Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Kuna jamaa mmoja anaitwa Pascal Mayalla ameleta uzi wake na akaupachika kwa jina Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Nipo hapa kuujibu uzi wake aliouleta kwa mbwembwe nyingi akitumia andiko moja na akashindwa kuelewa context ya hilo andiko.
Andiko linalosema ya kaisari mpatie kaisari na ya Mungu mpatieni Mungu ni suala la kulipa Kodi na wala siyo issue ya Bandari.

Kwahiyo Kazi waliyoifanya TEC ni kazi ya Bwana.

YEYOTE ANAYETAKA KUWAPINGA WATUMISHI WA BWANA HAKIKA NI MPINGA KRISTO
Asante, post hii ndio nimeliona leo!. Naendelea kusisitiza Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!. bila jicho la tatu, huwezi kumjua the beast 666 ni nani!.
P
 
Ndugu yangu Pascal Mayalla. Unapwaya sana ndugu yangu.

Kaa kwa kutulia uweze kujibu hoja hii. Acha kujibu kwa haraka haraka. Nakuomba usianze kuingiza misemo ya kuhusu 666.

Ndgu yangu 666 ni issue ya zamani sana iliyokuwa inamhusu mtawala wa Kirumi anayeitwa Nero. Miaka hiyo hata kanisa katoliki halijaanzishwa.

Acha kukimbia kivuli chako kaka, utachoka bure bila sababu.
 
Nimekusukia
P
 
Wakatorili leo tuliendelea na Dominika ya pili tangu tuanze jambo letu. Ni ushauri tu kwa TEC wa namna ya kuhitimisha wiki ya sita ya kusoma waraka wetu pendwa.. Nashauri makanisa yote wiki ya sita tukawa na maandamano matakatifu nchi nzima siku ya kuhitisha jambo letu. Nasisitiza ni maandamano matakatifu kama yale ya Ekaristi Takatifu siyo maandamano ya amani . Kwa wale wa St. Joseph wanaweza kuzunguka maeneo ya white house ya Dar nakurudi kanisani.
 
Wala hakuna haja
 
ushauri mzuri
 
isikuzwe sana hii issue, umesomwa,umeeleweka na kusikika.kanisa halita kuwa na hatia kwenye Hilo,hivyo ni bora liishie hapa.
 
Maandamano yatafanyika rohoni, kwa sala na maombi, haya ndio yenye nguvu kubwa sana isiyoonekana kwa macho ya nyama.
 
Wakatorili leo tuliendelea na Dominika ya pili tangu tuanze jambo letu. Ni ushauri tu kwa TEC wa namna ya kuhitimisha wiki ya sita ya kusoma waraka wetu pendwa.. Nashauri makanisa yote wiki ya sita tukawa na maandamano matakatifu nchi nzima siku ya kuhitisha jambo letu. Nasisitiza ni maandamano matakatifu kama yale ya Ekaristi Takatifu siyo maandamano ya amani . Kwa wale wa St. Joseph wanaweza kuzunguka maeneo ya white house ya Dar nakurudi kanisani.
MAmbo ya nchi hayawahusu nyie mambwa hangaikieni mambo yenu, andikeni nyaraka kuhusu mambo yenu ya kanisa, mambo yenu yamewashinda mnahangaika na mambo ya nchi. Nyau nyie hamuwezi kuzuia serikali kufanya mambo yake. Serikali inawajibika kwa wapiga kura wake kanisa halina wajibu huo, hao nyau ni wapiga dili tu.
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Wakatorili leo tuliendelea na Dominika ya pili tangu tuanze jambo letu. Ni ushauri tu kwa TEC wa namna ya kuhitimisha wiki ya sita ya kusoma waraka wetu pendwa.. Nashauri makanisa yote wiki ya sita tukawa na maandamano matakatifu nchi nzima siku ya kuhitisha jambo letu. Nasisitiza ni maandamano matakatifu kama yale ya Ekaristi Takatifu siyo maandamano ya amani . Kwa wale wa St. Joseph wanaweza kuzunguka maeneo ya white house ya Dar nakurudi kanisani.
Umeruhusiwa kuingia sebuleni, ishia hapo usijeitwa mwizi au kibaka
 
source: BBC

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa "dhambi na makosa yaliyotekelezwa na Kanisa na waumini wake … ambao walitekwa na chuki na ghasia" wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda.
Alikuwa akiongea baada ya kukutana na Rais Paul Kagame mjini Vatican.
Ombi lake la msahama limetokea baada ya ombi la Rwanda Novemba mwaka jana kwa Vatican kuomba radhi kutokana na mchango wa mapadri wa kanisa Katoliki na baadhi ya viongozi wake wakati wa mauaji hayo ya mwaka 1994
Kwa mujibu wa Vatican Radio, Papa pia "ameelezea nia yake kwamba kutambua udhaifu huu wa kanisa kipindi hicho, ambao, uliathiri sana sifa za Kanisa, kunaweza kuchangia 'kutakaswa kwa kumbukumbu' na kuendeleza, kwa matumaini na uaminifu, amani siku za usoni."
Wakati wa mauaji hayo yaliyodumu siku 100, Watutsi 800,000 na Wahutu wenye msimamo wa kadiri waliuawa na Wahutu wenye msimamo mkali.
Mauaji hayo yalitekelezwa hadi katika makanisa ambapo watu walikuwa wamekimbilia kutafuta hifadhi.
 
Kwa kuwa wamemwaga mboga mwaga ugali. FUTA MOU hakuna kuwapa mishahara madaktari, hakuna msamaha Tena bandarini Kwa vifaa Tiba wakati tunalipishwa tukienda mahospitalini, billioni wanazopewa Kila bajeti zizuiwe.

watatia akili.
 
Samia hana akili, hili halina mjadala kwasababu ni individual person, mwenye maamuzi mabovu, wala sio taasisi ya Urais.

Kanisa Katoliki kuomba radhi ni kwa individuals waliofanya makosa, sio kanisa kutoa idhini ya kile kilichofanywa.

Ndio maana kuna kesi za walimu wa madrassa kulawiti wanafunzi wao, huwezi kusema ni Uislam ndio umelawiti.

Tumia akili, usiwe kama huyo mama'ko.
 
source: BBC

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa "dhambi na makosa yaliyotekelezwa na Kanisa na waumini wake … ambao walitekwa na chuki na ghasia" wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda.
Alikuwa akiongea baada ya kukutana na Rais Paul Kagame mjini Vatican.
Ombi lake la msahama limetokea baada ya ombi la Rwanda Novemba mwaka jana kwa Vatican kuomba radhi kutokana na mchango wa mapadri wa kanisa Katoliki na baadhi ya viongozi wake wakati wa mauaji hayo ya mwaka 1994
Kwa mujibu wa Vatican Radio, Papa pia "ameelezea nia yake kwamba kutambua udhaifu huu wa kanisa kipindi hicho, ambao, uliathiri sana sifa za Kanisa, kunaweza kuchangia 'kutakaswa kwa kumbukumbu' na kuendeleza, kwa matumaini na uaminifu, amani siku za usoni."
Wakati wa mauaji hayo yaliyodumu siku 100, Watutsi 800,000 na Wahutu wenye msimamo wa kadiri waliuawa na Wahutu wenye msimamo mkali.
Mauaji hayo yalitekelezwa hadi katika makanisa ambapo watu walikuwa wamekimbilia kutafuta hifadhi.
Weka facts na vyanzo vyake...

Maneno ni mengi hayana ushahidi
 
Back
Top Bottom