Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
...Leo Waislamu tumeshindwa kusema, tumewaachia wakristo waseme Peke yao? Hii ni Imani dhaifu....!!
Andiko refu kweli asante Kwa kuchukua Muda wako lakini Acha uongo.
Nikukumbushe Jambo moja tu. Walioanza kutoa Waraka kuhusu Bandari si wakristo ni Waislamu. Baada ya kemeo zuri Sana mnalojaribu kupotosha la Mheshimiwa Mbowe kwamba Rais Samia angalia mkataba umesainiwa na Waziri Kwa idhini yako ya maandishi na Kwa ushauri wa Katibu wa wizara ninyi wote mkiwa Wazanzibar, tafsiri rahisi itakuwa mmeuza bandari za Tanganyika maana za kwenu Zanzibar hazimo, ghafla Shura ya Maimamu ikaibuka na tamko. Au hukuliona tukuwekee?
Fanya kutuwekea tamko hilo ulilolitaja la Shura ya Maimam
 
Propaganda za kimadrasa peleka msikitini.
Mimi Mkatoliki kindakindaki. Nina Sakramenti zote bado Moja tu ya Mpako Mtakatifu wa Wagonjwa kwasababu Mimi ni Mlei. Na ni mjinga kama wewe ndie unaamini wanaounga mkono ubinafsishaji wa Bandari ni Waislamu. Na kama TEC imechukua mkondo huo nao watakuwa wajinga na wapumbavu!!!
 
Noana sasa umedhihirisha uongo wako! Mkatoliki halali hawezi kutumia lugha ya kitoto kama hii kwa Maaskofu wake. Wewe ni wale wale tu wapewa misaada ya tende wakati wa mfungo.

Hapo ulipo inawezekana hata kitu kinachoitwa Falsafa hukijui! Teolojia hujawahi hata kuisikia! Zaidi unafahamu kuhusu elimu ya majini tu.
Teolojia ni elimu ya dini yao, which is relevant to them only. Falsafa ni mawazo ya watu, siyo ya mungu. Hata mimi na wewe tuna mawazo. Don't be ensalved by such minor and poor idiologies ambazo ulaya zilishazikwa siku nyingi.
 
Mimi Mkatoliki kindakindaki. Nina Sakramenti zote bado Moja tu ya Mpako Mtakatifu wa Wagonjwa kwasababu Mimi ni Mlei. Na ni mjinga kama wewe ndie unaamini wanaounga mkono ubinafsishaji wa Bandari ni Waislamu. Na kama TEC imechukua mkondo huo nao watakuwa wajinga na wapumbavu!!!
Hakuna mkatolik mwenye akili kama zako hizi za madrasa.
🤣 🤣 🤣 🤣 Unatuzuga.
 
Mimi ni mkristo mkatoliki! Natoa maoni yangu kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya Tanzania.

1.With due respect, sijaona wazo la maana la TEC. There is NO substance in it. Dunia ya leo inajengwa na uwekezaji wa kimataifa(international investments).

Hata China, Russia kuna uwekezaji mkubwa wa makampuni toka nje ya nchi. Tanzania siyo kisiwa. Lazima tuendane na sera za kiuchumi za dunia ya leo. Kuendesha mifumo ya uchumi mkubwa kama bandari, kijamaa tumeshindwa na tutaendelea kushindwa. Hata hii SGR tukisema iendeshwe kwa mifumo ya utumishi wa umma tutashindwa pia. Assets zenye sura ya kibiashara kama hii lazima ziendeshwe na private sector ili zilete faida na tija.

2. Findings za hao TEC ziko based on heresay. Wametumia axiom ya vox populi vox dei, Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.Je ni watanzania wangapi wanapinga uwekezaji huu wa DP World? Je kuna wakatoliki wangapi hapa nchini? Je wakatoliki wote wanaupinga mkataba huo? Je wakatoliki waliomo kwenye orodha za wakatoliki bado ni wakatoliki mpaka sasa?(Wengi wameshahamia kwenye ulokole).

Ukijibu maswahi hayo utaona maaskofu wa TEC hawana uhalisia kwenye waraka wao.Ni blah blah tu. No driving facts. It is just FALLACY OF GENERALIZATION. Findings zao hazina supporting data. Wamekurupuka!

3. DINI: Naona ni hofu za masilahi yao ya kidini, wala siyo tatizo la mkataba. Wazungu toka nchi za magharibi walipoingia mikataba ya kuiba madini ya watanzania, maaskofu wa TEC walikaa kimya!!! Leo wakati wa mkataba na waarabu ETI wanajitia kuandika waraka wakijipambanua ETI wazalendo,watetezi wa rasilimali za nchi. UWONGO mtupu!

4. Serikali haina dini na mambo yote ya dini yapo nje ya mifumo ya serikali(Ibara ya 19 ya katiba ya TZ,1977). Huo waraka wao hauna mashiko wala nguvu yoyote mbele ya Jamuhuri. Ni kama makaratasi ya kufungia maandazi tu! Hayo ni maoni yao kama maoni ya mtu yoyote yule.

CONCLUSION: Serikali iendelee na mchakato wa utekelezaji wa mkataba na DP World HARAKA SANA, ili kama taifa tuanze kunufaika na uwekezaji huo HARAKA. Serikali kikatiba ina mizizi mirefu sana na mikubwa sana, isiyumbishwe na kelele za chura ambazo ni nyepesi sana.

Wananchi tuna hitaji pesa ipatikane ili tupate huduma bora za kijamii. Uwekezaji DP world ni LAZIMA ufanyike. Na ufanyike HARAKA iwezekanavyo. Serikali ina legitimacy ya kufanya maamuzi kwa niaba ya wananchi kwa sababu iliingia SOCIAL CONTRACT na wananchi kwa kushinda uchaguzi,2020.



Ni sawa, ila unajua population yao ni % ngapi ya wa Tanzania
 
IMG_8705.jpg

WANDEWA
 
Basi kwa aina hiyo ya Mungu lazima awe wa Wakristo tu hawezi kuwa Mungu wa walimwengu wote
Kumbe hujui Mungu wa Kweli ni wa Wakristo tu.
Biblia inasema kuhusu YESU

Yn 14:6​

Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Teolojia ni elimu ya dini yao, which is relevant to them only. Falsafa ni mawazo ya watu, siyo ya mungu. Hata mimi na wewe tuna mawazo. Don't be ensalved by such minor and poor idiologies ambazo ulaya zilishazikwa siku nyingi.
Haya rekebisha sasa ule uongo wako pale juu wa kujitambulisha kama mkristo Mkatoliki ili twende sawa.
 
Nchi imegawanyika, duh! Huku tinapoenda sikuzuri kabisaa.
 
Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni mbovu.

Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.

Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity!

Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.

Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?

Mbona mnamwandama sana Rais na serikali, angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?

We are no longer under the yoke of Papacy regime.

Waprotestant tupo wengi tunaweza jisemea. Naomba mkae kwa kutulia.

Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia. Nimemaliza.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app

Mnamdanganya yule bibi!! Kwa TEC ile ni maelekezo kutoka Roma.
 
CHARLES KITIMA ACHA KUTUMIA KANISA KATOLIKI KUENEZA CHUKI ZA WAZI DHIDI YA RAIS SAMIA SULUHU

Na, Nulphin Charles Heche

Kwa mara nyingine, Kikundi kidogo cha wanachama wa Chadema ambao pia ni viongozi ndani ya Kanisa Katoliki wakiongozwa na Charles Kitima wameamua kuonyesha chuki za wazi kwa kusambaza kipeperushi kinacholenga kujenga chuki kati ya serikali na waumini wa Katoliki nchini.

Charles Kitima ambaye amekuwa akifanya shughuli mbalimbali za Chadema bila kificho amevuka mipaka ya kazi zake kama kiongozi wa kidini akijikita katika kutengeneza na kusambaza chuki dhidi ya serikali kwa madai ya kupinga uwekezaji katika Bandari ya Dar es salaam kama ilivyo ajenda ya chama chake.

Mawasiliano mbalimbali yanayofanywa na Ndg. Charles Kitima na kundi lake kuwashawishi viongozi wengine wa Kanisa Katoliki nchini ili waunge mkono hoja za Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kueneza chuki dhidi ya serikali ni kinyume cha taratibu kwani Kanisa Katoliki si la CHADEMA.

Heshima ya Kanisa Katoliki ni kubwa kuliko maslahi ya Charles Kitima na rafiki zake wachache. Kueneza chuki dhidi ya Rais na serikali yake ni ukosefu wa uzalendo na kujisahau. Tanzania ni kubwa kuliko fedha au tija yoyote binafsi. Uwekezaji katika bandari ya Dar es salaam ni kwa maslahi ya umma na si vinginevyo.

Mageuzi yanayoleta tija kwa uchumi wa nchi yetu ni pamoja na kuvutia uwekezaji katika maeneo ya kimkakati kama vile Bandari. Kwa miaka zaidi ya thelathini Bandari yetu imekuwa ikiendeshwa na kampuni ya TICS na Charles Kitima hakuwahi kuhoji juu ya ufanisi hafifu lakini amepata ujasiri wa kueneza chuki dhidi ya serikali katika kipindi hiki muhimu, hili ni jambo la kushangaza na linatia aibu kwa kiongozi huyu anayejaribu kutumia Kanisa kuchafua serikali wazi wazi.
Ongeza sauti hawajakusikia na hawatakusikia Kwa mkataba huu mliosaini
 
Basi kwa aina hiyo ya Mungu lazima awe wa Wakristo tu hawezi kuwa Mungu wa walimwengu wote
Yesu asema, “Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma” (Yohana Mtakatifu 17:3).

Kama utakuwa na uzima wa milele na huishi na Mungu milele Mbinguni, ni lazima humjue Mungu na mwanawe Yesu Kristo.
 
Kumbe hujui Mungu wa Kweli ni wa Wakristo tu.
Biblia inasema kuhusu YESU

Yn 14:6​

Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Mungu wa kweli hawezi kuwa wa kikundi fulani tu.

Mungu wa kweli ni wa wote, wenye dini na wasio na dini, wanaomtii na wasiomtii.
Mungu wa kweli lazima awe wa wote, huyo wa Wagalatia pekee ni wa Mchongo kama alivyo ng'ombe Mungu wa Wahindu.
Mungu wa kweli anatoa rizki kwa wote bila kujali wanaomtii au kumpinga
 
TEC ni wapuuzi fulani wanajioni dini YAO ni national religion. Ujinga wao huo haukubaliki hata kidogo. Mapadri wao wanalawiti watoto DUNIA nzima. Mbona hawajawai kuandika waraka wa kupinga ushenzi huo. Maaskofu wa TEC wenyewe wanakashfa kibao za KUBAKA maisista! Mifano iko wazi kabisa. Wakiendelea kuzingua NITAMWAGA kila kitu ili dunia ijue. Washenzi kabisa hawa. Uwekezaji wa DP WORLD NI LAZIMA UFANYIKE kwa masilahi mapana ya nchi!!!!
 
Mungu wa kweli hawezi kuwa wa kikundi fulani tu.

Mungu wa kweli ni wa wote, wenye dini na wasio na dini, wanaomtii na wasiomtii.
Mungu wa kweli lazima awe wa wote, huyo wa Wagalatia pekee ni wa Mchongo kama alivyo ng'ombe Mungu wa Wahindu.
Mungu wa kweli anatoa rizki kwa wote bila kujali wanaomtii au kumpinga
Hakuna MUngu wa kweli wa wote kijana wangu. Mungu wa kweli ni wa wakristo tu.
 
Unamtuhumu papa pasipo ushahidi ni upumbavu uliopitiliza.
Wewe, nahisi uelewa wako upo chini. Na inaonekana unapenda kubishana na siyo kuelewa. Kwako papa ndiyo kila kitu na siyo matumizi ya akili yako!!!!!!!

1) Huyu ni papa:

Pope Francis Says Homosexuality Is Not a Crime, but Is a Sin


5 Jan 2023 — In an interview with The Associated Press, the pope said the church should do more to end laws that criminalize same-sex relations.


2)
Hii ni Biblia:

1 Kor 6:9-11 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ...​


Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, ...

Read the Bible online. A free Bible on your phone, tablet, or computer. › bible


3)
Hawa ni wanazuoni wa kikiristo:


Key Concepts Sin & Crime Absolute & Relative Morality ...


A sin is an action which goes against the will or laws of God. Some sins are crimes, for example, murder and stealing. Other sins such as adultery and pride ...

www.st-augustines.worcs.sch.uk


4)
Hawa ni magwiji wa sheria za kidunia:

Crime vs. Sin-Difference between and Examples​


6 Jun 2023Crime and sin are two terms commonly associated with wrongdoing, but they originate from different spheres—legal and moral.

Homepage - EDUInput- An online learning platform for Mcat, JEE, NEET and UPSC students. › crime-vs-sin
hvv


17 Oct 2022

A sin is an act or behaviour that is against religion or God's will.

Crime: Crime is an action against the law.

Sin: It is recognised by God or religion.


Crime: It is recognised by the state or government.


WritingLaw › Law Q&A

Kupanga ni kuchagua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom