Kwa kuwa Tec inaupinga Mkataba wa Hovyo ndio maana Unasema hivyo je Tec ingeuunga Mkono ungesema hivyo? MAASKOFU ni Wananchi kama Wananchi wengine hii ni Nchi yao pia wana HAKI ya Kusema watakaloona lina TIJA kwa Nchi yao
 
Escrow ni neno linalotumika kumaanisha makubaliano ya kuhifadhi pesa sehemu fulani ili baadae aje kulipwa mtu fulani. Inaweza ikawa mmoja wenu au mtu mwingine ambaye sio baina ya pande mbili husika

Una swali lingine?
Je walilipwa walikuwa wanahusika?
 
Mwanasheria wa madrasa 🀣 🀣 🀣 🀣
Ndo unavojiqminisha? Ninavyosema mwanasheria nguli namaanisha mwanasheria nguli kweli.

Vyuo vvyote nilivyosoma ndani na nje ya Tz nimefaulu tena kwa viwango vya juu kabisa
 
Utatu mtakatifu na kanuni ya imani inasema hivyo.

Utatu Mtakatifu: Kiri ya Imani ya Kanisa: Baba, Mwana na Roho Mt.​

Mama Kanisa anakiri na kufundisha katika Mungu mmoja aliye katika Nafsi tatu, yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Kanisa linatufundisha kwamba mgawayiko huu wa Nafsi hujidhihirisha katika kazi zao: Mungu Baba Mwenyezi ndiye muumbaji, Mungu Mwana ni mkombozi na Mungu Roho Mtakatifu ni mfariji.
 
Ungejua ungefuta hii. Mpango, Chongolo, Wambura ni miongoni mwa watakaosomewa huo walaka jumapili tena hata CDF mstaafu Mabeyo yeye ni mwenyekiti wa jumuiya zote za kikatoliki Tanzania naye atasomewa ndio maana TEC wanajiamini
Wakatoliki wote watasomewa, wapo walio serikalini, ccm na vyama vyote, taasisi, bunge, baraza la mawaziri nk. Wataambi na viongozi wao... kama walitetea walitetea, walisaini, waliupigia kura, walihamasisha watu waukubali walikosea! Wataambiwa hivyo na hili sio dogo!
 
Mungu yupi huyo? baba, Mama, Mwana au Roho?

Mmechelewa jamvini, karamu imeshaliwa.

Hivi mnangoja mkataba wa kibiashara uanikwe kama IGA?

Hakuna biashara ya Kimataifa duniani ikaendeshwa hivyo.
 
Mungu yupi huyo? baba, Mama, Mwana au Roho?

Mmechelewa jamvini, karamu imeshaliwa.

Hivi mnangoja mkataba wa kibiashara uanikwe kama IGA?

Hakuna biashara ya Kimataifa duniani ikaendeshwa hivyo.
Shehe Mwaipopo: Katoliki ndio Dini kubwa Duniani πŸ”₯
 
Hao wakwepa kodi habari zao tunazo kwanza utasikiliza vip wanaume wasiokuwa na uwezo wa kuoa ?

View attachment 2722356View attachment 2722357
Yaani hela za Rugemalila zilifuata taratibu zote za kifedha;

1. Electronic transfer toka akount moja kwenda nyingine kwa kiasi kikubwa cha fedha.

2. Hela ya Rugemalila, ilikatwa kodi ya serikali. Hapa usisahau serikali huwa haichukui kodi toka kwenye fedha haramu

3. Hela ya Rugemalila, maamuzi ya nani ampe na asimpe yalikuwa ni yake binafsi. Ni kama hela yako hakuna mtu anayekupangia nani wa kumpa au nani wa kumnyima.

SASA WEWE NIAMBIE, ZILE ZA KWENYE MASANDARUSI ZILIKUWA ZA NANI?

HUONI KUWA ZA KWENYE MASANDARUSI HAZIKUFUATA TARATIBU ZA KIFEDHA?

KIASI KIKUBWA VILE CHA FEDHA, UNACHUKUAJE KAMA CASH TOKA BANK?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…