Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Wakatoliki ndo hawataki mkataba na Dpworld kisa ni waarabu waislam...
Hakuna cha kasoro za mkataba zirekebishwe wala Mahakama imesema mkataba hauna shida...

Wako very very clear....
Only watu wajinga ndo watajifanya hawajaelewa
DP World watakuwa kama Azam? Kama watakuwa kama Azam Bora wasije kabisa aiseeee maana wakristo ndo itakuwa bye bye
 
Bunge limeridhia, Mahakama Kuu imeridhia Serikali kanyaga twende maaskofu wasitubabaishe.wakachunge kondoo huko
 
Ni nchi ya kuchekeana tu, watu hawana utaalamu wowote wa sheria halafu wanatishia nyau serikali.

Pili lipo wazi Dr.Slaa hawezi siasa wala hana huo ushawishi, kitu pekee anachoweza ni kukimbilia kanisani na kutafuta mmoja wa kushawishi wengine kuja na matamko ya kipuuzi kama hayo.

Tatu watu wa mungu Tanzania huwa wanakaa chonjo ni waoga, ila wanapoona kiongozi wa nchi ni dhaifu ndio wanaleta fujo.

Nne hapo hakuna good intentions ni raisi wa nchi katishiwa hadharani; na asipo jibu mapigo mbele giza.

Siasa za Tanzania watu wa mitandaoni wanaweza soma mchezo na ku-analyse future trends kuliko huko serikalini. Labda wale wanaosema werevu wa Tanzania wapo nje ya ulingo wa siasa wana hoja.
Afrika hakuna demokrasia, demokrasia zote Africa ni chochoro za kupitisha agenda za wakoloni kwetu. Mtu maskini na asiyekuwa na elimu ya kutosha huwezi kumpatia demokrasia.
 
Hahaaaaa... tulia jielimishe. Sio wa huko lkn hilo sio hoja. Jibu hoja zake
Hana hoja zaidi ya kutaka kuleta fujo tu.

Unasikiliza wananchi wanaufahamu gani kuhusu sheria.

Mengine ndio yale yale ya Mwabukusi na wapingaji wengine; na yashajibiwa na serikali.

Yaani wao sio mwanasheria halafu wanabishia mambo ya sheria; wakati nchi ina mahakama.

Ni Tanzania tu hayo mambo yanawezekana; ila siku kanisa likithubutu kuingilia siasa nchi za wenzetu hell will break loose watapigwa attack na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi, watachezea attack ya wanasiasa wa pande zote, watapigwa attack na political analysts, utaitwa polisi kuiljieleza una malengo gani. Mwisho wa siku huwa wenyewe wanaomba msamaha yaishe.

Hizi dini zipo kuharibu nchi za africa tu na third world, lakini huko walipoendelea hawathubutu kuongelea mambo ya siasa; kidogo marekani kwenye uchaguzi labda. Lakini Europe hawathubutu, vinginevyo tia pua yako utajuta, huo ugomvi utaisha kwa wahusika kuomba msamaha watake wasitake.
 
Afrika hakuna demokrasia, demokrasia zote Africa ni chochoro za kupitisha agenda za wakoloni kwetu. Mtu maskini na asiyekuwa na elimu ya kutosha huwezi kumpatia demokrasia.
Ni mfumo mchanga tuna copy mambo bila ya ufahamu huko kwao inafanya kazi vipi.
 
Italian mafia..
Wana kusanya sadaka wanawapelekea wazungu ...
Kazi kulazimisha serikali iwalipie mishahara wafanyakazi wao kwenye hospitali zao ...na Ku demand misamaha ya Kodi Kwa biashara zao...
Maslahi ya Vatican ndo wanapigania
Sikia hata waislam kuna fungu hupelekwa vatican, kwa kifupi vatican inadhibiti kila kitu katika ulimwengu huu kasoro pumzi tu.
 
Wakatoliki ndo hawataki mkataba na Dpworld kisa ni waarabu waislam...
Hakuna cha kasoro za mkataba zirekebishwe wala Mahakama imesema mkataba hauna shida...

Wako very very clear....
Only watu wajinga ndo watajifanya hawajaelewa
Bahati nzuri serikali, bunge na mahakama wameupitisha, na utekelezaji unaendelea, zimebaki porojo TU za maoni binafsi. Kwakuwa Dr. Slaa alikuwa katibu wa TEC basi analitumia vibaya kabisa.
 
Mtoa Post uelewe kuwa ni kweli Mbunge ni Mwakilishi wa wananchi, lakini haruhusiwi kuvunja katiba kwa sababu eti tulimpitisha atuwakilishe.

Yaani arekebishe katiba mgeni awe wa kwanza kumiliki Ardhi ( and its Sovereignty) kwenye nchi ambayo katiba yenyewe ilishakataa.

Usiwachukulie watu wanakupenda eti kwa sababu wao ni wa imani ya kidini kama ya kwako.
Ni Ushamba wa kihisia.

Tafuta mwekezeji anayekubali masharti yako pia kwa sababu na wewe unatoa kitu cha thamani, siyo awe kama vile anatoa yeye, wewe unapokea tu.
Mbaya zaidi anakupatia Service tu.
 
Kwanza ujue Biden ni mkatoliki hawezi pingana na maaskofu wa Tanzania
 
Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na serikali yetu ni ya kidemokrasia inayotokana na watu wenyewe kwa mujibu wa Katiba yetu.

Nchi Ina mihimili 3 ya serikali, bunge (wananchi) na mahakama. Kati ya mihimili hii 3 wananchi bila kujali umri, jinsia na dini zao wanawakilishwa na wabunge wao wa majimbo katika kufanya maamuzi kuhusu wao.

Baraza la Maaskofu limesika likitoa matamko na maazimio kuhusu uwwkezaji kwenye bandari, Huku likisema wananchi wengi hawaupendi mkataba wa ubinafsishaji wa bandari. Hao wananchi ni akina nani, wako wangapi na wamekutana wapi kuwauliza maoni Yao? Nchi Haina dini, tukutane kwenye kampeni za uchaguzi na kisanduku chakula kama Kuna mwenye njia/sera mbala ya namna ya kuindesha nchi badala ya kikundi Cha watu kutaka kuwasemea wananchi wote nchini kitapeli.

Jambo lolote na hoja yoyote haiwi na nia njema kama ikichanga maneno kama Tanganyika, Zanzibar, watanganyika, wazanzibar, waisilamu, wakristo, wazayuni, Wazungu, au Waarabu. Maneno haya ni hatari sana kusikika majumbani, mtaani, kazini na kwenye taasisi mbalimbali. Ukiyasikia yaepuke na yazimwe kwa gharama yoyote ile ili yasiote, kumea na kuzaa mbegu.

Tutailinda Katiba
Mkuu

Ujasusi wa kitaifa hufuata KATIBA na sheria!

Ujasusi wa kidola haufuati sheria za nchi na taratibu zake,kile wanachoamua hata kama ni kukuziba pumzi wewe ni SHERIA rasmi na inatekelezwa!

Hao JAMAA ni sehemu ya ujasusi wa kidola Katika nchi yetu !

Hivyo tu Mkuu!!!

Mambo mengine yaelewe tu kuwa hao JAMAA wasiooa wakaao mision sio watumishi wa mungu bali watumishi wa dola itawalayo Dunia nzima!!!

Hivyo tu!!
 
Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na serikali yetu ni ya kidemokrasia inayotokana na watu wenyewe kwa mujibu wa Katiba yetu.

Nchi Ina mihimili 3 ya serikali, bunge (wananchi) na mahakama. Kati ya mihimili hii 3 wananchi bila kujali umri, jinsia na dini zao wanawakilishwa na wabunge wao wa majimbo katika kufanya maamuzi kuhusu wao.

Baraza la Maaskofu limesika likitoa matamko na maazimio kuhusu uwwkezaji kwenye bandari, Huku likisema wananchi wengi hawaupendi mkataba wa ubinafsishaji wa bandari. Hao wananchi ni akina nani, wako wangapi na wamekutana wapi kuwauliza maoni Yao? Nchi Haina dini, tukutane kwenye kampeni za uchaguzi na kisanduku chakula kama Kuna mwenye njia/sera mbala ya namna ya kuindesha nchi badala ya kikundi Cha watu kutaka kuwasemea wananchi wote nchini kitapeli.

Jambo lolote na hoja yoyote haiwi na nia njema kama ikichanga maneno kama Tanganyika, Zanzibar, watanganyika, wazanzibar, waisilamu, wakristo, wazayuni, Wazungu, au Waarabu. Maneno haya ni hatari sana kusikika majumbani, mtaani, kazini na kwenye taasisi mbalimbali. Ukiyasikia yaepuke na yazimwe kwa gharama yoyote ile ili yasiote, kumea na kuzaa mbegu.

Tutailinda Katiba

Halina, ila baada kauli yao kesi ya uhaini imekufa?

Hivi unafikiri Mange Kimbani ana haki gani kikatiba?

Ila akiongea kitu Tanzania nzima inasikia mda mfupi?

#influence, #followers, #% of population.
 
Hana hoja zaidi ya kutaka kuleta fujo tu.

Unasikiliza wananchi wanaufahamu gani kuhusu sheria.

Mengine ndio yale yale ya Mwabukusi na wapingaji wengine; na yashajibiwa na serikali.

Yaani wao sio mwanasheria halafu wanabishia mambo ya sheria; wakati nchi ina mahakama.

Ni Tanzania tu hayo mambo yanawezekana; ila siku kanisa likithubutu kuingilia siasa nchi za wenzetu hell will break loose watapigwa attack na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi, watachezea attack ya wanasiasa wa pande zote, watapigwa attack na political analysts, utaitwa polisi kuiljieleza una malengo gani. Mwisho wa siku huwa wenyewe wanaomba msamaha yaishe.

Hizi dini zipo kuharibu nchi za africa tu na third world, lakini huko walipoendelea hawathubutu kuongelea mambo ya siasa; kidogo marekani kwenye uchaguzi labda. Lakini Europe hawathubutu, vinginevyo tia pua yako utajuta, huo ugomvi utaisha kwa wahusika kuomba msamaha watake wasitake.
Jibu basi hizi hoja

Hoja 8 muhimu za TEC

14. Ibara zifuatazo za Mkataba huu zina matatizo yatakayosababisha nchi kutofikia uhuru wa kiuchumi (economic independence):

14.1. Ibara ya 2 (1): inayohusu lengo la Mkataba huu ambalo ni kuweka utaratibu unaoibana Tanzania kisheria katika kuendeleza, kuboresha na kuendesha bandari zote za bahari na maziwa, maeneo maalum ya uwekezaji, maeneo ya usafirishaji wa mizigo, na maeneo mengine ya kiuchumi.

14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.

14.3. Ibaraya 5: ambapo DPWorldimepewa haki ya kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi pekee yake, wakati Tanzania inabaki na wajibu wa kumwezesha kufurahia haki hiyo.

14.4. Ibaraya 6:inayoitaka Tanzania kuwajibika kuipatia DP World vibali na vivutio vya kutekeleza miradi yake kama Serikali. Hii inapingana na baadhi ya sheria za kiutaratibu.

14.5. Ibaraya 7: inayoitaka Serikali kuwajibika kutoa mamlaka yanayotakiwa na mwekezaji bila ucheleweshaji.

14.6. Ibaraya 8: Haki ya kutumia ardhi ambapo Mkataba unasababisha uvunjifu wa sheria za ardhi na sheria zinazohusu masuala ya ardhi.

14.7. Ibaraya 10: Usiri wa Mkataba ambapo Mkataba unazuia mamlaka nyingine kama TAKUKURU /BUNGE kufuatilia mikataba.

14.8. Ibara za 23 na 24: zenye ugumu wa kujitoa kwenye Mkataba
 
Italian mafia..
Wana kusanya sadaka wanawapelekea wazungu ...
Kazi kulazimisha serikali iwalipie mishahara wafanyakazi wao kwenye hospitali zao ...na Ku demand misamaha ya Kodi Kwa biashara zao...
Maslahi ya Vatican ndo wanapigania
Mkuu naona hoja zako zinadunda dunda hazijatulia kabsa,jaribu kupinga hoja za TEC
 
Hakuna hoja hapa.

Sasa mimi kukujulisha wewe fursa zilizopo kuna shida gani? Kama kipengele kingeandikwa nitawajibika kukupq fursa hapo ndo kuna shida. Kumjulisha mtu fursa zilizopo shida iko wapi? Na sheria ipi imevunjwa hapo? Sheria ya manunuzi haiongelei kama mtu akijulishwa fursa zilizopo basi taratibu za manunuzi zimevunjwa!

Hiyo 2(1) inaweka utaratibu unaoibana vipi serikali? Maana hakuna kitu kinachoibana Serikali kwenye icho kipengele

Ibara ya 6 haipingani na Sheria yeyote! Wangeitaja iyo sheria wangekuwa na hoja

Ibara ya 7 ina shida gani? Maana hivyo ndo dunia inavyoenda. Wanataka wawekezaji wacheleweshewe vibali? Hawa jamaa hamnazo kabisaaa!! Na nahisi pia wanachangia sana kuhamasisha ukiritimba kwenye serikali yetu.

Haki ya Kutumia ardhi ina shida gani?? Kama wangepewa exclusive right of ownership( haki ya umiliki) hapo at least wangekuwa na hoja! Sasa haki ya kutumia inashida gani? Hawa jamaa sio wazima kwa kweli
Tunaoiamini serikali, bunge na mahakama tupo wengi pia ingawa sijui tuko wangapi hasa, hivyo kusitokee mtu au kikundi Cha watu kuzuia serikali isitutendee mazuri kwa mujibu wa Katiba.

Bahati mbaya au nzuri hii katiba ni ileile ya Mwl. Nyerere, Mkapa na Magufuli, wakatoliki wenzao. Samia hajatunga katiba nyingine. Wacha aitumie kuinyoosha nchi.
 
Kweli kabisa
 
Hoja 8 muhimu za TEC

14. Ibara zifuatazo za Mkataba huu zina matatizo yatakayosababisha nchi kutofikia uhuru wa kiuchumi (economic independence):

14.1. Ibara ya 2 (1): inayohusu lengo la Mkataba huu ambalo ni kuweka utaratibu unaoibana Tanzania kisheria katika kuendeleza, kuboresha na kuendesha bandari zote za bahari na maziwa, maeneo maalum ya uwekezaji, maeneo ya usafirishaji wa mizigo, na maeneo mengine ya kiuchumi.

14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.

14.3. Ibaraya 5: ambapo DPWorldimepewa haki ya kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi pekee yake, wakati Tanzania inabaki na wajibu wa kumwezesha kufurahia haki hiyo.

14.4. Ibaraya 6:inayoitaka Tanzania kuwajibika kuipatia DP World vibali na vivutio vya kutekeleza miradi yake kama Serikali. Hii inapingana na baadhi ya sheria za kiutaratibu.

14.5. Ibaraya 7: inayoitaka Serikali kuwajibika kutoa mamlaka yanayotakiwa na mwekezaji bila ucheleweshaji.

14.6. Ibaraya 8: Haki ya kutumia ardhi ambapo Mkataba unasababisha uvunjifu wa sheria za ardhi na sheria zinazohusu masuala ya ardhi.

14.7. Ibaraya 10: Usiri wa Mkataba ambapo Mkataba unazuia mamlaka nyingine kama TAKUKURU /BUNGE kufuatilia mikataba.

14.8. Ibara za 23 na 24: zenye ugumu wa kujitoa kwenye Mkataba
Hapa ndo Cornerstones
 
Back
Top Bottom