Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi
Thank you,
Tena umefanya vizuri kumtolea mfano yeye mwenyewe sababu kutwa anatuletea visa vya michepuko na watu wanachangia kwa furaha bila kuhukumu hali ya kua ni uzinzi na uzinzi umekatazwa kwenya hayo hayo maandiko yaliyokataza homosexuality, tunaona kuna mada tele za pombe na watu wanachangia kwa kupeana viwanja vya kupombeka hali ya kua Pombe imekatazwa kwenye hivyo hivyo vitabu vilivyokataza homosexuality,

Papa yupo sahihi, kama ambavyo watu wazima Me na Ke wameamua kwa hiari yao kuzini wakijua wanatenda dhambi na hukumu wataikuta kwa Mungu wao basi hivyo hivyo kwa homosexuality wanajua wakifanyacho ni dhambi na hukumu wataikuta kwa Mungu wao, iweje hao walevi, wazinzi, wasengenyaji, watoa mimba, wanyanyasa yatima na wajane, n.k wajipe ukuu wa kuwahukumu homosexuality hali ya kua wao hawajahukumiwa?

Sisi wote ni wa Mwenyeezi Mungu na kwake tutarejea tutake tusitake.
Exactly wote inatupasa hukumu kwa kila dhambi tunayoifanya na hakuna kati yetu mwenye utimilifu wa malaika wa kuweza kuhusu wadhambi wenzetu

Lk 6:41-45 SUV​

Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii? Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako.


Haijalishi kama kauli ya papa nimependezwa au sijapendezwa nayo Ila kibiblia. Yupo sahihi
 
Sali,Muombe Mungu soma Biblia maneno ya viongozi wa dini wa siku hizi yanapotosha jamii
 
Sio kanisa tu, hata mashekhee wanafira watoto, Hizi dini za kuletewa tumepigwa, bora tungebaki kwenye utaratibu wetu wa mila na desturi

Muhimu linda kijambio chako kiendelee kutoa bass!
 
Papa siyo kiongozi wa serikali,ni kiongozi wa kanisa, msingi wa maelezo ya papa francis ni kuwa mapenzi ya jinsia moja siyo sababu ya kuwafanya watu tubaguane na kwamba tusichangmane, Lakini tukumbuke kuwa mapenzi ya jinsia moja ni chukizo kwa mwenyezi MUNGU(DHAMBI),ulitaka asemaje tena?
 
Sio kanisa tu, hata mashekhee wanafira watoto, Hizi dini za kuletewa tumepigwa, bora tungebaki kwenye utaratibu wetu wa mila na desturi

Muhimu linda kijambio chako kiendelee kutoa bass!
Tuachane Nazo
 
Kumbe ndio maana kuna wajinga walishika bango eti Lisu anaunga mkono ushoga, ni ujinga mtupu kama hujaelewa ujumbe wa Papa.

Mashoga wanatakiwa Kwa wengi kanisani ili wahubiriwe habari njema na wajuwe matendo yao ni dhambi.

Hapa wanaolaani kauli ya Papa wengi ni wafiraji wazuri tu lakini hawajui kwamba hiyo pia ni dhambi lakini kanisa haliwatengi.
 
Kiongozi wa kanisa katoliki Duniani Papa Francis amekemea sheria zote zinazopinga ushoga na kusema hizo sheria sio za haki kwani Mungu anawapenda watu wake wote bila ubaguzi, bila kujali kama ni mashoga au lah.

Soma mwenyewe hapa.
Siyo kweli?
 
Comment zenu mnavyotetea tu mnajulikana wenye fani zenu
Waafrika ndio maana tunaonekana wanafiki. Tunajidai kupinga vitu wakati vinatokea katika jamii zetu. Wanafunzi kibao wa kiume wanaingiliana. Jibu hoja tuachane na unafiki, Hapa Bongo mlishawahi kusikia mtu amepelekwa mahakamani na akahukumiwa kwa kosa la kuwa shoga? Sana sana watamtafutia kosa lingine kuwa ni mzembe na mzururaji
 
Hayo maneno kama angeongea kiongozi wa waislam saa hz huu uzi angekua anatukanwa muhammad tu lakini sijaona muislam hata mmoja kamtukana jesus wala kumzungumzia christians msipojifunza kwenye uzi huu mtakuwa vichwa vinafunza maana christians wa jf hata ustadh akibaka anatukanwa muhammad leo papa kasema haina tatizo kulana viboga kanisani mmetuliaaa km sio nyinyi
 
Read between the lines, Anyway,

- Ni kweli sote ni wa Muumba

-Ni kweli kwa nchi zilizohalalisha ushoga, inakuwa si uhalifu.

Ila je, amesema sio dhambi?
Watu kwa makusudi wanashindwa kutofautisha uhalifu na dhambi, ndio maana Yesu kristo aliwaambia wayahudi waliomtuhumu mwanamme kwa uzinzi kuwa "asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe...."
 
Back
Top Bottom