Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Mkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima.

Sasa wanapodai wana mizizi kila kaya wanamtishia nani sasa?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Taasisi ya Urais inapovunjia heshima wengine ( taasisi zingine ( mhimili ) na wananchi wake ) napo inakuwaje ? Taasisi ya Rasi na Rais sio Mungu, wanakosea na wanapokosea wasemwe
 
Uneandika point kidogo na upumbavu mwingi,

Embu tell me why not USA ? Why Tanzania? Why walifukuzwa from USA??

We kichwa maji kinachopingwa hapa sio uwekezaji sawa, Kinachopingwa hapa ni mkataba mbovu.
Kichwa chako kipo na bullshit nyingi sana
The existence of people like you in Tanzania it's a reason why I don't even wish to stay longer in Tz.
My dear leta facts. Siyo sawdust. Huo ndo ukweli.
 
Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni move. Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.

Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity !

Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.

Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?

Mbona mnamwandama sana rais na serikali angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?

We are no longer under the yoke of Papacy regime.

Waprotestant tupo wengi tumaweza jisemea.
Naomba mkae kwa kutulia.

Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia.
Nimemaliza.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sasa si mseme, mmekatazwa?
 
848752f6e1340aab14d1acd1a8d481ac.jpg
 
Hujaelewa au?? Au kukaza fuvu!! Wametoa majibu kwa waumini wa katoliki, kwani hao wengine wamekatazwa kutoa maoni yao?
Kubali ukatae Kanisa katoliki lina watu wengi na ujumbe umewafikia waumini wao.


Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Na kesho waraka utasomwa katika makanisa yote ya kikatoliki Tanzania nzima wakatoliki wote watafahamu kinachoendelea nchini. Kuanzia parokia ya St.Joseph posta mpaka Parokia ya Bikira Maria kule Mkurusi Mbinga vijijini

Sent from my HUAWEI NMO-L31 using JamiiForums mobile app
 
My dear leta facts. Siyo sawdust. Huo ndo ukweli.
Fact zipi unahitaji ? Kua Dp world ilifikuzwa marekani , what else do you need?

Inawezekana hata mkataba huna?

Here you go kausome
 

Attachments

Papa huko Vatican ameridhia LGTB, amelaani sheria zinazowa kandamiza na kuwapa adhabu. Ametaka Mapadri kuwapokea. Tunasubiri tamko la TEC pia.

Wanapokelewa wezi na wauaji sembuse hao, Waovu ndio wanapokelewa ili wapate kuokoka
 
Sasa wewe badala ya kujisomea mwenyewe tamko la TEC, unaenda kusikiliza story vijiweni ndipo na wewe utoe mawazo yako😃
 
Mimi ni mkristo mkatoliki! Natoa maoni yangu kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya TZ.

1.With due respect, sijaona wazo la maana la TEC. There is NO substance in it. Dunia ya leo inajengwa na uwekezaji wa kimataifa(international investments). Hata China,Russia kuna uwekezaji mkubwa wa makampuni toka nje ya nchi. Tanzania siyo kisiwa. Lazima tuendane na sera za kiuchumi za dunia ya leo. Kuendesha mifumo ya uchumi mkubwa kama bandari, kijamaa tumeshindwa na tutaendelea kushindwa. Hata hii SGR tukisema iendeshwe kwa mifumo ya utumishi wa umma tutashindwa pia. Assets zenye sura ya kibiashara kama hii lazima ziendeshwe na private sector ili zilete faida na tija.
2. Findings za hao TEC ziko based on heresay. Wametumia axiom ya vox populi vox dei, Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.Je ni watanzania wangapi wanapinga uwekezaji huu wa DP World? Je kuna wakatoliki wangapi hapa nchini? Je wakatoliki wote wanaupinga mkataba huo? Je wakatoliki waliomo kwenye orodha za wakatoliki bado ni wakatoliki mpaka sasa?(Wengi wameshahamia kwenye ulokole).
Ukijibu maswahi hayo utaona maaskofu wa TEC hawana uhalisia kwenye waraka wao.Ni blah blah tu. No driving facts. It is just FALLACY OF GENERALIZATION. Findings zao hazina supporting data. Wamekurupuka!
3. DINI: Naona ni hofu za masilahi yao ya kidini, wala siyo tatizo la mkataba. Wazungu toka nchi za magharibi walipoingia mikataba ya kuiba madini ya watanzania, maaskofu wa TEC walikaa kimya!!! Leo wakati wa mkataba na waarabu ETI wanajitia kuandika waraka wakijipambanua ETI wazalendo,watetezi wa rasilimali za nchi. UWONGO mtupu!
4. Serikali haina dini na mambo yote ya dini yapo nje ya mifumo ya serikali(Ibara ya 19 ya katiba ya TZ,1977). Huo waraka wao hauna mashiko wala nguvu yoyote mbele ya Jamuhuri. Ni kama makaratasi ya kufungia maandazi tu! Hayo ni maoni yao kama maoni ya mtu yoyote yule.

CONCLUSION: Serikali iendelee na mchakato wa utekelezaji wa mkataba na DP World HARAKA SANA, ili kama taifa tuanze kunufaika na uwekezaji huo HARAKA. Serikali kikatiba ina mizizi mirefu sana na mikubwa sana, isiyumbishwe na kelele za chura ambazo ni nyepesi sana. Wananchi tuna hitaji pesa ipatikane ili tupate huduma bora za kijamii. Uwekezaji DP world ni LAZIMA ufanyike. Na ufanyike HARAKA iwezekanavyo. Serikali ina legitimacy ya kufanya maamuzi kwa niaba ya wananchi kwa sababu iliingia SOCIAL CONTRACT na wananchi kwa kushinda uchaguzi,2020.
Hakuna Mkatoliki Zuzu kama wewe. Sema tu unasubiri msaada wa Tende.
 
Uneandika point kidogo na upumbavu mwingi,

Embu tell me why not USA ? Why Tanzania? Why walifukuzwa from USA??

We kichwa maji kinachopingwa hapa sio uwekezaji sawa, Kinachopingwa hapa ni mkataba mbovu.
Kichwa chako kipo na bullshit nyingi sana
The existence of people like you in Tanzania it's a reason why I don't even wish to stay longer in Tz.
Walifukuzwa USA lini? Kivipi?
 
Back
Top Bottom