Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Unadhani maaskofu wana elimu ya kuungaunga kama wewe?.Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani maaskofu wana elimu ya kuungaunga kama wewe?.Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!!
Uzuri ni kwamba hili tamko litaendelea kuliheshimisha Kanisa hata kama mmeshaamua vinginevyoBunge limesharidhia haturudi nyuma .endeleeni kutoa matamko ndio uhuru wa habari huo
Huna jinsi kubali ya ishe...
Kaa kwa kutulia acha kulialia wewe, tengeneza hojaUsinitishe narudia tena usinitishe na wala msijione ya kwamba ninyi ndio wakamilifu Tu kuliko dini zingine. Full stop
Kwa hiyo turudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa kuwa watu wengi walisema turudi kwenye mfumo wa chama kimoja?Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu sasa nyie mkijikusanya mnaounga mkono ni wachache Sana mnataka kulazimisha wananchi wote wakubali
Mwambie huyo mnafiki! Tena Kitime alikuwa nampinga Magufuli wazi wazi kabisa! Katoliki ni tasisi inayojiamini sana na haikurupuki hata kidogo!Upo wrong sana. Jaribu kuwa updated na maswala ya nchi yako. Nani kakuongopea hawa tec hawakutoa tamko kipindi cha magu.?
Mwambie Huyo DogoMie si mromani lakini nadhani huwajui waromani. Ni kanisa lililo na wataalamu wa kila namna. Wao mbali na kusomea teologia na falsafa za dini, pia usoma elimu dunia katika nyanja mbalimbali.
Kuna wachumi, wanasheria, wahasibu, wahandisi, madakitari, marubani, manesi na walimu pia.
Unavyo sema ukute hawajasoma usiwalinganishe na aina nyingine hawa jamaa uwa hawakurupuki. Na wana wataalamu wabobezi ktk intelijensia.
Hakutishi anakueleza ukweli pee...Hata Mimi siwapendi lakini sasa nafanyaje wakati Dunia wameishika wao?Usinitishe narudia tena usinitishe na wala msijione ya kwamba ninyi ndio wakamilifu Tu kuliko dini zingine. Full stop
JPM hakuwa mdini...Hao shida Yao ni kutanguliza maslahi ya west...I also hate them more than hate itself! Sons of perdition...Mwambie huyo mnafiki! Tena Kitime alikuwa nampinga Magufuli wazi wazi kabisa! Katoliki ni tasisi inayojiamini sana na haikurupuki hata kidogo!
Hao wameusoma. Hawawezi kutoa Tamko tu.Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Kwani nani anataka kukudanganya?
Afrika inaangamia kwa ukosefu mkubwa wa maarifa. Samia na serikali yake wanaingia huo mkataba kwa sababu ambazo walizieleza kwa kina na zikaeleweka.Sasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?
Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.
Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?
Sasa hiyo heshima inatusaidia nini sisi?Uzuri ni kwamba hili tamko litaendelea kuliheshimisha Kanisa hata kama mmeshaamua vinginevyo
Na wewe ungana na “askofu” Mwamakula ili uwahii motoni😂😂😂Unganeni na kina Mwaipopo muwahi mbinguni ila bandari zetu, aku!
Bunge limesharidhia serikali inaendelea na mchakato hatuwezi kuyumbishwa na viaskofu uchwara.Huna jinsi kubali ya ishe...
Hujielewi wewe... Nauwenda elim Haina faida naweSasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?
Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.
Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?