Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Mzee baba kwanza kitendo cha mkeo kwenda kushtaki kwao hapo tu kashaaribu bado hana ukomavu kwenye ndoa ilipaswa mashtaka yapelekwe kwenu ila kwakweli ndoa hizi shida tupu, wewe fanya maamuzi mwenyewe ukiona kuishi nae sawa au umuache shega tu mana zakuambiwa changanya na zako
 
Pole sana , umevamia mtumbwi wa vibwengo.
 
😂😂... Pole... Cha muhimu watu mkifunga ndoa usitake kumbadilisha mwenzio awe unavyotaka. Ishi naye tu hivyohivyo.
Hii kitu nilifundishwa na marehemu mjomba wangu mnamo 1991, na akaongeza kuwa ni vyema kujitahidi kumbadilisha kipindi cha uchumba kwa hali na mali, ikishindikana ni kutokufunga ndoa, ila ikitokea mmefunga ndoa, muishi kila mtu atakavyo.

Hii nimeprove inafanya kazi kwa ndoa kudumu bila mikwaruzano kwa 87%.
 
Hapo kinachofuata kukatazwa mchezo hata kama ni zamu yako
 
NImegundua kati ya wanaume 100 waliooa wanawake ambao wanatoka familia za kitajiri ni wanaume wachache sana wanaoishi kwa furaha waliobaki huwa mandondocha
Wee banah yaani shida zako tayari ndo umeshafanya na ugunduzi kwa wengine?
Wewe unaona mtu kuna hali mnatofautiana yanini ulijilazimisha kuoa?
Zunguka kote lakini shida ya hapo ulipooa sio utajiri bali hiyo familia mama ndo anasauti hivyo lazima na mwanae/mkeo akuletee hizo mbingo.

Kwani mkeo ni mwarabu au mpemba?
 
Hataki maagizo yangu yaani mpaka aamur yeye kufanya kutokufanya tendo la ndoa mpaka nimbake hii ndio kesi iliyotupeleka ukweni
Huwa wanaanzaje kusimulia 😀😀😀kwamba baba nimebakwa au yaan kwetu ni unakula bakora kisnitch wanakupasua vizuri na uzee wako

Shem wngu wakiwa wanasuluhishwa akasema mkew hampi tendo wazee wakatahamaki kwahiyo sisi ndo tukupe au 😂😂😂
 
Mbona mnawachanganya sana wadogo zenu wa kiume
Megalodon alisema mujiattach familia za matajiri,
Wewe unakuja tena kusema hapana.
Huyu atakuwa Kiranga tu

Anatatizo la afya ya akili na hajui Hilo

All in all vijana waji attach na kutambua fursa

Mfumo dume hauna dili , wapo wanawake wanatuzidi elimu fedha na maarifa: tuji attach na tuwe chin yao

Mwisho wa siku men atabaki kuwa men nashangaa watu wanaogopa nini
 
Wanaume waoga sana😀
Au wanapenda kuishi maisha ya kizamani ya kunyanyasana, au unaonaje Mkuu?
 
Inategemea tu na familia husika, Haimaanishi familia zote zenye uwezo basi binti zao wananyanyasa Waume, kuna mabinti wanajitambua kiasi Ndoa zao hazina connection na familia za kwao au wazazi wao mbona hasa kwa Wazungu na Blacks kulingana na tamaduni, desturi na dini pia

Kwenye familia za Kiarabu na kihindi hilo hulikwepi sheikh, ukioa kwetu unakuwa mtoto wa kwetu na Baba yangu anaweza kukuhoji chochote...hata mkilala nyumbn kwake No Problem!
 
Wanaume waoga sana😀
Au wanapenda kuishi maisha ya kizamani ya kunyanyasana, au unaonaje Mkuu?
Mfumo wa hovyo sana
Yani uache mwanamke potential kisa kwao ni matajiri kwahiyo ata ku drive

Kuna watu wanapenda sana kuishi kwa matatizo wakiamini huo ndio urijal

Ishu ni unaingia kwenye hizo family huna any skills unasubiri kupewa hapo ni isshu

But unaingia huko ukiwa na elimu na skills hata wao watakutumia
Kama yule jamaa alikuwa financial specialist akaingia kwa familia ya matajiri mkwe akaamua kumuajiri kwa kampuni zake na kuzisimamia

jamaa akawa anakoa millions of money zilizokuwa zinapotea kwa kukosa financial specialist sahihi

Jama akawa ananyonya mirija ya maisha huku family ikimuona kama Yesu kwa msaada wake

Ni namna vijana mnavyojiposition

Kiuno sio mtaji
 
Ukute vijana hawana chochote kichwani na mkononi
Hapo lazima maisha yawe magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…