Habari wadau..

Chadema wanatia aibu Sana yaani kwa vijengo hivi vya Ofisi ndio wanashangilia na kujipiga kifua 😜😜
Acha kumbwela mbwela.
Hii ni nchi ya chama kimoja.

Hatutaki vyama vingi mpaka mwisho wa dunia.

Tunataka chama kimoja kama urusi na china
 
Huwezi kua na akili timamu ukaamini hapo imetumika 116M na ukaiamini hiyo taarifa
 

Hiyo ofisi haijajengwa kwa fedha za chama au serikali, bali ni michango ya hiari ya wanachama wake. Kama sio bei hiyo waliochanga pesa ndio wanapaswa kuhoji kuwa thamani ya ofisi haiendani na jengo husika. Au umekuja kupunguza mashambulizi yal mabehewa ya treni ya mgao wa umeme?
 
Chadomo haina ramani za majengo yake ya ofisi za wilaya?

Kwa hiyo Hilo ghala ndio la mil.116? 😜😜😜😜😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…