Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Baraza la masheikh na mauramaa nao watakuja na kusema mkataba unafaa.

Hii shida yote inaonyesha set-up ya hii nchi haiko sawa na kuna mahala mifumo inakuwa influenced na watu wa dini fulani.

tunakokwenda inaonekana sio kuzuri.

Kama tunasema Tanzania sio nchi ya kidini basi tumaanishe kwa vitendo na si kuishi kinafikinafiki.
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Wale ni wasomi! Unafikiri ni vilaza? Baraza lina wanasheria na wana uchumi! Isitoshe amesema wamezungumza na watu mbalimbali wakiwemo watu wa serikali kabla ya kutoa tamko na kuona mkataba una shida.
 
Wamesema Raisi ndio mwenye maamuzi ya mwisho,naona humu kuna watu wameshakuwa wao ndio marais,tutulie mwenye nchi atatoa tamko,ndio maana ametoa mwanya kwa taasisi kama hizi nao kujiridhisha,hujiulizi kwanini amekaa kimya muda wote...?
 
TEC ni chombo kikubwa sana. Kuja na tamko kama hili la kiujumla bila kuwa na takwimu na mwisho kuja na conclusion ya kutotidhia. Kusema kuwa Wananchi wengi hawaungi mkono, kwa takwimu zipi? Asilimia ngapi inapinga na ipi inakubali?
Hebu tuchukulie hoja ya kuwa lazima wengi wasikilizwe..vipi kuhusu hoja ya Kuanzishwa kwa vyama vingi ambapo wengi walipinga lakini serikali ikaridhia.
Hilo ndo tatizo lenu. Ni chombo kikubwa kwenye ukatoliki sio kwenye Serikali na maamuzi ya kitaifa.

Huo ujinga wa watu kujiona wana sehemu ya kuongoza nchi ndo ilipelekea mauaji ya Rwanda huko.

Dini na Serikali havipaswi kuwa pamoja!!
 
Wamesema Raisi ndio mwenye maamuzi ya mwisho,naona humu kuna watu wameshakuwa wao ndio marais,tutulie mwenye nchi atatoa tamko,ndio maana ametoa mwanya kwa taasisi kama hizi nao kujiridhisha,hujiulizi kwanini amekaa kimya muda wote...?
Rais ndiye mwenye maamuzi na Serkali yake hivyo wanapaswa wasiingilie mambo ya Serikali.

Ni kibuli na kujiona wao ndo nchi kutoa matamko hovyo. Haya mambo yakiendekezwa siku yatakuja kulivuruga hili taifa. Wanatakiwa wajitambue
 
Hilo ndo tatizo lenu. Ni chombo kikubwa kwenye ukatoliki sio kwenye Serikali na maamuzi ya kitaifa.

Huo ujinga wa watu kujiona wana sehemu ya kuongoza nchi ndo ilipelekea mauaji ya Rwanda huko.

Dini na Serikali havipaswi kuwa pamoja!!
Kwa hiyo ulitaka maaskofu wasikemee mkataba usio na kikomo? Na mkataba unaotoa wajibu kwa Tanganyika na haki kwa DP?
 
Baraza la masheikh na mauramaa nao watakuja na kusema mkataba unafaa.

Hii shida yote inaonyesha set-up ya hii nchi haiko sawa na kuna mahala mifumo inakuwa influenced na watu wa dini fulani.

tunakokwenda inaonekana sio kuzuri.

Kama tunasema Tanzania sio nchi ya kidini basi tumaanishe kwa vitendo na si kuishi kinafikinafiki.
Hawa maaskofu ninwasomi sana, hao wengine blahblah
 
Imeisha hiyo 😅😅.. miruzi mingi humfukuza mbwa
Hapa ndo Serikali inatakiwa kusimama Firm. Mifumo yote halali kwa mujibu wa Katiba yetu imetoa go ahead kwenye uwekezaji.

Leo ukiwasikiliza hawa, kesho waislamu wakitoa tamko nao watataka wasikilizwe.

Kamwe nchi haiendeshwi hivyo.
 
Back
Top Bottom