Ukiangalia Ruto alivyokaa, ni dhahiri hata legroom kwenye hilo basi hakuna. 😆😆Kutokana na sintofahamu iliyo likumba Taifa baada ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama kupanda basi huko London inasemekana Serikali italitolea Tamko jambo hilo.
Huu ni udhalilishaji wa kiwango cha juu kwa viongozi wetu.