Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Huu ndo utumwa wa fikra Waafrika tuliorithishwa tena ni sumu mbaya Sana huyo Papa ana utakatifu gani? Daah Binadamu tunashida unajua Asili na Historia ya Roman Catholic? Hizi ni biashara za Watu huyo kitima kakosea Sana kujifanya anatetea rasilimali zetu uku ana joho la wezi wanaotuibia kwa mgongo wa Dini dini gani chini ya jua? Mbona zil3 ruzuku 600B wanazopokea kila mwaka huku shule na hospitali zao zikitoza gharama Kubwa kwa Raia hawalizungumzii kama unyonyaji hatari zaidi kwa Taifa letu huu upumbavu Sana yaani kikundi Cha watu wenye maslahi yao wanataka kuleta machafuko nchini kwa kisingizio cha Dini flani nyonyaji Bora wangesimama Kama Watanzania na siyo kujivika joho la ukoloni wa tangu na tangu hao RC ndiyo hatari zaidi ya DpW.
Utakatifu na kwa namna mtu anavyoutafsiri usiteseke 😀🔥😂
 
Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na serikali yetu ni ya kidemokrasia inayotokana na watu wenyewe kwa mujibu wa Katiba yetu.

Nchi Ina mihimili 3 ya serikali, bunge (wananchi) na mahakama. Kati ya mihimili hii 3 wananchi bila kujali umri, jinsia na dini zao wanawakilishwa na wabunge wao wa majimbo katika kufanya maamuzi kuhusu wao.

Baraza la Maaskofu limesika likitoa matamko na maazimio kuhusu uwwkezaji kwenye bandari, Huku likisema wananchi wengi hawaupendi mkataba wa ubinafsishaji wa bandari. Hao wananchi ni akina nani, wako wangapi na wamekutana wapi kuwauliza maoni Yao? Nchi Haina dini, tukutane kwenye kampeni za uchaguzi na kisanduku chakula kama Kuna mwenye njia/sera mbala ya namna ya kuindesha nchi badala ya kikundi Cha watu kutaka kuwasemea wananchi wote nchini kitapeli.

Jambo lolote na hoja yoyote haiwi na nia njema kama ikichanga maneno kama Tanganyika, Zanzibar, watanganyika, wazanzibar, waisilamu, wakristo, wazayuni, Wazungu, au Waarabu. Maneno haya ni hatari sana kusikika majumbani, mtaani, kazini na kwenye taasisi mbalimbali. Ukiyasikia yaepuke na yazimwe kwa gharama yoyote ile ili yasiote, kumea na kuzaa mbegu.

Tutailinda Katiba
Roma ikishasema. imemaliza
Kanisa linakutana na waumini kila siku nchi nzima kila siku, hao ndiyo wananchi
Maaskofu ni kama nani?!
Roman ni zaidi ya kanisa
Ndiyo watawala wa kwanza Dunia hii
 
Wakatoliki ndo hawataki mkataba na Dpworld kisa ni waarabu waislam...
Hakuna cha kasoro za mkataba zirekebishwe wala Mahakama imesema mkataba hauna shida...

Wako very very clear....
Only watu wajinga ndo watajifanya hawajaelewa
Hivi umeshasikia Wakatoliki wakimpiga vita Bakresa (kwa mfano) na biashara zake kwa sababu ni muislamu?

Msipende kuficha ubovu uliopo kwenye mkataba kwa kutumia udini.
Hili haitakusaidia wewe binafsi wala vizazi vijavyo.
 
Nchi yetu inaendeshwa kwa utawala wa sheria na serikali yetu ni ya kidemokrasia inayotokana na watu wenyewe kwa mujibu wa Katiba yetu.

Nchi Ina mihimili 3 ya serikali, bunge (wananchi) na mahakama. Kati ya mihimili hii 3 wananchi bila kujali umri, jinsia na dini zao wanawakilishwa na wabunge wao wa majimbo katika kufanya maamuzi kuhusu wao.

Baraza la Maaskofu limesika likitoa matamko na maazimio kuhusu uwwkezaji kwenye bandari, Huku likisema wananchi wengi hawaupendi mkataba wa ubinafsishaji wa bandari. Hao wananchi ni akina nani, wako wangapi na wamekutana wapi kuwauliza maoni Yao? Nchi Haina dini, tukutane kwenye kampeni za uchaguzi na kisanduku chakula kama Kuna mwenye njia/sera mbala ya namna ya kuindesha nchi badala ya kikundi Cha watu kutaka kuwasemea wananchi wote nchini kitapeli.

Jambo lolote na hoja yoyote haiwi na nia njema kama ikichanga maneno kama Tanganyika, Zanzibar, watanganyika, wazanzibar, waisilamu, wakristo, wazayuni, Wazungu, au Waarabu. Maneno haya ni hatari sana kusikika majumbani, mtaani, kazini na kwenye taasisi mbalimbali. Ukiyasikia yaepuke na yazimwe kwa gharama yoyote ile ili yasiote, kumea na kuzaa mbegu.

Tutailinda Katiba
Watawala wanajua kututumia, leo kwakuwa TEC wame challenge Serikali limeibuliwa hili, kesho bakwata waki challenge Serikali linaibuliwa lingine.
Hii yote ni kwakuwa watanzania hatupendi kufikiri ndiyo maana hoja dhaifu zinatumika kufunika hoja nzito.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Wamarekani walikataa kabisa Rais Mkatoliki...na Rais wa Kwanza mkatoliki Kennedy wakampiga Risasi CIA
Inafahamika kwa kila mtu kuwa walitangulia wapelelezi wakafuatiwa na wamissionaries kuja kutuamdaa wageni kisha wakoloni wenyewe. Wamissionaries na wakoloni walisali pamoja na kuishi mtaa mmoja. Bahati mbaya tuliwaondoa wakoloni na kuwabakisha ndugu zao wamissionaries. Inafahamika kuwa makanisa na misikiti ni vichaka vya uhakika vya mashushu na vibaraka wao. Inafahamika kuwa kuwa bandari na viwanja vya ndege ndio malango Yao makuu ya kupitishia mizigo yao ya kuja na kutoka. Tunafahamu kuwa makenikia yanapitia lango hili kwenda Ulaya. Sasa ndio muda muafaka wa kuyapata mapato ya bandari tuliyoyakosa tangu enzi za ukoloni hadi Sasa. Maana Katiba yetu ya 1977 inampa uwezo Rais, bunge na mahakama kuyatenda haya yote kwa Uhuru, ndiyo maana Rais Nyerere aliyataifisha Mali/mashirika ya Wazungu na Mali za makanisa kama shule kuwa Mali ya umma, Mkapa alitaifisha mashirika yote na kuyauza mengine bila hofu, Magufuli aliinunua ndege kwa aina yake bila woga wowote, mwinyi aliuza hata tausi wa Ikulu bila shida, kikwete ndio usiseme kabisa AAA hata twiga wazimaa walikuwa wanapanda ndege mchana kweupe. Kwenda Ulaya na uarabuni. Tunajua Marais wote hawa walikuwa wanatafuta namna Bora ya kuwatumikia wananchi. Tumuache Mama nae aitue Katiba hiihii kuleta Yale anayoyaamini kuwa ni safi kwa watu wake.
 
Ma baba wa TEC wana hoja kuntu na huwa hawakurupuki kusema jambo.
Hao wanaongozwa na dhamiri halisi.
 
Acha uongo wewe! Lini Papa karuhusu ndoa za jinsia moja??!!! Mnakaa kwenye vijiwe vyenu mnadanganyana huko na kukashifu dini za wengine halafu unaleta kwenye majadiliano ya maana.

Uliza kwanza kabla ya kuanza kuita watu wazima waongo.
Kumbe ulikuwa huna habari kuwa ushoga ni Halali huko VATICAN?

Soma mwenyewe kwa nafasi yako .

Hoja 8 muhimu za TEC

14. Ibara zifuatazo za Mkataba huu zina matatizo yatakayosababisha nchi kutofikia uhuru wa kiuchumi (economic independence):

14.1. Ibara ya 2 (1): inayohusu lengo la Mkataba huu ambalo ni kuweka utaratibu unaoibana Tanzania kisheria katika kuendeleza, kuboresha na kuendesha bandari zote za bahari na maziwa, maeneo maalum ya uwekezaji, maeneo ya usafirishaji wa mizigo, na maeneo mengine ya kiuchumi.

14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.

14.3. Ibaraya 5: ambapo DPWorldimepewa haki ya kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi pekee yake, wakati Tanzania inabaki na wajibu wa kumwezesha kufurahia haki hiyo.

14.4. Ibaraya 6:inayoitaka Tanzania kuwajibika kuipatia DP World vibali na vivutio vya kutekeleza miradi yake kama Serikali. Hii inapingana na baadhi ya sheria za kiutaratibu.

14.5. Ibaraya 7: inayoitaka Serikali kuwajibika kutoa mamlaka yanayotakiwa na mwekezaji bila ucheleweshaji.

14.6. Ibaraya 8: Haki ya kutumia ardhi ambapo Mkataba unasababisha uvunjifu wa sheria za ardhi na sheria zinazohusu masuala ya ardhi.

14.7. Ibaraya 10: Usiri wa Mkataba ambapo Mkataba unazuia mamlaka nyingine kama TAKUKURU /BUNGE kufuatilia mikataba.

14.8. Ibara za 23 na 24: zenye ugumu wa kujitoa kwenye Mkataba
DP World tunawatarajia wawekeze mtaji wa matrillion ya fedha pia watatarajia kuyarudisha na kisha kupata faida pia. Ibara zote wanazolalamikia watu zinalenga kulimda mtaji wa DP World dhidi ya wafanyabiashara wengine. Mfano, kama DP World watawekeza motambo ya Dollar trillion 5, baada ya mwaka mmoja TU wa uwekezaji anakuja mwekezaji mwingine na kupewa bandari ya Bagamoyo iliyo jirani na dar es salaam, je hizi trillion 5 za DP World zitarudi baada ya muda gani? ndiyo maana mkataba unataka serikali itoe taarifa kwa DP World ili ama iendeleze pia hiyo bandari nyingine au ipate muda wa kujipanga dhidi ya ushindani kutoka kwa rival wake. Ubaya uko wapi?

Hiyo ni sawa na wewe kufungua duka la jumla la kuuza mikate kwenye fremu za nyumba ya mtu halafu baada ya miezi 3 ya uwekezaji unagundua kuwa mwenye nyumba amekodisha fremu nyingine palepale kwa mtu mwingine anaetaka kufungua duka la jumla la mikate palepale kwa wateja walewale na mtaa uleule, wewe utafanyaje hapo?
 
Huu ndo utumwa wa fikra Waafrika tuliorithishwa tena ni sumu mbaya Sana huyo Papa ana utakatifu gani? Daah Binadamu tunashida unajua Asili na Historia ya Roman Catholic? Hizi ni biashara za Watu huyo kitima kakosea Sana kujifanya anatetea rasilimali zetu uku ana joho la wezi wanaotuibia kwa mgongo wa Dini dini gani chini ya jua? Mbona zil3 ruzuku 600B wanazopokea kila mwaka huku shule na hospitali zao zikitoza gharama Kubwa kwa Raia hawalizungumzii kama unyonyaji hatari zaidi kwa Taifa letu huu upumbavu Sana yaani kikundi Cha watu wenye maslahi yao wanataka kuleta machafuko nchini kwa kisingizio cha Dini flani nyonyaji Bora wangesimama Kama Watanzania na siyo kujivika joho la ukoloni wa tangu na tangu hao RC ndiyo hatari zaidi ya DpW.
RC wanaomiliki Ardhi kubwa sana Tanzania, na ardhi yote hiyo ni sehemu kamili ya Vatican. Wanadhani hatujui?

Ndiyo maana Rais lazima RC au Muslim wataemfunga mikono yake nyuma ili afuate matakwa yao. Hata Walutheri, waanglikana, wasabato wanalijua hilo.
 
Roma ikishasema. imemaliza
Kanisa linakutana na waumini kila siku nchi nzima kila siku, hao ndiyo wananchi
Maaskofu ni kama nani?!
Roman ni zaidi ya kanisa
Ndiyo watawala wa kwanza Dunia hii
Kumbe na wewe ndo wale wale aisee Elimu yako Ina mashaka sana,leo unamualalisha mrumi aje kukutawala na kukufanyia maamuzi ndani ya Taifa lako wao wanaendelea kukunyonya na kuifanya Vatican kuwa Taifa ndani ya Italy? Una akili hata ya kuvukia barabara?
 
Wewe unaniuliza suala la uhakika ina maana hujui yaliyotokea kati ya fedha za malipo ya umeme escrow account na Benki ya mkombozi? Utakuwa mtoto wa juzi wewe. Nashauri serikali imuagize CAG akakaguwe pale watanzania tutapigwa na mshangao.
Hapa tunazungumzia Mkataba wa DP world na Bandari na wanacho fanya ni kutetea masilahi ya Nchi,,, yaliokwisha kutendeka nyuma tuyaache huwez kuirudisha Jana yako ila unaweza tengeneza Leo na kesho yako
 
Naomba kuwauliza wafuasi wa TEC kwa nini hoja iwe ni kuukataa mkataba wote wa uwekezaji na si kurekebisha vifungu?
 
We dokta wa mchongo hao wenzio wamesoma theology yaani kwa akili timamu kwamba hawajui hata kwamba TICTS wameoperate pale miaka zaidi ya 20.

Wanakuja kusema eti tangu uhuru hakuna muwekezaji alikuja kuendesha bandari😅😅😅huoni kama ni "vilaza pro" means wanaongelea kitu hawana elimu nacho.

Huoni kwamba weny akili za miujiza hawaweza kujenga hoja na elimu yao ni takataka .!!
"....Tuna-uwezo wa kukusanya taarifa za Nchi yetu kwa muda mfupi sana na hii ni kwa sababu ya ukubwa wa Taasisi yetu. Tambua, Kanisa Katoliki limeenea hadi ngazi ya kaya na kwa hiyo sisi si Taasisi yenye kutamka jambo kwa kubahatisha!"

Padre Kitima (PhD).

Chanzo DW Swahili.
 
Naomba kuwauliza wafuasi wa TEC kwa nini hoja iwe ni kuukataa mkataba wote wa uwekezaji na si kurekebisha vifungu?
Ni kwa nini uwalazimishe wenye nchi kitu ambacho hawataki, unalazimisha kitu kwa maslahi ya nani?

Hili ni swali kwa wafuasi wa shetani.
 
"....Tuna-uwezo wa kukusanya taarifa za Nchi yetu kwa muda mfupi sana na hii ni kwa sababu ya ukubwa wa Taasisi yetu. Tambua, Kanisa Katoliki limeenea hadi ngazi ya kaya na kwa hiyo sisi si Taasisi yenye kutamka jambo kwa kubahatisha!"

Padre Kitima (PhD).

Chanzo DW Swahili.
Mnakusanya habari halafu mnashindwa kutambua kwamba TICTS alikuwa pale kwa mda wa miaka 20 na kitu .

Kwamba channel nzima ya upataji taarifa zenu hawajui kitu? hawana wanalotambua pale bandari ?.

Huoni kama ni kikundi cha watu wasiojua chochote?
 
Ni kwa nini uwalazimishe wenye nchi kitu ambacho hawataki, unalazimisha kitu kwa maslahi ya nani?

Hili ni swali kwa wafuasi wa shetani.
Nimeuliza swali nipewe elimu l.

Unaweza kunijibu tafadhali kama hutojali?
👉 Kwa nini hoja ya TEC iwe kuufuta mkataba wote na sio kurekebishwa kwa vifungu?
 
Back
Top Bottom