Kioja kingine hiki. Aliitwa fala katikati ya kelele akasikia. Mnyika kaitwa mwizi kukiwa tulivu hakusikia. Leo kawataja wabunge kama wanne waliomtusi, sijui kawasikiaje ?
 
Kuna haja kupima akili, kuangalia mienendo na historia za nyuma za maadili za viongozi wakuu wa mihili ya dola.
Ama sivyo tutakuja kuta siku mmojawapo dishi linayumba.
 
 
Ni juzi tu mlikuwa mnamsifia sana na kumkandia Dr Tulia kumbe mlidhani Ndugai mjinga mu mpandae kichwani mmepotea
 
Wewe na hasira zako je?
 
Hamsomeki kabisa ,yaani mnabdilika badilika kama kinyonga, siku nikisikia mfuasi wa chadema amemkana baba yake mzazi wala sitashangaa
 
Umenena huyo mtu ni mgonjwa tena ugonjwa wa mambo yale sasa anapopewa kuongoza chombo kama bunge ni makosa
 
Viongozi wa kiafrica uwa na busara wanapostaafu
 
Mie simo acha nilinde mchanga wangu Wa dhahabu wasije kuiba bure.
 
kwa hiyo nyie misukule ya bavicha mnataka kutuambia bora tu Tulia Akson awe spika kamili tu.maana waga anawascrew kwelikweli mpk huruma. maana Ndungai amekuwa Nomaa! tena.hamnashukurani enyi viumbe wenye imani haba.
 
Ndugai nimemshangaa Sana, Kamati ya maadili ya bunge Nimeishangaa sana! wabunge wa CCM wanatumia Lugha chafu sana, Isiyo ya Kibunge na Isiyo faa! Hata tukio lililosababishwa Mnyika Kutupwa nje ya Bunge Kama Mbwa! Lilitokana Na Kejeli na Matusi ya Wabunge wa CCM, Kuwaita Chadema ni Wezi na Wamehogwa, Na Mnyika aliepopotaka Kuhusu utaratibu Ndugai akampa nafasi lakini Kwa Kejeli. Yeye Ndugai ailiona ni sawa Lusinde anamwambia Mnyika atamfanya ajiharibie nguo kwa maana ya kujinyea! Na kisha kuwaita Wabunge wa Upinzani wamehongwa, Wezi etc. Muda wote huo huyu Ma..ya Ndugai anatabasamu na Kufurahia.

Na wakati Mnyika anaongea Mbunge Mmoja akawasha Mic na kwa sauti ya !usikika na Kila Mtu akasema, "Mnyika ni Mwizi" Ndugai akasema hajali akina Ester. Na Halima wamtetea mbunge mwenzao aliyekuwa akidhalilkshwa kwa Double standards n Ohovyo wa Speaker!
At wanafungiwa Mwaka Mzima, Double standards nje ya Bunge Double Standards ndani ya Bunge!. Enough is Enough! My prayer is when this fellow fell sick again, that God should bring him to conclusions! His Life is suffering to others and a danger to Justice and Democracy!

 
Speaker wa bunge ninayemkumbuka ni Mzee sitta na hata makinda alikuwa na roho ya uvumilivu hata ikitokea wapinzan walikuwa wanamvumilia , ndugai kajivua nguo katika hili na ile kamati ya maadili wanafanya vitu kichama zaid
 
Kiukweli kama huu ubabe unafanywa kwa maagizo kutoka ngazi za juu tunapoelekea siyo wakumbuke hao askari wapo watu wanao wategemea wana familia ndugu na jamaa ambao si askari tunao uraiani uku hawana ulinzi kama wao wanaishi kama sisi

Swali je jamii ikibadilika ikiona askari ndio wanawapa viburi hawa viongozi wa juu kwaiyo dawa iliyopo nikuitia hofu familia ya hawa askari hawa askari wana mama baba wajomba Bibi vijijini na mijini je jamii ikianza wabagua uko walipo jamii ikianza wafanyia vitendo vya ajabu askari yupi unadhani atakuwa na furaha kuona familia yake inanyanyasika inatengwa

Ombi tusifike uko watanzania ndio tumelelea katika misingi ya upendo na utu tulizoea kuona wabunge wetu ndani ya bunge wakilumbana kwa hoja kali mpaka unahisi hawa watazichapa ngumi lakini walipotoka hapo walicheka pamoja ila kwa hali ya siasa ya sasa hali ni mbaya chuki chuki chuki siyo siasa ya jukwaani tena sasa hali ni mbaya sana ipo siku bungeni mule zitachapwa ngumi kavu kavu na wala mda si mrefu hili hili bunge la bajeti siku zijazo polisi wataingia na mabomu ya machozi mule
 
"Mfano aliposema Lusinde wewe ni kiboko yao mpaka wote wameondoka hii nikauli ya kitoto haikupaswa kusemwa na mtu kama Spika."

NAKUSHUKURU MUNGU SIKUZALIWA MGOGO
HILO NENO BUSARA YA BWANA YULE ZIRO, YAANI NAYE ANAKUWA SHABIKI BADALA YA KUTUMIA BUSARA
 
Thk u Brother..
U have said it..
Ameshasahau jinsi alivyokoswa-koswa mpaka akahamia India..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…