Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Mie si mromani lakini nadhani huwajui waromani. Ni kanisa lililo na wataalamu wa kila namna. Wao mbali na kusomea teologia na falsafa za dini, pia usoma elimu dunia katika nyanja mbalimbali.
Kuna wachumi, wanasheria, wahasibu, wahandisi, madakitari, marubani, manesi na walimu pia.

Unavyo sema ukute hawajasoma usiwalinganishe na aina nyingine hawa jamaa uwa hawakurupuki. Na wana wataalamu wabobezi ktk intelijensia.
Mwambie Huyo Dogo
 
Usinitishe narudia tena usinitishe na wala msijione ya kwamba ninyi ndio wakamilifu Tu kuliko dini zingine. Full stop
Hakutishi anakueleza ukweli pee...Hata Mimi siwapendi lakini sasa nafanyaje wakati Dunia wameishika wao?
 
Sasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?

Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.

Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?
Afrika inaangamia kwa ukosefu mkubwa wa maarifa. Samia na serikali yake wanaingia huo mkataba kwa sababu ambazo walizieleza kwa kina na zikaeleweka.

Hata mkatoliki mwenzangu hayati JPM aliijenga reli ya SGR kwa trilioni 17 ili ibebe mizigo mikubwa zaidi yenye kulipiwa kodi kubwa zaidi itakayokwenda kuongeza pato la TRA.

Hao maaskofu wanayo haki ya kukataa kuunga mkono azimio lakini maamuzi yao hayawezi kuiyumbisha serikali ishindwe kutekeleza matakwa ya ilani yake ya uchaguzi.
 
Sasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?

Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.

Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?
Hujielewi wewe... Nauwenda elim Haina faida nawe
 
Back
Top Bottom