Huyo mleta mada ndo zuzu kabisa.. huko juu bandari kaandika bandafi, dini kaandika din, kutoukubali kaandika kuto ukubar.
Pengine mleta mada ni mtu mwenye cheo kikubwa tu huko anapokwenda kusali jumapili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mleta mada ndo zuzu kabisa.. huko juu bandari kaandika bandafi, dini kaandika din, kutoukubali kaandika kuto ukubar.
Pengine mleta mada ni mtu mwenye cheo kikubwa tu huko anapokwenda kusali jumapili.
Asante, post hii ndio nimeliona leo!. Naendelea kusisitiza Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!. bila jicho la tatu, huwezi kumjua the beast 666 ni nani!.Kuna jamaa mmoja anaitwa Pascal Mayalla ameleta uzi wake na akaupachika kwa jina Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
Nipo hapa kuujibu uzi wake aliouleta kwa mbwembwe nyingi akitumia andiko moja na akashindwa kuelewa context ya hilo andiko.
Andiko linalosema ya kaisari mpatie kaisari na ya Mungu mpatieni Mungu ni suala la kulipa Kodi na wala siyo issue ya Bandari.
Kwahiyo Kazi waliyoifanya TEC ni kazi ya Bwana.
YEYOTE ANAYETAKA KUWAPINGA WATUMISHI WA BWANA HAKIKA NI MPINGA KRISTO
Ndugu yangu Pascal Mayalla. Unapwaya sana ndugu yangu.Asante, post hii ndio nimeliona leo!. Naendelea kusisitiza Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!. bila jicho la tatu, huwezi kumjua the beast 666 ni nani!.
P
NimekusukiaNdugu yangu Pascal Mayalla. Unapwaya sana ndugu yangu.
Kaa kwa kutulia uweze kujibu hoja hii. Acha kujibu kwa haraka haraka. Nakuomba usianze kuingiza misemo ya kuhusu 666.
Ndgu yangu 666 ni issue ya zamani sana iliyokuwa inamhusu mtawala wa Kirumi anayeitwa Nero. Miaka hiyo hata kanisa katoliki halijaanzishwa.
Acha kukimbia kivuli chako kaka, utachoka bure bila sababu.
Asante.Nimekusukia
P
Wala hakuna hajaWakatorili leo tuliendelea na Dominika ya pili tangu tuanze jambo letu. Ni ushauri tu kwa TEC wa namna ya kuhitimisha wiki ya sita ya kusoma waraka wetu pendwa.. Nashauri makanisa yote wiki ya sita tukawa na maandamano matakatifu nchi nzima siku ya kuhitisha jambo letu. Nasisitiza ni maandamano matakatifu kama yale ya Ekaristi Takatifu siyo maandamano ya amani . Kwa wale wa St. Joseph wanaweza kuzunguka maeneo ya white house ya Dar nakurudi kanisani.
ushauri mzuriWakatorili leo tuliendelea na Dominika ya pili tangu tuanze jambo letu. Ni ushauri tu kwa TEC wa namna ya kuhitimisha wiki ya sita ya kusoma waraka wetu pendwa.. Nashauri makanisa yote wiki ya sita tukawa na maandamano matakatifu nchi nzima siku ya kuhitisha jambo letu. Nasisitiza ni maandamano matakatifu kama yale ya Ekaristi Takatifu siyo maandamano ya amani . Kwa wale wa St. Joseph wanaweza kuzunguka maeneo ya white house ya Dar nakurudi kanisani.
Ipo haja.Wala hakuna haja
MAmbo ya nchi hayawahusu nyie mambwa hangaikieni mambo yenu, andikeni nyaraka kuhusu mambo yenu ya kanisa, mambo yenu yamewashinda mnahangaika na mambo ya nchi. Nyau nyie hamuwezi kuzuia serikali kufanya mambo yake. Serikali inawajibika kwa wapiga kura wake kanisa halina wajibu huo, hao nyau ni wapiga dili tu.Wakatorili leo tuliendelea na Dominika ya pili tangu tuanze jambo letu. Ni ushauri tu kwa TEC wa namna ya kuhitimisha wiki ya sita ya kusoma waraka wetu pendwa.. Nashauri makanisa yote wiki ya sita tukawa na maandamano matakatifu nchi nzima siku ya kuhitisha jambo letu. Nasisitiza ni maandamano matakatifu kama yale ya Ekaristi Takatifu siyo maandamano ya amani . Kwa wale wa St. Joseph wanaweza kuzunguka maeneo ya white house ya Dar nakurudi kanisani.
Umeruhusiwa kuingia sebuleni, ishia hapo usijeitwa mwizi au kibakaWakatorili leo tuliendelea na Dominika ya pili tangu tuanze jambo letu. Ni ushauri tu kwa TEC wa namna ya kuhitimisha wiki ya sita ya kusoma waraka wetu pendwa.. Nashauri makanisa yote wiki ya sita tukawa na maandamano matakatifu nchi nzima siku ya kuhitisha jambo letu. Nasisitiza ni maandamano matakatifu kama yale ya Ekaristi Takatifu siyo maandamano ya amani . Kwa wale wa St. Joseph wanaweza kuzunguka maeneo ya white house ya Dar nakurudi kanisani.
Weka facts na vyanzo vyake...source: BBC
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa "dhambi na makosa yaliyotekelezwa na Kanisa na waumini wake … ambao walitekwa na chuki na ghasia" wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda.
Alikuwa akiongea baada ya kukutana na Rais Paul Kagame mjini Vatican.
Ombi lake la msahama limetokea baada ya ombi la Rwanda Novemba mwaka jana kwa Vatican kuomba radhi kutokana na mchango wa mapadri wa kanisa Katoliki na baadhi ya viongozi wake wakati wa mauaji hayo ya mwaka 1994
Kwa mujibu wa Vatican Radio, Papa pia "ameelezea nia yake kwamba kutambua udhaifu huu wa kanisa kipindi hicho, ambao, uliathiri sana sifa za Kanisa, kunaweza kuchangia 'kutakaswa kwa kumbukumbu' na kuendeleza, kwa matumaini na uaminifu, amani siku za usoni."
Wakati wa mauaji hayo yaliyodumu siku 100, Watutsi 800,000 na Wahutu wenye msimamo wa kadiri waliuawa na Wahutu wenye msimamo mkali.
Mauaji hayo yalitekelezwa hadi katika makanisa ambapo watu walikuwa wamekimbilia kutafuta hifadhi.