Katika kusikiliza Tamko lililotolewa na TEC, Nimegundua kuna kaudini flani katika haya maswala wanayoyapinga na hili litapelekea Taifa kugawanyika katika upande wa dini na kila mmoja kuanza kutetea upande wake.

Maana katika maelezo Mr Kitima anadai ataupigania msimamo wa MAASKOFU kwa gharama yeyote....hii sio kauli nzuri hasa ikiwa aliyetoa tamko ni kiongozi wa upande fulani wa dini, je mmetafakari haya matamko watu wa dini nyingine watayapokeaje?

Kuna sehemu anasema Miaka ya tisini waliwahi kutoa Tamko kuhusu maswala ya madini....mwaka 2017 ndio yakaja kufanyiwa marekebisho.

Unaona kabisa hapa Baraza linamaanisha kuwa katika utawala wa unaongozwa na muislamu/ waislamu ndio Kuna madudu yanafanyika. Miaka ya tisini alikuwa Mzee Ali Hassan Mwinyi Madarakani serikali ilifanya madudu kwenye sekta ya madini Kama ilivyo leo hii katika mkataba wa Dp world.

Utawala wa awamu ya 4 na ule mkataba wa miaka 100 mlijitokeza kupinga?

Serikali ya Jpm ilikuwa ikilaaniwa Sana kwa msimamo aliyokuwa nao lakini hata siku moja Baraza halikuwahi kutoa Tamko kupinga mwenebdo wa mwendazake. Je, ni kwanini iwe tu akisimama Muislamu Mambo yanakuwa sintofahamu.

Pia utawala wa awamu ya nne uliwahi kutokea mgogoro baina ya maaskofu na serikali (Rais) ikidaiwa Ni kuondoa ofisi ya kanisa iliyokuwepo ikulu na kuzuia mizigo iliyokuwa inapitishwa bandarini for free.

Kuna inshu ya serikali kuandaa mtaala mmoja wa elimu ya dini kwa dini zote Nchini tumeona Baraza la Maaskofu mpo kimya je mnaunga mkono dini mseto?

Na nani yupo nyuma ya hili? Maana haya ndiyo maswala ya kusimama na kukemea hadharani, naona ingekuwa busara kumfuata Rais na kufanya nae mazungumzo kuhusu mkataba huu na sio kutoka kupinga hadharani Kama Chama Cha siasa kilichoanzisha hizi kampeni.
 
Sasa hayo makundi ya waislam ya whtusp yanaongozwa na kina sheikh kipozeo na kina kitengeπŸ˜…πŸ˜…. Tumebakiza Balaza la wakristo CCt, akikaidi tutampeleka msobamsoba kizimkazi.
 
SASA MANENO YA WENGI AMBAYO NI YA MUNGU NI MKATABA UVUNJWE!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hizi mada zenu hamuwezi kubadili mode of writing walau kuwazuga wasomaji?
Mwambieni mwandishi wenu ajifunze kuwa msanii kwenye sanaa
 
NI MWENDO WA MATAMKO NA WARAKA TU,KATIBU MKUU WA AICT TANZANIA,NDG JOSE MTEBE,WAO WANAUNGA MKONO UWEKEZAJI UNAOENDELEA KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM,NIWAPE HONGERA KWA UTAMBUZI WA JUHUDI KUU ZINAZOFANYWA NA SEREKALI YETU.
 
Naomba kuwauliza wafuasi wa TEC kwa nini hoja iwe ni kuukataa mkataba wote wa uwekezaji na si kurekebisha vifungu?
Na kwanini wajikite kwenye kurekebieha na siyo kuukataa kimoja?!?! Kwanini unataka TEC wajikite kwenye kurekebisha?!
 
Huijui kauli ya Roma Brother!!
Kaa mkami wa kutulia!!
Zama za ubabe ni lazima tuziondoshe kwa makusudi kabisa,na tujenge taifa katika misingi ya usawa kwa wote ndani ya taifa letu..
-hizi akili za kutishana sijui mafia gang,ni very old stories!
 
 

Attachments

  • IMG_2047.MP4
    1.2 MB
 

Attachments

  • IMG_2047.MP4
    1.2 MB
IBARA 4 (2) ya mkataba huu wa Kimangungo inasema, iwapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari, inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai Tena kwa Mali zake? Ujinga huu ubaki CCM.
 
Wamejilipua kweli mpaka kuuweka wazi waraka wao. Kina Sheikh Ponda watakuja na waraka wao wa kuunga mkono uwekezaji bandarini na hapo pataibuka kutokuelewana kati ya dini hizi mbili.

Sioni kama ni hekima kwa TEC kuja na waraka muda huu huku wakifahamu kuwa waislam wanasimama na mheshimiwa SSH. Walichokifanya sio heshima kwa mamlaka ya juu ya nchi.
 

Mwendo wa waraka tu sasaπŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…