Mkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima.

Sasa wanapodai wana mizizi kila kaya wanamtishia nani sasa?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Taasisi ya Urais inapovunjia heshima wengine ( taasisi zingine ( mhimili ) na wananchi wake ) napo inakuwaje ? Taasisi ya Rasi na Rais sio Mungu, wanakosea na wanapokosea wasemwe
 
My dear leta facts. Siyo sawdust. Huo ndo ukweli.
 
Sasa si mseme, mmekatazwa?
 
Na kesho waraka utasomwa katika makanisa yote ya kikatoliki Tanzania nzima wakatoliki wote watafahamu kinachoendelea nchini. Kuanzia parokia ya St.Joseph posta mpaka Parokia ya Bikira Maria kule Mkurusi Mbinga vijijini

Sent from my HUAWEI NMO-L31 using JamiiForums mobile app
 
My dear leta facts. Siyo sawdust. Huo ndo ukweli.
Fact zipi unahitaji ? Kua Dp world ilifikuzwa marekani , what else do you need?

Inawezekana hata mkataba huna?

Here you go kausome
 

Attachments

Wanapokelewa wezi na wauaji sembuse hao, Waovu ndio wanapokelewa ili wapate kuokoka
 
Sasa wewe badala ya kujisomea mwenyewe tamko la TEC, unaenda kusikiliza story vijiweni ndipo na wewe utoe mawazo yako😃
 
Hakuna Mkatoliki Zuzu kama wewe. Sema tu unasubiri msaada wa Tende.
 
Walifukuzwa USA lini? Kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…