Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Nao ni mulemule?.Anglikana ndio waliniacha hoi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nao ni mulemule?.Anglikana ndio waliniacha hoi kabisa
Exactly wote inatupasa hukumu kwa kila dhambi tunayoifanya na hakuna kati yetu mwenye utimilifu wa malaika wa kuweza kuhusu wadhambi wenzetuThank you,
Tena umefanya vizuri kumtolea mfano yeye mwenyewe sababu kutwa anatuletea visa vya michepuko na watu wanachangia kwa furaha bila kuhukumu hali ya kua ni uzinzi na uzinzi umekatazwa kwenya hayo hayo maandiko yaliyokataza homosexuality, tunaona kuna mada tele za pombe na watu wanachangia kwa kupeana viwanja vya kupombeka hali ya kua Pombe imekatazwa kwenye hivyo hivyo vitabu vilivyokataza homosexuality,
Papa yupo sahihi, kama ambavyo watu wazima Me na Ke wameamua kwa hiari yao kuzini wakijua wanatenda dhambi na hukumu wataikuta kwa Mungu wao basi hivyo hivyo kwa homosexuality wanajua wakifanyacho ni dhambi na hukumu wataikuta kwa Mungu wao, iweje hao walevi, wazinzi, wasengenyaji, watoa mimba, wanyanyasa yatima na wajane, n.k wajipe ukuu wa kuwahukumu homosexuality hali ya kua wao hawajahukumiwa?
Sisi wote ni wa Mwenyeezi Mungu na kwake tutarejea tutake tusitake.
Bhalaa KubwaKaribuni wafia Dini wa Rumi !!!
5. Angesema ushoga HAUFAI, halafu alie kwa uchungu sana huku akisema Baba wasamehe.Labda unashauri vipi kati ya haya:
1. Angelinyamazia tu jambo hili kama vile halipo?
2. Angesema uongo kuwa ni kosa?
3. angesema uongo kuwa si dhambi?
4. (ongezea)
Tuachane NazoSio kanisa tu, hata mashekhee wanafira watoto, Hizi dini za kuletewa tumepigwa, bora tungebaki kwenye utaratibu wetu wa mila na desturi
Muhimu linda kijambio chako kiendelee kutoa bass!
Amesema ni dhambi. Au kuna dhambi inayofaa?5. Angesema ushoga HAUFAI, halafu alie kwa uchungu sana huku akisema Baba wasamehe.
Siyo kweli?Kiongozi wa kanisa katoliki Duniani Papa Francis amekemea sheria zote zinazopinga ushoga na kusema hizo sheria sio za haki kwani Mungu anawapenda watu wake wote bila ubaguzi, bila kujali kama ni mashoga au lah.
Soma mwenyewe hapa.
Karibu kwenye USABATO.Sio kanisa tu, hata mashekhee wanafira watoto, Hizi dini za kuletewa tumepigwa, bora tungebaki kwenye utaratibu wetu wa mila na desturi
Muhimu linda kijambio chako kiendelee kutoa bass!
🤣🤣🤣 kwamba Linda kinyeoTuachane Nazo
Ni mpumbavu huyu, anaongoza watu. Je Kuna kizazi kitazaliwa kwa mapenzi ya jinsia moja?Maaneno kama haya ya papa ni maumivu sana. Kwahyo kuoa wanawake wawili kwa mkatolik ni uhalifu/dhambi
Waafrika ndio maana tunaonekana wanafiki. Tunajidai kupinga vitu wakati vinatokea katika jamii zetu. Wanafunzi kibao wa kiume wanaingiliana. Jibu hoja tuachane na unafiki, Hapa Bongo mlishawahi kusikia mtu amepelekwa mahakamani na akahukumiwa kwa kosa la kuwa shoga? Sana sana watamtafutia kosa lingine kuwa ni mzembe na mzururajiComment zenu mnavyotetea tu mnajulikana wenye fani zenu
Speakers Wanaipasua🤣🤣🤣 kwamba Linda kinyeo
Watu kwa makusudi wanashindwa kutofautisha uhalifu na dhambi, ndio maana Yesu kristo aliwaambia wayahudi waliomtuhumu mwanamme kwa uzinzi kuwa "asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe...."Read between the lines, Anyway,
- Ni kweli sote ni wa Muumba
-Ni kweli kwa nchi zilizohalalisha ushoga, inakuwa si uhalifu.
Ila je, amesema sio dhambi?