rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Wanajiona wao tu ndio watakaokwenda mbinguni🤣🤣🤣
Wenye moyo safi tu ndio wataiona mbingu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajiona wao tu ndio watakaokwenda mbinguni🤣🤣🤣
???????Kwani kuna mtu anapinga uwekezaji?
Aiseee hao DPW sijui wamewapa nini. Mpaka katiba wanaweza badilisha kabisa...kama Maza anawapenda sana Dp World basi mshaurini awalete kama Ticts ya kina Karamagi.
..lakini mkataba unaotulazimsha mpaka tubadili sheria zetu, tena tulizoandika juzi tu 2017, unatia mashaka makubwa na haukubaliki.
Milele aminaHii ni first button from TEC, kaza shingo wabofye another button.
Tumsifu Yesu Kristo.......
Utarudi mbio hivyo hivyoNimekuja mbio nikishani ni wananchi, kumbe ni baraza la wanaowakilisha dini yao.
Kanisa katoliki ni zaidi ya CCM they have power wakiukataa huu mkataba ujue imeisha hiyo hakuna kuendeleaHulijui Kanisa la Roma wewe, hao hata wakiamua leo huyo mama abduli kesho asepe atasepa ila hekima wanayo
Mkataba wa madini ulikuwa siri na huwezi kutengua baada ya kuingia ila huu wa bandari ndio wanaingiaWqgalatia bana nikuulize kitu mkataba kati ya serikali na Barick kuchimba dhahabu miaka 100 wananchi walishirikishwa ? Hawa maskofu walitoa tamko wewe baada ya miaka 100 na maskofu wako mtakuwa hai?
TUKUMBUKE MWAKA 1992Jinyonge mkuu. Wamekosoa mkataba hawajokosoa uislamu.
Kuna huyo kibumbwe asiejua lolote anabisha tuKanisa katoliki ni zaidi ya CCM they have power wakiukataa huu mkataba ujue imeisha hiyo hakuna kuendelea
Catholic wanaongoza dunia.Sasa wao wakiukataa sisi inatuhusu nini? Wao ndo Wanaongoza nchi? Wao ndo nchi?
Hawa viongozi wa dini kuna mahali walidekezwa sana hadi wao kujiona kuwa ni sehemu ya uongozi wa hii nchi. Ni upuuzi uliotukuka.
Kwa hiyo na wao wakitaka kujenga kanisa Serikali ianze kusema inapinga wao kujenga makanisa?
Muulize Kabila kitu Maaskofu wa Katolik walinfanyia kule Congo, au Muulize Mugabe alivyo kuwa anapelekwa mputa na hao katolik, usiche na hao watuNchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na serikali yetu ni ya kidemokrasia inayotokana na watu wenyewe kwa mujibu wa Katiba yetu.
Nchi Ina mihimili 3 ya serikali, bunge (wananchi) na mahakama. Kati ya mihimili hii 3 wananchi bila kujali umri, jinsia na dini zao wanawakilishwa na wabunge wao wa majimbo katika kufanya maamuzi kuhusu wao.
Baraza la Maaskofu limesika likitoa matamko na maazimio kuhusu uwwkezaji kwenye bandari, Huku likisema wananchi wengi hawaupendi mkataba wa ubinafsishaji wa bandari. Hao wananchi ni akina nani, wako wangapi na wamekutana wapi kuwauliza maoni Yao? Nchi Haina dini, tukutane kwenye kampeni za uchaguzi na kisanduku chakula kama Kuna mwenye njia/sera mbala ya namna ya kuindesha nchi badala ya kikundi Cha watu kutaka kuwasemea wananchi wote nchini kitapeli.
Jambo lolote na hoja yoyote haiwi na nia njema kama ikichanga maneno kama Tanganyika, Zanzibar, watanganyika, wazanzibar, waisilamu, wakristo, wazayuni, Wazungu, au Waarabu. Maneno haya ni hatari sana kusikika majumbani, mtaani, kazini na kwenye taasisi mbalimbali. Ukiyasikia yaepuke na yazimwe kwa gharama yoyote ile ili yasiote, kumea na kuzaa mbegu.
Tutailinda Katiba
WARAKA WA MAASKOFU SIO ITHIBATI ZA MAONI YA WATANZANIA.Tuhuma za uongooo , nmesoma kuanzia La kwanza mpaka. Chuo Kikuu na waislam.
Sema ukweli ni kwamba, waislam wengi ni Mbumbumbu kichwani.
Angalia mikoa ambayo angalau Ina idadi Kadhaa ya waisalm,, ndio inaongoza kufanya vibaya mitihani..
Ndo mikoa ambayo Masheikh ubwabwa wanataka kuoa watoto wa miaka 14.
Ndo mikoa ambayo watoto wa kike hawatakiwi Kusoma.
msisingiziee TEC, ukweli ni Kwamba, ukiona Muislam kasoma kafika juuu Sana kielim, basi ujue huyo amejitutumua Sanaa🤣🤣🤣