National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Hili swala limemkalia vibaya Rais .. linaweza tumika kisiasa vibaya dhidi yake.. Naamini hakuwa muamuzi wa mwisho kuna wengi nyuma yakeHapa ndo Serikali inatakiwa kusimama Firm. Mifumo yote halali kwa mujibu wa Katiba yetu imetoa go ahead kwenye uwekezaji.
Leo ukiwasikiliza hawa, kesho waislamu wakitoa tamko nao watataka wasikilizwe.
Kamwe nchi haiendeshwi hivyo.