamko linaposema sio uwekezaji wa nchi Moja, kwani Ticts ilikuwa ya nchi ngapi? Si walikuwa wachina pekee? , na tamko linaposema nchi mbali mbali duniani, Dubai(UAE) si ni mojawapo ya nchi zilizopo duniani kama ilivyokuwa China kuendesha Ticts kwa miaka 30?

Hili tamko nadhani lingesema vipengele vya mkataba viwekwe sawa.

Na linapokuja swala la ubobezi, Hata huko Europe na Marekani wanamtumia huyohuyo DP sasa sijui tamko linataka ubobezi gani?!

Kingine, tamko linaposema makampuni ya ndani binafsi ndo yaingie ubia na wawekezaji wa nje, tayari serikali imeshapoteza, wakati sekta kama hizi lazima serikali yenyewe iingie makubaliano na mwekezaji moja kwa moja ili kuwe na direct control, kuliko kupitia kwa kampuni binafsi

Mwisho bila kupepesa maneno, hili tamko halimtaki Mwarabu awekeze, ila kwa kusema “ kutoka sehemu mbali mbali duniani” ni dhahiri kwamba ingekuwa ni nchi ambayo haitoki ukanda wa mashariki ya kati kama Ulaya, basi hili tamko lisingetoka, kama ambavyo halikutoka kwenye mikataba mibovu ya madini, ununuzi wa ndege, na mikataka mingine mibovu. Nadhani baraza la MAASKOFU wanataka kutwambia kuwa itakuwa vizuri zaidi mwekezaji akitoka Vatican au Ulaya na iwe kampuni ya Wazungu Wakristo ila tu wamejificha nyuma ya kichaka wanachokijua wao,

Hapa kanisa limekumbuka kauli ya SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU ila wamesahau ya

Kaizari aachiwe kaizari na ya Mungu apewe Mungu

Hebu turudi nyuma kwenye historia Kanisa ndani ya nchi hii linapata wapi Moral authority wakati kanisa hilo haohao TEC na CCT walisaini mkataba na serikali 1992 wa kula mabilioni ya PESA maarufu kwa jina la MoU

Mkataba wenye masharti magumu tu kuwa kulipo na hospitali za kanisa serikali isijenge za kwake ipeleke wafanyakazi hapo na mishahara ya hizo hospitali za kanisa itoke serikalini hii ni hatari sana

Serikali imeanza kujenga hospitali zake kila wilaya hili kwao limekuwa tatizo kubwa sana

Hebu tujikumbushe machache kuhusu KANISA NA KADHIA MBALIMBALI ZA TANZANIA

Tutakwenda hivi kwa amri ya Maaskofu hadi lini?

Maaskofu hawaitaki historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika kwa kuwa inawaweka Waislam juu, historia hii ikafutwa.

Ushahidi upo.

Maaskofu hawakuitaka East African Muslim Welfare Society (EAMWS) matokeo yake ikapigwa marufuku kwa amri ya serikali mwaka wa 1968 kwa kuwa ilikuwa inajenga Chuo Kikuu cha Waislam.

Ushahidi upo.

Maaskofu hawakupenda kuona Waislam wanaelimika zikafanywa kila aina ya mbinu kuhakikisha kuwa watoto wa Waislam hawapati elimu ya sekondari wala Chuo Kikuu.

Ushahidi upo.

Maaskofu hawakutaka Organisation of Islamic Conference (OIC) ijenge Chuo Kikuu Tanzania katika miaka ya 1970 na kweli chuo hakikujengwa.

Chuo kikapelekwa kujengwa Mbale, Uganda.

Maaskofu wakakataa Zanzibar kujiunga na OIC na haikujiunga.

Ushahidi upo.

Maaskofu wamekataa kuzirejesha Mahakama za Kadhi zilizovunjwa mwaka wa 1963 na mahakama hakika hazikurejeshwa.

Ushahidi upo.

Yapo mengi lakini tutafakari haya kwa sasa.

Tanzania hii itaendeshwa kwa matakwa ya Maaskofu hadi lini?

JE NCHI HII BAADA YA KUSAINI MoU mwaka 1992 na makanisa ndio makanisa yamepata idhini ya kuiendesha Tanzania?

Na huu ndio MFUMO KRISTO UNAVYOENDESHA TANZANIA

WATANZANIA WENZANGU

Nawaasa tuiache serikali ifanye kazi yake ina vyombo vyake na wataaalamu wake tuliheshimu bunge na serikali katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa Watanzania

Sisi Watanzania WAZALENDO wenye nchi hii tunasema

Kazi iendeleeeeeeee

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
Uhainiiiii......pambaneni sasa. Mnaulizwa mkatana una muda wa miaka mingapi.....naanza porojo za udini badala ya kujibu.
Unafahamu maana ya mkataba(agreement)??

Hakuna mkataba usioandikwa expiry date.
Mnadanganywa na hao wafia dini na nyie mnabeba mazima.
Weka hapa kipande kibaya ktk huo mkatana km umeuona tukupe darsa.
Huu mwaka 2023 bado mnaambiwa vitu na wachungaji na mpk leo mmepigwa marufuku kuulixa swali lolote makanisani .

amkeni bandugu. Mtakufa hamjajua Michael ni nani.
 
Tanzania ni Secular Democracy hawa viongozi wa Dini wasilivuruge Taifa

Ndio Maana Wazungu wanazidi kuwa ma Atheist
Tulipowauliza mKataba una muda gani wakasema mnampinga kwa sababu ni mwislam.
Tundu Lissu akasema hawa watu wanajifivha kwenye udini badala ya kujibu hoja.

Wengine wakaenda mbali kupandikiza chuki za kidini na Uhaini.

Haya sasa wapambanw uwanja huo hapo.
 
Back
Top Bottom