Kachukua nafasi ya Meko. Hope yamkute ya Meko vile vile.Huyu jamaa anakera sana. Kiburi chake kimevuka mipaka. Hajali tena katiba ya nchi. Amejipa mamlaka yasiyo yake. Havumiliki kabisa. Any way Mungu yupo anajua cha kufanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachukua nafasi ya Meko. Hope yamkute ya Meko vile vile.Huyu jamaa anakera sana. Kiburi chake kimevuka mipaka. Hajali tena katiba ya nchi. Amejipa mamlaka yasiyo yake. Havumiliki kabisa. Any way Mungu yupo anajua cha kufanya.
Mkuu jinyonge ili uachane kabisa na karaha ya kumsikiliza huyo mtu, vinginevyo inabidi ukubali tu yaisheHuyu jamaa anakera sana. Kiburi chake kimevuka mipaka. Hajali tena katiba ya nchi. Amejipa mamlaka yasiyo yake. Havumiliki kabisa. Any way Mungu yupo anajua cha kufanya.
Yes..........Nashangaa kuna hawa watu wanajiita TLS na watu wengine hivi wanashindwa nini kumpeleka mahakamani huyu JOB ni kero sana kwa ustawi wa nchi hii. Naamini kabisa huyu akili sio zake anaendesha bunge kwa mipasho tu. NEC wao wapo kimya msajili nae yupo kimya. Huyu JOB ni adui wa taifa hili ukiangalia sura za wale wabunge wa CDM wanajua kabisa hawana baraka za chama. Tayari wameshafukuzwa na nafasi zao zimezibwa. Angalia mgongano wenyewe wanadai wamekata rufaa kupinga kufutwa uanachama ila JOB anadai hajapata barua za wao kufukuzwa CDM. Ni mwehu tu anaweza kumkubalia huyu mental JOB.
Huyu jamaa anakera sana. Kiburi chake kimevuka mipaka. Hajali tena katiba ya nchi. Amejipa mamlaka yasiyo yake. Havumiliki kabisa. Any way Mungu yupo anajua cha kufanya.
Ni mpuuzi sana huyo jamaa...Huyu jamaa anakera sana. Kiburi chake kimevuka mipaka. Hajali tena katiba ya nchi. Amejipa mamlaka yasiyo yake. Havumiliki kabisa. Any way Mungu yupo anajua cha kufanya.
Ndiye dikteta aliyesalia tuzidi kumwomba Mungu afanye muujiza wake mbona alifanya muujiza mwezi March?Ni Muda wa spika kupisha nafasi hii muhimu na aende akaandike kitabu cha kujisifia. Tushukuru Mungu huyu dikteta hajapewa wizara sijui tungekuwa wapi. Huyu ndiye spika alifanya kenyeli kwa wabunge kupigwa risasi, kufungia wabunge kichama, kutaka kufanya Bagamoyo china town na kuweka wabunge feki wa Chadema bungeni. Kama mtu ni spika tu anajipa nguvu hivi je angepewa nchi tungekuwa wapi? Amefika wakati wa kuwapangia wabunge kuongea nini wakiwa nje eti anajifanya anapenda na kuheshimu wanawake!!!. Tunamuomba angatuke kwa manufaa ya umma
Akizidi nature itafanya kazi yake!Ni Muda wa spika kupisha nafasi hii muhimu na aende akaandike kitabu cha kujisifia. Tushukuru Mungu huyu dikteta hajapewa wizara sijui tungekuwa wapi. Huyu ndiye spika alifanya kenyeli kwa wabunge kupigwa risasi, kufungia wabunge kichama, kutaka kufanya Bagamoyo china town na kuweka wabunge feki wa Chadema bungeni. Kama mtu ni spika tu anajipa nguvu hivi je angepewa nchi tungekuwa wapi? Amefika wakati wa kuwapangia wabunge kuongea nini wakiwa nje eti anajifanya anapenda na kuheshimu wanawake!!!. Tunamuomba angatuke kwa manufaa ya umma
Hivi harogeki kabisa?Ni Muda wa spika kupisha nafasi hii muhimu na aende akaandike kitabu cha kujisifia. Tushukuru Mungu huyu dikteta hajapewa wizara sijui tungekuwa wapi. Huyu ndiye spika alifanya kenyeli kwa wabunge kupigwa risasi, kufungia wabunge kichama, kutaka kufanya Bagamoyo china town na kuweka wabunge feki wa Chadema bungeni. Kama mtu ni spika tu anajipa nguvu hivi je angepewa nchi tungekuwa wapi? Amefika wakati wa kuwapangia wabunge kuongea nini wakiwa nje eti anajifanya anapenda na kuheshimu wanawake!!!. Tunamuomba angatuke kwa manufaa ya umma
Ndugai siyo dikteta ni mpumbavu.Ni Muda wa spika kupisha nafasi hii muhimu na aende akaandike kitabu cha kujisifia. Tushukuru Mungu huyu dikteta hajapewa wizara sijui tungekuwa wapi. Huyu ndiye spika alifanya kenyeli kwa wabunge kupigwa risasi, kufungia wabunge kichama, kutaka kufanya Bagamoyo china town na kuweka wabunge feki wa Chadema bungeni. Kama mtu ni spika tu anajipa nguvu hivi je angepewa nchi tungekuwa wapi? Amefika wakati wa kuwapangia wabunge kuongea nini wakiwa nje eti anajifanya anapenda na kuheshimu wanawake!!!. Tunamuomba angatuke kwa manufaa ya umma
Yule mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ni mwehu tuNDUGAI sio dikteta.
Dikteta namba 2 NI MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI WA ZANZIBARA.
Hilo jukumu tunakupa wewe.😁Hivi harogeki kabisa?