Wakati mwingine huwa nawaonea huruma sana wana ukawa.

Kipindi Ndugai anaumwa walikuwa wanamiss na kumtukana Tulia huku wakimsifia Ndugai na kumhimbea apone haraka arudi!

Leo hii tena kawa hafai?

Ipo siku ukawa watamsifia sana Dr. Tulia,. Time will tell,

Jamaa wanageuzwa kama chapati. Kila ngoma inayopigwa wao ni kucheza tu.
 
Wapinzani nao buana!!
Hakuna haja ya kuanza kugombana na Wabunge wa CCM.
Kila kitu wanachofanya CCM ni lazima kitakuja kuwagharimu wao zaidu ya wapinzani!

Kwa upepo huu ni lazima wajue kuwa CCM ndiyo yenye dhamana kwa rasilimali za nchi hii.
Wananchi na muda ndio utakao amua.
 
Asee Ndugai nae Leo nmeona anahasira za kitoto sana, kitu wazi ila sijui kwanini kachukua maamuzi hayo na kwa maslah ya nan
 
Na pia ni kushindwa kujielewa, anaanza kuchukua tabia za kibashite, amejisahau kama yeye ni Mkuu wa Mhimili wenye uwezo
Na pia ni kushindwa kujielewa, anaanza kuchukua tabia za kibashite, amejisahau kama yeye ni Mkuu wa Mhimili wenye uwezo hata wa kumng'oa rais
 
Hilo liñadhihirisha kuwa ccm wote wameoza
 
Alikuwa mzuri ila kabàdirikà. Amekuwa hovyo kabisa
Kila ngoma mnacheza tu.Kesho akifanya jambo mnalopenda mtamsifia.Kifupi nyie ni watu ambao hamjui mnachotaka
 
Katiba ya Tanzania ndo mbovu inampa madaraka makubwa yaahani mtu mmoja kama Ndugai bungeni anakua Mungu mtu ujinga wa ali ya juu
 
Mbona Wabunge wa Upinzani walimsifu sana spika Ndugai baada ya kutoka kwenye matibabu baada ya kuonja joto ya jiwe chini ya usimamizi mahili wa Tulia Ackson? Leo baada ya kuwadhibiti hao wabunge wajinga wajinga imekuwa nongwa?
 
Yule ugonjwa ndio unamfanya awe, vile ila dah tz inakoenda ni hatar iko siku wapinzani watachoka halafu hapatatosha mule ndani
 
Hili suala halikupaswa kuwa kubwa kiasi hicho kama Spika angetumia busara

Kauli ya mwizi imesikika, alichotakiwa ni kuhakikisha inafutwa. Ndiyo nidhamu yenyewe kama ile ya akina Mdee

Spika akaona kutumia askari ni busara badala ya kutumia busara kuongoza bunge. Imesikitisha sana

Lakini mwanzo alipoombwa mwongozo alisema kauli za kumchochea Lusinde dhidi ya wenzake. Sad!


Spika Ndugai aangalie mkanda na tukio zima. Atakuwa amejifunza kitu kikubwa sana!

Hayakupaswa kutokea kama busara japo kidogo tu ingetumika. Ni aibu sana yametokea, inasikitisha sana
 
Yaleo kali tusirudie kosa 2020, kosa kuwajaza tena heri jiwe kuliko hawa ,nidhamu ya uoga I natukabili Ila sikuzote mwenyehaki hataachwa milele
 
nashangaa mnamsmaga sanah bashite wakati team nzima imeoza bwanah....hakuna kitu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…