Aibu hii picha ya Tatu ni biden akiwasili na limousine zake picha zinazofata ndio za viongozi wetu.View attachment 2361402View attachment 2361403View attachment 2361404View attachment 2361405
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]inawezekanaKumbe uwezo wa kukaa na kujazana ndani ya basi upo tu[emoji23][emoji23] na kumbe hata wao ni binadamu tu kama sisi. Sasa kwa nini huwa wanajikweza huku?[emoji3][emoji3]
Sema bimkubwa kinamna kama anajiziba uso asionekane[emoji16]
View attachment 2361420
View attachment 2361410
Wewe ni muongo na hujui kitu, sio Biden tu aliyeruhusiwa bali maraisi wengi wa mataifa makubwa Kama France, Israel n.kBiden tu ndio yuko exempt kwa usalama maana maadui ni wengi
Hii Habari aliitoa waziri kuwa ili kupunguza msongamano hata Heathrow haikutumika kwa kupokea wageni mashuhuri
Na pia waliambiwa waje wachache sana yaani kama ni Rais na mke/mume tu na wachache sana
Wote wametua Luton na Stansted na helicopter marufuku
Kupandishwa bus ni sawa tu kupunguza msongamano
La sivyo barabarani tusingepita
Ila na humo kama kuna adui yako ni nkonzi tu haha
Sasa hapo mbona Samia Ni kama amekaa kwenye pozi tu la kawaida
Sawa ndio wapande aboodEbu jamani tuache kulalamika.hivi kila kiongozi wa nchi apewe msafara si watakesha.kuna maraisi wangapi?
Hao ni super power. Wenye msiba wenyewe wana wasikiliza US zaidiKwanini Biden naye asipande basi! Nimekumbuka Obama anaenda Bongo walisema hatutaki ulinzi WENU Yaan
🤣🤣🤣Sasa ni haters kivipi? Kuna hoja ya msingi hapa. Tunapoteza rasilimali nyingi kwa magari ya kifahali na kuwekana kwenye foleni kuwasubiri wapite wakati kumbe inawezekana kabisa kwao kufanya kazi kwa ufanisi kwa gharama nafuu.
Hebu fikiria Biden angewekwa basi moja na yule Raisi Mula wa Taliban? Ingekuwa kazi kuwaamua.
Huenda Raisi Mula angetumia kilemba kumnyongea Biden.
Sasa si ndo ukweli wenyewe, au wewe ulikua huoni masaa yote anapulizwa na feni, na KWa mantiki Iyo angekuepo na akaenda kwenye mazishi nani angeangaika kuweka feni, Kama leo tu wazima wamebebwa kwenye daladala,Kwendraaaaaa huko
kwanza hangeenda angetuma mwakilishi lkn naona Ruto yeye anafurahia tu bado anaona kama muujiza kuwa rais.Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
Kwann isipokuwa wao? Huu ni ubaguzi na upumbavu.. waafrica tuache kujipendekeza ni aibuNi Viongozi wote wa Duniani isipokuwa Biden na PM wa Israel tu
View attachment 2361399
Mkuu hii sababu inaonyesha harujui tunataka nini.Wamejiweka daraja la chini sana wakienda uko Duniani yani viongozi wetu wakienda uko wanakuwa wanyonge wakati wao ni matajiri tatizo lipo hapo.
Ni Viongozi wote wa Duniani isipokuwa Biden na PM wa Israel tu
View attachment 2361399
Ndio utaratibu huo walipanga tangu alipofariki na kweli wapo wafalme wa nchi tofauti pia ila wamepunguza sana kuwa na msongamanoWewe ni muongo na hujui kitu, sio Biden tu aliyeruhusiwa bali maraisi wengi wa mataifa makubwa Kama France, Israel n.k
Pili hakuna foleni yoyote maana kwenye mikutano ya UN maraisi wengi Sana huudhuria na wote hupewa usafiri wao.
Ulipaswa kusema Kama wenyewe wameamua utaratibu uwe huo ni sawa. Na huenda ndio utaratibu wao