Mbowe hana haja ya kujenga jengo ili achaguliwe alivyoijenga Chadema kimuundo na kitaasisi ni zaidi ya jengo la matofali.Kampeni hewa ya mbowe hiyo kutaka aendelee kupewa uenyekiti chadema.Uchaguzi mkuu wa chadema uko njiani.Sasa hivi utasikia kila Aina ya propaganda za chadema sijui kufanya hiki sijui kufanya kile vyote hewa hewa tu kuwalaghai Wana chadema
Hiyo ni biashara mkuu, kuna kipindi walisema atakaye shona na kuuza sare za Chadema atanyang'anywa leseni leo madukani zimejaa.yeyote atakayethubutu kuwauzia cement nondo ,atakiona acha moto,ma engineer watakaojenga lazima washughulikiwe kikamilifu
ilikuwa awamu ya mzee bure,wakolomije hawana simile ni ubabe tu,watapotezwa lazima,ikibidi hata mr slim atasaidiaHiyo ni biashara mkuu, kuna kipindi walisema atakaye shona na kuuza sare za Chadema atanyang'anywa leseni leo madukani zimejaa.
Hata mie nina bonge la ramani ya mjengo wangu wa kisasa. Tena ramani 3D.
Likijengwa nagawa mke wangu kwa kwa mwaaume humu wiki nzima.hili jengo likijengwa naomba mnipige risasi
halitajengwa,hujaona hata juzi Golden tulip wamewarudishia hela za kukodi ukumbi hata kule simiyu pia mwenye ukumbi alifunga akakimbia,hakuna hata fundi atakayebeba tofali,atakayethubutu atashughulikiwa kesi ya ubakaji au uhujumu uchumi, kwa hiyo usiwe na wasiwasi Comrade tuko vizuriLikijengwa nagawa mke wangu kwa kwa mwaaume humu wiki nzima.
Suala la uenyekiti wa Mbowe ni suala la Chadema na mbwa koko hawaruhusiwi kulijadili,mumeshindwa ku- impose mtu wenu inawauma, pambaneni na Membe kwanza.Kampeni hewa ya mbowe hiyo kutaka aendelee kupewa uenyekiti chadema.Uchaguzi mkuu wa chadema uko njiani.Sasa hivi utasikia kila Aina ya propaganda za chadema sijui kufanya hiki sijui kufanya kile vyote hewa hewa tu kuwalaghai Wana chadema
Heeeee kweli hiyo Demokrasia . Basi hicho Chama kibadilishwe jina kiwa na Majina mengine maana huko shuleni Wanafunzi wanachanywa na hiki Chama kujiita Chama cha Demokrasia.Mwenyekiti wa kudumu ni wa kwetu, ninyi kinachowawasha ni nini? Mungu mbariki Mbowe
Huna haja ya kugawa mbona tayari mke wako alishaanza kugawa zamani anaitwa cha wote.Likijengwa nagawa mke wangu kwa kwa mwaaume humu wiki nzima.
Kongole kwao..Hapa sasa mambo ni mazuri...hii iwe mwanzo sasa wa kuwa na ofisi za kisasa kila kanda ,kila wilaya na hatimaye kila shina....na vitega uchumi kama wenzenu wa upande wa pili
Ahahahaaaaa nae ni dikteta tu kama Iddi AminiMwenyekiti wa kudumu ni wa kwetu, ninyi kinachowawasha ni nini? Mungu mbariki Mbowe
Mmeshindwa kunenga nyakat zile mnapata mamilion ya ruzuku, mtajenga sasa wabunge weng wamewakimbia na kupunguza ruzuku? Jitahidin mjenge angalau choo maana next election mnamalizika
Tayari JIwe katajwa uzi hata Hauna mahusiano naye. Aibu hiyo. Swali hapa ni fedha zitatoka wapi.
Kama walishindwa kujenga Jengo walipomchukua Lowasa wasahau.Ila Pwani nwwapongeza walitumia pesa za Sumaye kikamilifu Wana Jengo zuri Sana.Sumaye alipoingia chadema hawakumkawiza wakamkwapulia pesa zake chap chap na kumpa cheo Cha mwenyekiti wa chadema Kanda ya Pwani akawajengea Jengo.Lowasa alikwenda na matajiri Akina Rostam Aziz nk na matajiri wengi walikuwa nyumma Yake wangewatumia ilikuwa kazi ndogo tu.Chadema walikuwa na matajiri wengi Sana kuondoka kwa Lowasa na kufariki ndesamburo kumebomoa daraja linalounganisha chadema na matajiri.Sasa hivi Sio rahisi.Chadema mitandaoni hawatoi hela kwanza hawana Ni porojo tu.Ruzuku inakatika muda mfupi tu miezi michache ijayo .Hata waseme ruzuku yote iliyobaki watatumia kujenga hela haitoshi na uchaguzi mkuu watakuwa pesa hawana na mishahara ya wafanyakazi pesa itakuwa hamna.Kiujimla hiki kinachosemekana mchoro wa jengo la makao makui Ni ramani hewa iliyoletwa kuwa lagjai wanachadema kwa lengo analolijua Mbowe na genge lake la Akina Godbless lema tuKongole kwao..Hapa sasa mambo ni mazuri...hii iwe mwanzo sasa wa kuwa na ofisi za kisasa kila kanda ,kila wilaya na hatimaye kila shina....na vitega uchumi kama wenzenu wa upande wa pili
Ukitaka kijua kuwa chadema Kuna wajinga cheki walivyoisifia hiyo picha wakiita ramani.Mleta mada Ni kilaza wa kutupwa hajui hata ramani ya jengo ikoje.Tukiwaambia chadema akili zao ndogo wao hubisha ona Sasa walichokileta wanaita ramani ya jengo!!! Mleta mada kwa hiyo ulicholeta ndio kwenu chadema mnakiita ramani? Kwa hiyo hiyo ndio ramani mtakayompa contractor ? Uwiiii mbavu zangu mieLakini mbona sioni ramani, kama heading inavyosema?!
Wewe mbwa wa kike unatoka kwenye familia ya kichawi na wewe ni mchawi nyambafu