Hapa ndo Serikali inatakiwa kusimama Firm. Mifumo yote halali kwa mujibu wa Katiba yetu imetoa go ahead kwenye uwekezaji.

Leo ukiwasikiliza hawa, kesho waislamu wakitoa tamko nao watataka wasikilizwe.

Kamwe nchi haiendeshwi hivyo.
Hili swala limemkalia vibaya Rais .. linaweza tumika kisiasa vibaya dhidi yake.. Naamini hakuwa muamuzi wa mwisho kuna wengi nyuma yake
 
Kwa hiyo ulitaka maaskofu wasikemee mkataba usio na kikomo? Na mkataba unaotoa wajibu kwa Tanganyika na haki kwa DP?
Imesemwa ukomo wa mkataba utawekwa kwenye mikataba mahsusi ya uwekezaji? Wameiona hiyo mikataba mahsusi ya uwekezaji ikisema haina ukomo?
 
Hili kanisa lilitunyang'anya ardhi huko Kigoma bado tuna kesi nao. Ni watu hatari. Hadi ardhi ya CCM wanaitaka. Hili tamko lao litajibiwa na waziri msomi Nape akishirikiana na spika kijana Tulia.
 
Huyu mama ile laana ya JPM haitamuacha salama.

Mama 2025 nenda kachungenmbuzi kwenu!!!
 
Imesemwa ukomo wa mkataba utawekwa kwenye mikataba mahsusi ya uwekezaji? Wameiona hiyo mikataba mahsusi ya uwekezaji ikisema haina ukomo?
-mkataba mkuu, ule wa Bandari hamna ukomo hivyo tayari huo mkataba una kasoro, mkataba unatakiwa ujizungumzie wenyewe na sio "imesemwa"
-Mkataba kamia huo tayari una kasoro
-hiyo mikataba mikataba mahususi wewe unayo?
- mkataba gani unasema ukomo ni mpaka shuguli za Bandari zitakapokoma yaani ni mpaka Indian ocean ikauke au Lake Victoria likauke
Imesemwa ukomo wa mkataba utawekwa kwenye mikataba mahsusi ya uwekezaji? Wameiona hiyo mikataba mahsusi ya uwekezaji ikisema haina ukomo?
 
Vitu vya mzaha mzaha namna hii ndio huwa vinaleta machafuko katika nchi, Kesho wataibuka BAKWATA watasema mkataba unafaa, matokeo yake mtatoka kwenye hoja ya msingi mtahamia kwenye u kristo na uislamu. Hizi taasisi za dini hizi, haya
 
Huwezi kuweka ukomo kwenye IGA as IGA imesema rights and responsibilities zitakuwa kwenye HGA
 
Vitu vya mzaha mzaha namna hii ndio huwa vinaleta machafuko katika nchi, Kesho wataibuka BAKWATA watasema mkataba unafaa, matokeo yake mtatoka kwenye hoja ya msingi mtahamia kwenye u kristo na uislamu. Hizi taasisi za dini hizi, haya
Bakwata walisha sema kuwa mkataba una tatizo urekebishwe, labda kama unataka kuwalisha maneno upya.
 
Unawaza kama muislamu halisi maana huko tafakari ya jambo watoto na Wazee hawana tofauti
 
Kanisa katoliki hawa wakati wa kudai uhuru halikuunga mkono kudai uhuru na halikushiriki kabisa harakati za kudai uhuru.

Kuhusu hili la bandari tunafahamu fika kwanini kanisa haliungi mkono, waseme kweli wasidanganye Watanzania kama kawaida yao.

Lilipoanza tu hili sakata niliandika nyuzi mbili zilizopishana muda mchache tu, naamini wengi walikuwa hawajanielewa kwanini, lakini wanaposoma haya matamko na mengine mengi tunayoyasikia wataaanza kunielewa kwanini niliandika nyuzi hizi:

Waislam tumedanganywa kwa miaka mingi sana. Tuamke, tufanye siasa misikitini na popote pale

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…