Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Mbunge wa CCM katukana wazima kabisa, hukutaka kuchukua hatua, na ukiangalia chanzo ni huyo Mbunge wa CCM, sasa leo unaposema Wabunge wa Upinzani hawana nidhamu nashindwa kukuelewa, au mmepanga CCM watukane na Upinzani wakijibu muwafukuze Bungeni? Eleweni kila kitu tunaona sisi sio wapumbavu, mwanzo wa Mgogoro ni wewe hukutaka kutenda haki.
Muwaha heshima chinhu cha bwete,
Haki ikuzenga Muwaha, angwe honoonele Upinzani mwisho kubi, wokatara,
Yangu ni hayo, CCM Mungu anawaona,
Oneeni Sana Eleweni Hawa mnaowaonea wana mioyo Kama ninyi,
Wakichoka msiwaite magaidi.
Muwaha heshima chinhu cha bwete,
Haki ikuzenga Muwaha, angwe honoonele Upinzani mwisho kubi, wokatara,
Yangu ni hayo, CCM Mungu anawaona,
Oneeni Sana Eleweni Hawa mnaowaonea wana mioyo Kama ninyi,
Wakichoka msiwaite magaidi.