Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hawa maaskofu mapunguwani kweli wanaleta ushabiki wa kidini kwenye mambo ya msingi. Mama shikilia hapo hapo DP world washaanza kuwekeza haturudi nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Apewe polee kivipi?mpe pole zake mama abdul mwambie imeisha hiyo
Sawa tu kila mtu ashinde mechi zakeUsikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Sahizi yamehama kuwa tumenunuliwa yanasema udiniSasa kila mtu ateteee dini yakee maaan miwatu mijingaa sanaa...ukipingaa utumboo na ujinga wa huu mkataba unaambiwa unaleta udini.
We jiliwaze na vitamko uchwara hivyo, DP world lazima waje kuchapa kazi, hakuna watu wenye njaa kali kama maaskofu wa Tec, ukiita askofu mmoja mmoja ukamnunulia mvinyo atakupatia Siri zote za kanisa mpaka wanavyolawiti watoto na ushoga wanaofanya, basi tu serikali inaamuaga kuwasitiri na aibu Ila kiukweli mule hakuna maaskofu!!Mjinga yeyote lazima awaze kama wewe maana hujui chochote maamuma wewe.
Mmhh unajua unachoongea kweli?Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Kweli tupu huo watu ni noma sanaHulijui Kanisa la Roma wewe, hao hata wakiamua leo huyo mama abduli kesho asepe atasepa ila hekima wanayo
wewe, huwa hawakurupuki hao. Waliosaini ndiyo ni wazi hawakuusoma wakaelewa implications zake. hao TEC mpaka watoe tamko huwa wamekaa wamepeana majukumu kuchambua implication ya kila ibara.Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Yani ukitoa mambo ya udini sijui mara jinsia ule mkatabaa HAUFAIISahizi yamehama kuwa tumenunuliwa yanasema udini
Unataka wote tuwasikilize Bakwata, imetoka hiyo mwambie akomaze shingoSasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?
Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.
Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu sasa nyie mkijikusanya mnaounga mkono ni wachache Sana mnataka kulazimisha wananchi wote wakubaliSasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?
Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.
Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?
💯%correctYani ukitoa mambo ya udini sijui mara jinsia ule mkatabaa HAUFAII
Mtoa tamko mwenyewe Katibu wa TEC ana PHD ya sheria.Mie si mromani lakini nadhani huwajui waromani. Ni kanisa lililo na wataalamu wa kila namna. Wao mbali na kusomea teologia na falsafa za dini, pia usoma elimu dunia katika nyanja mbalimbali.
Kuna wachumi, wanasheria, wahasibu, wahandisi, madakitari, marubani, manesi na walimu pia.
Unavyo sema ukute hawajasoma usiwalinganishe na aina nyingine hawa jamaa uwa hawakurupuki. Na wana wataalamu wabobezi ktk intelijensia.
Bunge limesharidhia haturudi nyuma .endeleeni kutoa matamko ndio uhuru wa habari huoNichoamini ni kuwa hao maaskofu wametumia diplomasia sana kutoa huo msimamo wao lakini ukapuuzwa. Hawa maaskofu hawapendi kabisa kuja hadharani kutoa msimamo kama waliotoa leo lakini inaonekana kuna watu watakuwa walishupaza shingo. Kwa asieijua TEC ina wataalamu wa kutosha na huwa haikurupuki na watakuwa wamefanya utafiti wa kutosha na kutafuta taarifa za kutosha kuhusiana na huo mkataba halafu wakalinganisha faida zake na hasara zake mwisho ndio wakaja na hilo hitimisho la kuukataa huo mkataba.
Hawajakurupuka usiwachukulie poa nadhani umemsikia vizuri Hadi serikali wameongea nayoWanamezeshana sumu za kishamba Sana hawa watu na kujikuta kuwa wao ndio watukufu pekee duniani wakati ni sawa na wengine tu