Nimekua nikifuatilia mjadala wa bunge muda mrefu na kwa kweli NDUGAI umepoteza mwelekeo kabisa
umekua ukikanyaga na kuzisigina sheria wazi kabisa,tunakuona na jua kuna maisha baada ya bunge na soon tutakutana mtaani,
Huyu kwani ana siku ngapi za kuishi? Huoni alivyoumuka! Hamna kitu hapo na wala hatapatikana kumpeleka mahakamani for abuse of office charge
 
Kuna watu huiaga dunia punde baada ya kustahafu hii ndio ahueni.
 
Nimekua nikifuatilia mjadala wa bunge muda mrefu na kwa kweli NDUGAI umepoteza mwelekeo kabisa
umekua ukikanyaga na kuzisigina sheria wazi kabisa,tunakuona na jua kuna maisha baada ya bunge na soon tutakutana mtaani,
Utakutana naye wapi bwashee?
 
Utakutana nae wapi sasa? Haujui kuwa Spika akistaafu anakula asilimia thamanini na zaidi ya mshahara wa spika aliyepo madarakani.
Labda kama sijakuelewa
 
Nyie ndio mnafanya taifa liendelee kuwa na watekaji wauwaji wavunja Sheria za nchi na kila Aina ya uovu wakiamini kwamba wana uungwaji mkono kumbe ni wajinga wachache Kama nyie.
Utakutana nae wapi sasa? Haujui kuwa Spika akistaafu anakula asilimia thamanini na zaidi ya mshahara wa spika aliyepo madarakani.
Labda kama sijakuelewa
 
Huyu kwani ana siku ngapi za kuishi? Huoni alivyoumuka! Hamna kitu hapo na wala hatapatikana kumpeleka mahakamani for abuse of office charge
huyu anatakiwa aombewe maisha marefu ili aje aanze kujutia madudu yake kwanza na anatakiwa awepo mpaka wapinzani watakaposhika madaraka
 
Nyie ndio mnafanya taifa liendelee kuwa na watekaji wauwaji wavunja Sheria za nchi na kila Aina ya uovu wakiamini kwamba wana uungwaji mkono kumbe ni wajinga wachache Kama nyie.
Ujinga wangu uko wapi?
Mjinga namba moja ni wewe unayedhani utamuona mtaani Spika akihadhirika hata kama ataondoka madarakani leo hii,
Mtu ambaye katiba ya nchi yako imemuongelea ataishi vipi bahada ya kustaafu kulingana na cheo chake.
 
Wewe mpuuzi hatuongelei marupurupu Yao baada ya kustahafu noo.tunaongelea atafikishwa vipi mbele ya hukumu kujibia aliyoyatenda akiwa spika sidhani Kama katiba imempa Kinga spika ya kutoshtakiwa ndugai anapaswa kufikishwa mahakamani Mara tu baada ya kumaliza ubunge wàke mwezi wa sita ama la Mara tu baada ya magufuli kuondoka madarakani maana pengine ndie anaemkingia kifua.
 
Hii sabufa ni utopolo

Its not over until its over...[emoji769]
 
Ndugai mene mene tekel na peresi

Umepimwa na umepungua unachofanya huikomoi chadema unaikomoa katiba uliyoapa kuilinda.

Na nihakika wewe si mkubwa kwa katiba katiba ni KUBWA kuliko wewe.

Umeliharibu bunge letu umelifanya liwe kikaragosi Cha serikali badala kuwa sauti ya wananchi.

Umejipa nafasi ya uungu unaposema mbowe harudi bungeni November kwani wewe Nani mpaka useme hivyo? Au Mungu amekukaimisha mamlaka yake ?

Naamini ndugai kwa Mambo uliyoyafanya ndani ya bunge nitashangaa ukiwa mbunge Tena achilia mbali uspika .

Muda ni mwalimu mzuri.
 
These people have control over NEC mpaka wahesabu, wasimamia kura na watangaza mshindi. Inakushtua wakikuhakikishia kua haurudi bungeni?
 
Binafsi kwa mtazamo wangu kwa sasa anachofanya ndugai pale bungeni Ni uasi dhidi ya katiba yetu.kwangu MTU kama Huyo hupaswa hata kunyongwa.Hakuna kosa kubwa kama kuvunja katiba ya nchi.

Ingekuwa marekani Leo angeshasimamishwa huo uspika Na huku akikabiliwa Na mashtaka dhidi ya kukiuka kiapo chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…