Tukiruhusu vyama viwe vinafukuza wabunge uanachama kwa kosa linaitwa kuhudhuria vikao vya bunge tutakuwa tunasigina katiba na kutowatendea haki wapiga kura

Hii dhambi mpya iliyotungwa na chadema inayoitwa kosa la kuhudhuria vikao vya bunge haihitaji mtu aiungame popote iwe kwa padri au Mungu sababu hiyo dhambi haipo duniani Wala mbinguni

Ni dhambi ya kutungwa Ni.mpya
 
Huyu anatumwa na jamaa ambaye yupo mapumzikoni
 
Hapa niko njiani naelekea Dodoma kukutana na Ndugai ili anioyueshe Kitabu anachotumia kuliongoza Bunge kama ni Katiba,

Dictionary au Gazeti la Uhuru?.

Mniombee...japo nilitangulia kujiombea kabla...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyo mbilikimo ni wa kusamehewa tu maana ule ugonjwa uliompelekea kukatwa vidole viwili vya miguuni umeshaathiri ubongo wake! Pia kuna uwezekano mkubwa sana ni Msengerema!
 
Kwa Afya ya Ndugai yeye ndiye aweza kutokuwepo Novemba
 
Huu ni gonjwa wa kuambukizwa ambapo kizazi chote kimeupata na kuanza kujadili watu na siyo sera,hatupati hoja mbadala na tatizo la kujadili watu ili kutengeneza chuki hali ishi hata kama watu unao wachukia wakiondoka bado utatafuta watu wengine bila kujali kama ni watu uliokuwa nao karibu siku zote.Hiyo ndiyo dhambi ya kula nyama ya mtu kama alivyoeleza Mwalimu JK.Nyerere Mungu ailaze roho ya marehemu mahali anapostahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kunavyokucha anavunja Katiba. Hakuna wa kumkemea (ukiacha Chadema , and some few clergies)
.
The so called Wabunge ni kama mapapai kwenye tenga hayana lolote la kujitetea. Wingi wa CCM umekuwa kikwazo kwa "bunge" kutoa maamuzi yenye maana.
With this prevailing dictatorial Ndugaism, we can, do without the so-called Bunge!
 
E
Bavicha sijui mnakula nini.Ni mwezi uliopita tu mlimsifia spika kuwa amejitambua kwa sasa yupo vizuri na sifa chungu nzima
Ficha ujinga wako nani alishamsifiaga huyo spika,hata Kama alisifiwa huenda alifanya kitu kizur so ilikua haki yake kusifiwa ndo siasa Safi hizo ila akiharibu lazma asemwe
 
Ni lihuni fulani ambalo limewekwa kuharibu nchi......HUYU HANA TOFAUTI NA JECHA
 
Ni kweli nimekuekewa Mhere Mwita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…