Katika kusikiliza Tamko lililotolewa na TEC, Nimegundua kuna kaudini flani katika haya maswala wanayoyapinga na hili litapelekea Taifa kugawanyika katika upande wa dini na kila mmoja kuanza kutetea upande wake.
Maana katika maelezo Mr Kitima anadai ataupigania msimamo wa MAASKOFU kwa gharama yeyote....hii sio kauli nzuri hasa ikiwa aliyetoa tamko ni kiongozi wa upande fulani wa dini, je mmetafakari haya matamko watu wa dini nyingine watayapokeaje?
Kuna sehemu anasema Miaka ya tisini waliwahi kutoa Tamko kuhusu maswala ya madini....mwaka 2017 ndio yakaja kufanyiwa marekebisho.
Unaona kabisa hapa Baraza linamaanisha kuwa katika utawala wa unaongozwa na muislamu/ waislamu ndio Kuna madudu yanafanyika. Miaka ya tisini alikuwa Mzee Ali Hassan Mwinyi Madarakani serikali ilifanya madudu kwenye sekta ya madini Kama ilivyo leo hii katika mkataba wa Dp world.
Utawala wa awamu ya 4 na ule mkataba wa miaka 100 mlijitokeza kupinga?
Serikali ya Jpm ilikuwa ikilaaniwa Sana kwa msimamo aliyokuwa nao lakini hata siku moja Baraza halikuwahi kutoa Tamko kupinga mwenebdo wa mwendazake. Je, ni kwanini iwe tu akisimama Muislamu Mambo yanakuwa sintofahamu.
Pia utawala wa awamu ya nne uliwahi kutokea mgogoro baina ya maaskofu na serikali (Rais) ikidaiwa Ni kuondoa ofisi ya kanisa iliyokuwepo ikulu na kuzuia mizigo iliyokuwa inapitishwa bandarini for free.
Kuna inshu ya serikali kuandaa mtaala mmoja wa elimu ya dini kwa dini zote Nchini tumeona Baraza la Maaskofu mpo kimya je mnaunga mkono dini mseto?
Na nani yupo nyuma ya hili? Maana haya ndiyo maswala ya kusimama na kukemea hadharani, naona ingekuwa busara kumfuata Rais na kufanya nae mazungumzo kuhusu mkataba huu na sio kutoka kupinga hadharani Kama Chama Cha siasa kilichoanzisha hizi kampeni.