Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiukweli mimi nasoma tu comments kipenzi,,,, sina experience ndo nipo kujifunza hapa😊🤗Sema neno dear laweza kuniponya🙏🤩
Kivipi,?hapo mlipofika tunatakiwa kujua kabisaa mi niite wanakamati wenzangu Amehlo Mrs Lissu Depal Shunie niwaeleze mdogo wangu anaolewa na Gily .........NB.. wanakamati tafadhali cheo changu kiheshimiweHana taarifa dada.
Nasubiri nione dalili za kimbingu ndo niwajulisheni ndugu zangu🙏
Sitaki kukurupuka
✔️Huwa sipendagi kuchangia mada za single mothers, maana zinahusu hisia sana.
Sio kwamba sinaga vya kuongelea, la hasha, nachagua tu kuwa msomaji.
Ninachoweza sema, wanaoponda single mothers huwa wanasababu zao, na pia single mothers wanaoponda wanaume, nao wanasababu zao. Na sometime pande zote mbili huwa na sababu zenye mashiko.
Ninachoweza kukwambia Clepatina huwezi kuyaelewa maumivu halisi ya single mothers kwa kusoma habari zao humu JF jinsi wanavyo nangwa. Na pia huwezi elewa maumivu ya upande wa pili kwa kuangalia maandiko jinsi wanavyo wananga single mothers
Sisi Kama familia,Mimi na mdogo wetu Half american tunahitaji full bride priceKama kawaida ni mwendo wa half half, half Bride price
Gily usijifanye huoni tamko la familia.Sisi Kama familia,Mimi na mdogo wetu Half american tunahitaji full bride price
Hebu tuwaachie wao, kuna watu wanaponda singo mazaz huku ndiko wanakoponea haja zao jf ni jf tuHuwa sipendagi kuchangia mada za single mothers, maana zinahusu hisia sana.
Sio kwamba sinaga vya kuongelea, la hasha, nachagua tu kuwa msomaji.
Ninachoweza sema, wanaoponda single mothers huwa wanasababu zao, na pia single mothers wanaoponda wanaume, nao wanasababu zao. Na sometime pande zote mbili huwa na sababu zenye mashiko.
Ninachoweza kukwambia Clepatina huwezi kuyaelewa maumivu halisi ya single mothers kwa kusoma habari zao humu JF jinsi wanavyo nangwa. Na pia huwezi elewa maumivu ya upande wa pili kwa kuangalia maandiko jinsi wanavyo wananga single mothers
Achana na ndoa za watu, rudi nyumbani kulea ndoa yakoSisi Kama familia,Mimi na mdogo wetu Half american tunahitaji full bride price
unajua maana ya neno mshefa? Clepatina anataka aolewe na mshefa? mshefa ni mtu ambaye mda wote analalamika vitu visivyo vya msingi, mfano
😀😀😀hamna ndoa apo my wangu
Single maza ni msimbeTatizo kubwa ni financial freedom. Usingle maza usingekuzwa Kama wanawake waliozalishwa wangekuwa na uwezo wa kujitegemea.. so ata ukiwa single maza kirahisi uwe na uchumi wako mbna unawika tu fresh na walumendago watakutaman tu wakuoe...
🤣🤣🤣🤣🤣Bwana harusi tapeli?😀😀😀hamna ndoa apo my wangu
Wasimbe hawaendi mbinguniHuna baya wewe binti.....mbingu zinakusubiri
Humu ndani kuna watu wana wivu sana. Hawataki kutuona tunapendana ila siku tu baada ya kuvalishwa Pete hatutopatikana week nzima hapa tutakuwa fungate natoa taarifa mapema 😀Ila kijana una vocal Sana,mdogo Clepatina wangu alikuwa mgumu Kama boflo,kumbe hakuna boflo gumu mbele ya chai,the teh tehhh Shem karibu nyumbani