Sasa ni haters kivipi? Kuna hoja ya msingi hapa. Tunapoteza rasilimali nyingi kwa magari ya kifahali na kuwekana kwenye foleni kuwasubiri wapite wakati kumbe inawezekana kabisa kwao kufanya kazi kwa ufanisi kwa gharama nafuu.Usihangaike mkuu, haters wameishiwa hoja kwahiyo sasa ni mwendo wa kuokoteza kila wanachokihisi......la kuchekesha ni kuwa kadiri wanavyoonyesha chuki zao ndivyo wanavyozidi kuonekana hamnazo mno! Sikutegemea km hawa haters ni wapuuzi hv aisee!!!!!
Ile kupanda boat,sio kwa sababu anawapenda wananchi,au ni mjamaa,angekuwa mjamaa,asingekuwa anatumia gari mia kwenye msafara wake,ile kupanda boat ilitayarishwa na watu wa mawasiliano ya umma wa serikali Ili watu wajadili,watoke kwenye lengo la kudai katiba na kufatilia uchaguzi wa kenyaMbona juzi kati hapa amepanda kwenye boat toka Zanzibar? Wacheni ushamba,kitu cha msingi ni usalama wake umezingatiwa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hilo tabasamu limeficha mengi wengine hapo wanawaza kwamba hawa kenge siku wakija Nchini kwangu nawapandisha kwenye mkokoteni wa Punda.Wanatabasam tu wenyewe.[emoji16]View attachment 2361407
Aibu ipo wapi sasa hapo jamani?
Wageni woote wale kila mtu aingie na msafara itakuwaje?
Tuache kaushamba kidogo
Ni Viongozi wote wa Duniani isipokuwa Biden na PM wa Israel tu
View attachment 2361399
Kwani unadhani kabla ya hizi shughuli za mazishi zilikuwa zinafanya kazi gani?Wabongo wanadhani hilo busi ni kama yutong za kwetu.
walipanda Mabasi maalum
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona Hangaya hajavaa barakoa ila akija huku matopeni anavaa barakoa kubwa kama anaenda mwezini!
Kumbe,akija huku bongo atakuta kimbinyiko linamsubiri airportI don't see the problem.
What I have seen is, they tried to minimize cost and simplify arrangements for the farewell.
Kuna basi linaitwa Richmond hapo.
Mmiliki sio wale waliotupiga umeme na mzee wa mvi.
Sioni tatizo ,sema tu wale waliozea misafara mirefu ndo watajisikia vibaya, maisha ni simple Sana sema tu binadam Hasa akishakua na nafasi flani hupenda complication zisizo na maana,Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396