Hawezi kukaa na changanyikeni, kwa hali yoyote lazima alinde status.Hapo ndio nilikuwa napasubiri maana kulikuwa kuna mjadala kama atatua moja kwa moja na Air Force 1 au itakuaje kutokana na pendekezo la UK, kumbe mwamba kaendelea kulinda status
Kumbe uwezo wa kukaa na kujazana ndani ya basi upo tu😂😂 na kumbe hata wao ni binadamu tu kama sisi. Sasa kwa nini huwa wanajikweza huku?😀😀
View attachment 2361420
View attachment 2361410Capacity ya mabus yao yote imeandikwa pale mbele Kwa chini ya driver kuanzia wangapi wanasimama , wangapi wanakaa na wheelchair ngapi siyo kujazana Mpaka mtu unashindwa hata kuhema
Kwa hiyo atakunya wapi sasa?Naskia museven alitaka kwenda na hii ndinga wamemgomea[emoji16]View attachment 2361424
Sioni tatizo lolote hapo kwa Rais au Marais pale tu wakiwa Wengi katika Tukio Moja Kubwa na Muhimu Kupandishwa Basi Moja.Aibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
Mbona hajavaa barakoa?
Hiyo inaitwa Pecking order!!! Le American Presidente hawezi kuwa na ulinzi sawa na third au second world leader. Ni mtu muhimu mno huyo. Humo ndani ana mashushushu wake wa kutosha.Ni Viongozi wote wa Duniani isipokuwa Biden na PM wa Israel tu
View attachment 2361399
Yule ni unofficial world president. Anatafutwa na kila mtu hawezi kujirisk kihivyoHawezi kukaa na changanyikeni, kwa hali yoyote lazima alinde status.
Kwa nini Biden asipandishwe mwendokasi kama maraisi wenzake ndo wananzengo wanahoji hapa.Sioni tatizo lolote hapo kwa Rais au Marais pale tu wakiwa Wengi katika Tukio Moja Kubwa na Muhimu Kupandishwa Basi Moja.
Hii hata hapa Kwetu Tanzania ilishafanyika katika awamu ya Rais Mstaafu Kikwete na hata pia katika Awamu ya Hayati Rais Dkt. Magufuli.
Na hili linafanyika Kiusalama zaidi kwani katika Mkusanyiko mkubwa wa Marais kama uliopo huko Msibani Ulinzi wa Viongozi ( VIP's ) huwa ni rahisi kama Wote wakiwa pamoja kuliko kila Rais Akilindwa kivyake na Itifaki yake kwani kuna Uwezekano mkubwa ikasababisha Usumbufu fulani utakaopelekaççv hata kupoteza muda na kuharibu Ratiba ya Tukio zima.
Mbona bus zuri tu jamani? Hawa wanaosema linafanana na linalokwenda bariadi wameona humo ndani?
Ahaa hata hivyo anajua huku bongo ni story kubwa akirudi watu watasema apande bus kwenda dodoma[emoji1787]
Kwa nini Biden asipandishwe mwendokasi kama maraisi wenzake ndo wananzengo wanahoji hapa.
Hebu tufafanulie hili limekaaje?
Hii ni itifaki ya kawaida sana hasa pale kunapokuwa na wageni wengi..wala haikuwa na haja ya kufungulia Uzi hapa..ungeuliza kwanzaAibu!
Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi.
Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
View attachment 2361396
Dharau hizi bora kutoenda tu kuliko kujidharirisha kama hivisiyo Biden tu, G7 leaders ( na Israel PM ) wote wameenda na usafiri wao binafsi
takataka zingine ndiyo zimeswekwa kwa basi