Kutokana na sintofahamu iliyo likumba Taifa baada ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kupanda basi huko London inasemekana Serikali italitolea Tamko jambo hilo.
Ukiangalia Ruto alivyokaa, ni dhahiri hata legroom kwenye hilo basi hakuna. 😆😆

Huu ni udhalilishaji wa kiwango cha juu kwa viongozi wetu.
 
Huyu anaanza kutawala Uingereza mwaka 1952 Putin anazaliwa kwao Russia. Ni mtu mashuhuri na mwenye ushawishi mkubwa.
Kama tu ili mtu aingie ndani ya ukumbi wa bunge mpaka kanuni zibadilishwe sembuse kuvuruga protocol ya wakuu wa nchi? Nimetafakati sana hiki kitu, ni zaidi ya tunavyotaka kuliweka simple....Hilo taifa limetudhalilisha wana wa dunia hii ambao ma Rais wetu wamewapa heshima kutuwakilosha
 
Ingetakiwa warushwe vichurachura na kuchapwa fimbo za kwenye makalio kabisa ili wakome kujikombakomba kwa watu. Huku nchi ni kwake 🐭🐭🐭 road wakiua watu, vitu vinapanda bei, tuzo kila mahali, yeye anapuyanga tu huyo Bi.Tozo. Angerushwa vichurachira na kulimwa mitama kabisa.
 
Hayo mabasi waliyo panda usije ukajua ni ni sawa na Simiyu express ..na wametoa sababu zenye mashiko kabisaaa kama mwepesi wa kuelewa sababu na mitazamo ya wengine ni wazi utaelewa tu ..... Na sio ajabu mbona ktk msiba wa kiongoz wetu mkubwa tu baadhi ya mabalozi walipanda vosta
 
Maneno ya kufikirisha sana haya. Waafrika tuamke
 
Tunachojua mama kawahi siti ya dirishani...
 
Sawa mkuu.

Kama exposure basi wakirudi wasitugandishe barabarani masaa mengi kwa misafara yao kumbe kupanda gari moja inawezekana.
 
Hata ukikejeli ila ndio treatment imefanywa kwa wote with exceptions ya hao 6..

Kwa Africans eti Rais wa Zimbabwe ndio alikuwa dereva wa Bus lao 😂😂😂😂
 
Tuache chuki za kipuuzi, wakuu wa nchi zote za Commonwealth wamealikwa na itifaki inafaa wahudhurie wao wenyewe.

Huwezi kuupata mkusanyiko huu wa kihistoria Tena mpaka unakufa.

Wabongo tumevuka kiwango cha chuki na roho mbaya.

Mpuuzi wewe na Shangazi zako,
Ukifa wewe watakusanyika ukoo wako kukuzika,

Unaongelea chuki wakati wewe kutwa kumsema Marehemu Magufuli,

Pathetic.
 
Kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sidhani kama kuna ufafanuzi utatolewa. Labda ufafanuzi utolewe wa kwanini Lissu analala kitanda kimoja na Amsterdam.
 
Acheni ujinga nyie..Hapa wako Marasi wote wa Afrika sipati picha ingekuwa ni SSH ambavyo wabongo wangetokwa na mapovu..

Mambo ya mdomo mdomo na yasiyo na maana WaTzn wanayapenda Sana.
 
Wameenda kufanya nini kama sio kujipendekeza??wewe kila siku mtu yupo kwa majirani utafikiri hana kitanda Wala nyumba . Mbona jiwe alikuwa haendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…