Kwakweli binafs sijaona shida maana msiba huo ulihudhuriwa na watu zaidi zaid milioni moja, so kama kila mmoja angetembea kwa usafiri wake mbona ingekuwa taabu sana! Huo ni utaratibu tu wa kawaida kabisa tena si kwa Rais Samia wa Tz hata marais wengine wanaonekana hata pichani!
She is an ordinary citizenAs long as yupo salama hakuna shida yoyote
Mbona Biden hakupanda BASI?Acha ujinga wewe, huo Ni utaratibu uliokuwa umewekwa na nchi mwenyeji kurahisisha kuratibu usalama na kufika kwa urahisi eneo la tukio
Kwani mko na shida kila kitu mnajustify kujilinganisha na Kenya wakati wanawazidi kila kitu. Huo ni uzwazwaSasa hapo aibu yake nini? Namuona pia ruto yupo hapo
Minimize which country's cost?I don't see the problem.
What I have seen is, they tried to minimize cost and simplify arrangements for the farewell.
JPM alikua kiongozi mwenye uwezo mkubwa sana.Wakati watu kama akina magufuli wanapambana kutahiri fikra zetu, mbuzi kadhaa wakawa wanambeza, mbaya zaidi wengine wanatunzwa na hawa hawa wanaotudharau.
Anyaway as long as wote wamewekwa ktk bus, nadhani watakuwa wametumia wasaa huo kutafakari kwa pamoja juu ya namna wanavyochukuliwa na hao watu.
Roho mbaya utapaliwa chakula bureHivi nyie watu muko na matatizo?
Kuna ubaya gani ikiwa most head of state wamepandishwa basi?
Huyo Magufuli hata kualikwa asingealikwa
Mazishi ya JPM yalikuaje misafara ya viongozi? Utasema sio mlinganyo. Vipi mazishi ya Mandela kwa hao HoS?Hamna ajabu hapo, Kila kiongozi awe na msafara wake isingewezekana.
Wale wana maadui wengi kwa sababu ya vita wanazopigana mara kwa mara katika sehemu nyingi humu duniani ndio maana hata hizo gari za msafara wake zimeletwa kutoka kwao America !!Mbona Biden hakupanda BASI?
Hangaya hana adui?Wale wana maadui wengi kwa sababu ya vita wanazopigana mara kwa mara katika sehemu nyingi humu duniani ndio maana hata hizo gari za msafara wake zimeletwa kutoka kwao America !!
Leta picha
Yaonekana hata Macron humjui anafananaje
Haya Rais wa Brazil pia hujamuona?
Ama hata humjui?
Hata angepandishwa guta tu mngekuja na excuses with justifications. Anyway She is an ordinary citizen with prevelegiesMbona juzi kati hapa amepanda kwenye boat toka Zanzibar? Wacheni ushamba,kitu cha msingi ni usalama wake umezingatiwa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kila mtu ana adui hapa duniani lakini maadui wanatofautiana wapo ambao uwezo wao ni kuroga tu au kukufanyia fitina tu mtaani 😅😅Hangaya hana adui?
Hapa nani walikuja wa Ulaya? Ya Mandela pengine hukuangalia Tv....Mazishi ya JPM yalikuaje misafara ya viongozi? Utasema sio mlinganyo. Vipi mazishi ya Mandela kwa hao HoS?
Biden ulimuona kwenye hilo kibinyiko? Yeye alifikaje fikaje kwenye msiba?Acha ujinga wewe, huo Ni utaratibu uliokuwa umewekwa na nchi mwenyeji kurahisisha kuratibu usalama na kufika kwa urahisi eneo la tukio
Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
Hahahahaha wako hoi! Hahahaha. Mzungu siyo mtu mzuri kabisa. Hahaha. Ila kumbe yawezekana aiseAibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
Roho mbaya imemuua Magu... nothing worse than calling West mabeberu wakati dawa ARV nazipata kama msaada toka kwao...ujue wengine huyu mshamba alitukwaza sana...nliwaza dawa ntachukulia Kenya au wapi ?Roho mbaya utapaliwa chakula bure
Sio kila jambo upost tuuu umejaa chuki zisizo na mpango
Watu wenye ukimwi mnakuwaga na hasisa sanaRoho mbaya imemuua Magu... nothing worse than calling West mabeberu wakati dawa ARV nazipata kama msaada toka kwao...ujue wengine huyu mshamba alitukwaza sana...nliwaza dawa ntachukulia Kenya au wapi ?