Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
We jiliwaze na vitamko uchwara hivyo, DP world lazima waje kuchapa kazi, hakuna watu wenye njaa kali kama maaskofu wa Tec, ukiita askofu mmoja mmoja ukamnunulia mvinyo atakupatia Siri zote za kanisa mpaka wanavyolawiti watoto na ushoga wanaofanya, basi tu serikali inaamuaga kuwasitiri na aibu Ila kiukweli mule hakuna maaskofu!!
 
Na wewe ungana na “askofu” Mwamakula ili uwahii motoni😂😂😂

E298464A-E515-4D2F-A967-2A14B0255748.jpeg
 
TEC ni chombo kikubwa sana. Kuja na tamko kama hili la kiujumla bila kuwa na takwimu na mwisho kuja na conclusion ya kutotidhia. Kusema kuwa Wananchi wengi hawaungi mkono, kwa takwimu zipi? Asilimia ngapi inapinga na ipi inakubali?

Hebu tuchukulie hoja ya kuwa lazima wengi wasikilizwe..vipi kuhusu hoja ya Kuanzishwa kwa vyama vingi ambapo wengi walipinga lakini serikali ikaridhia.
 
Unamsikiliza shivji aliyependekeza nchi ianzishe mabaraza ya ardhi ambayo yamegeuka kero nchi nzima kwa rushwa na kukuza migogoro?
Sasa tatizo mabaraza tatizo watu?
Unajua first aim ya kuanzishwa hayo mabaraza ilikua kusaidia nini au unaropoka tu? Mahakama zilizidiwa na migogoro ya ardhi tena mingi ikiwa haina kichwa wala miguu. Na kama unavyojua kesi za mahakama zinavyochukua muda mrefu mpaka utatuzi. Hapo ndiyo ikaja hoja ya kuanzishwa mabaraza.
Tatizo la mtu mweusi ni ubinafsi. Vitu vingapi viliachwa na mkoloni sisi tukaishia kuua?

Na tukirudi nyuma kuangazia mizizi ya matatizo ya migogoro ya ardhi serikali yako chini ya CCM haiwezi kukwepa lawama.
 
Sasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?

Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.

Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?
Kuna Siri kubwa sana kwenye Kanisa La Roma ndomaan huwez kuelewa Kwann Hat Viongozi wa Nchi Nying huwa hawafanyi ushenzi wao Kwa Viongozi wa Kanisa Katoliki,

Japokuw mim sina Dini ila kiufupi tu Kanisa la Roma ni Shirika Kamili la Kijasusi Story ni Ndefu sana kuelezea ili uelewe ila Kiufupi tu tambua kwamb,

Hao Jamaa wa Roma Waone tu hivyo ila Wanao uwezo Wa Kumtoa Rais wa Nchi yoyote madarakani wakiamua ten kwa Njia Rafik au Za kimafia.
 
Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitime

Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari

Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa kuwa wamepewa dhamana ya uongozi

Padri kitime amesisitiza kuwa wameita wataalamu wote mpaka watu wa wizara wamewaita hivyo wamejiridhisha kuwa mkataba wa serikali na Dp world haufai

TEC inashangazwa na serikali kutaka kuanza kuwazuia watu wasiongelee mambo ya Taifa lao

Padri kitime anahoji kama mkataba unafaa kwanini serikali inahangaika kutaka kubadili sheria lukuki ili ziendane na mkataba wa bandari na kumruhusu Dp world ya Dubai

View: https://www.youtube.com/watch?v=XjLy02Y9DwA

Naombeni mnipe utaratibu wa Kujiunga n Kanisa la Roma pls. Mchuzi wa Mbwa unanywewa wa motooo
 
Sasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?

Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.

Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?
Wanufaikaji wakubwa wa bandari hawa.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hata kama wakiwa wanufaika lakin sio kwa kugawa bandari kwa muda usio julikana
 
Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitime

Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari

Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa kuwa wamepewa dhamana ya uongozi

Padri kitime amesisitiza kuwa wameita wataalamu wote mpaka watu wa wizara wamewaita hivyo wamejiridhisha kuwa mkataba wa serikali na Dp world haufai

TEC inashangazwa na serikali kutaka kuanza kuwazuia watu wasiongelee mambo ya Taifa lao

Padri kitime anahoji kama mkataba unafaa kwanini serikali inahangaika kutaka kubadili sheria lukuki ili ziendane na mkataba wa bandari na kumruhusu Dp world ya Dubai

View: https://www.youtube.com/watch?v=XjLy02Y9DwA

DP Weldi BIG NO!
Hii ni nchi yetu na tuna haki ya kukataa!
 
Maaskofu wamefanya makusudi kuja na maamuzi haya. Wanawajibu viongozi wa kiislam kwa siri.

Hawajafurahishwa na kauli za baadhi ya mashekhe hivyo wakaona watume ujumbe mzito kwa njia ya maandishi.

Samia anatekeleza ilani ya CCM na ni maamuzi magumu kubadilisha kabisa mfumo mzima wa uendeshaji wa bandari lakini mwisho wa yote haya DP World wataanza kazi pale bandarini.
 
Safi sana. Kanisa lina wajibu wa kulinda na kutetea ustawi wa kondoo wake

Naunga mkono msimamo wa Kanisa katika hili suala!

Huu mkataba unauza uhuru wa Taifa letu!

Kama CCM wanapenda sana kugawa vitu, basi wawape wageni chama chao lakini rasilimali za nchi yetu zilindwe na zitumiwe vyema kwa masilahi ya Taifa leo, kesho hata utimilifu wa dahari.
 
Hawa maaskofu mapunguwani kweli wanaleta ushabiki wa kidini kwenye mambo ya msingi. Mama shikilia hapo hapo DP world washaanza kuwekeza haturudi nyuma.
Angekuwa ni hayati rais JPM wasingeinua pua zao kujaribu kuongelea hili suala. Waliheshimiwa sana na wanasheria wa serikali kwa kupewa ufafanuzi mrefu tu wa shughuli nzima za bandari zitakavyokuwa.

Labda wameogopa sura za kina Shivji na jaji Warioba na kuamua kusimama nao lakini nchi hii inahitaji uwekezaji pale bandarini wa kampuni kubwa kama DPW hivi sasa kuliko wakati wowote ule.

Huwezi kujenga reli ya SGR kwa matrilioni ya pesa halafu uwe na ufanisi ule ule wa kizamani.
 
Back
Top Bottom