Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Ndoa ni mapenzi na si fedha.
 
Mbona mnawachanganya sana wadogo zenu wa kiume
Megalodon alisema mujiattach familia za matajiri,
Wewe unakuja tena kusema hapana.
 
Mkuu hapo ulifanya kosa kuoa mtoto wa tajiri. Bora angekuwa basi hana kazi unasema anakuzidi na kipato.

Kwanza huyo mwanamke anakudharau kwa sababu anakuzidi na kwa vile tena kwao ni matajairi ndio inakuwa mbaya zaidi. Daddy girl!

Na si amini kwamba hana hisia kwa muda wote huo inawezekana ana mtu wake huko kazini.

Jichunguze na wewe udhaifu wako ukae nae mzungumze mambo yenu mkiona mnashindwa kuelewana kama umeshazaa nae huna haja ya kudai mahari wewe jiweke kando move on.
 
Kitonga kimemponza inatakiwa aludi sasa asimame kama mwanaume kichwa cha family awe na maamuzi sasa
 
Sio kila mtu anaweza kujiattach, some people wanathamini ile “real connections” Ile kama ya masela wakikutana kijiweni wote wanapiga story kwa usawa, haijalishi nani ni nani, na nani ni nani.

Kissing ass ni an early learned trait, kama hukujifunza hii mapema ukubwani hutaweza.

Ili usavaivi kwenye familia za namna hii, It’s either you’re an ass kisser ufanikiwe or you’re not ujisikie kama mleta mada anavyojisikia, there’s no inbetween.

Familia za kishua zinaishi kama (serikali ya CCM inavyo-operate) uchawa na uongo uongo.

Mi kuna siku niliuliza mbona tunaishi kama tuko kazini? Nikaambiwa nijifunze ku-navigate family politics, and just like that i was out.

Kiukweli kama huwajui hawa watu utasimplify mambo, If you have nothing inahitaji uwe mtu wa personality yao..
 
Kama alikuwa anamtegemea mwanamke kulisha familia au familia ya mwanamke kifedha au alianza kuonesha interest na mali za mkewe na familia yake lazima wakudharau.
Kaka hapo hakuna ndoa ukiona kwenye ndoa unanyimwa tendo la ndoa ujue hapo hakuna ndoa tena unafikili mpaka unatoa mahaali unaoa kwaajili ya kuoshewa vyombo hapo kuna mtu anaichapa iyo mali tena kazini kwake kwaiyo ndo dhalau kama izo
 
Kaka hapo hakuna ndoa ukiona kwenye ndoa unanyimwa tendo la ndoa ujue hapo hakuna ndoa tena unafikili mpaka unatoa mahaali unaoa kwaajili ya kuoshewa vyombo hapo kuna mtu anaichapa iyo mali tena kazini kwake kwaiyo ndo dhalau kama izo
Kabisa kaka ina chapwa kweli kweli na watu wa level zake matajiri wenzake au mtu ambaye ana mfeel zaidi mpaka anachoka.

Haiwezekani mtu umeoa alafu yeye atoe excuse kila siku. Umelazimisha anenda kushitaki kwao si kiburi hiko. Achana nae asikuletee Hypertension and Diabetes ukiwa bado kijana.
 
Hataki maagizo yangu yaani mpaka aamur yeye kufanya kutokufanya tendo la ndoa mpaka nimbake hii ndio kesi iliyotupeleka ukweni
Kwani mkuu amekushikia panga kuwa naye? Au ni pisi kali kiasi kwamba unaogopa kumuacha inakuuma? Tendo la ndoa ndio lililo sababisha ufunge naye ndoa bila tendo la ndoa ndoa hakuna hiyo ndio principle
 
Si tulikubaliana muoe mambo safi msaidiane majukumu????
Sisi njaa kali tuko bench tunasikilizia milio
Wale jamaa wa izo mambo ni maneno tu yale, ila kiuhalisia kwa ground ni kitu hakiwezekani, nature yenyewe tu inakataa. Mwanaume kama kichwa cha familia mwanamke akuzidi kila angle na still awa submissive kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…