Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
π
π
π
π
π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lumumba nitaendelea kuwakera mpaka akili ziwarudi, unasema nisijifanye najua tabia ya kujifanya iko lumumba ndio maana unaweza kucheka hata ujinga.Tuliza akili sio kila unaemuona humu ni CCM,Chadema au ACT
Na usijikute unajua kujibu pumba kila member humu jukwaani
Jifunze heshima na kusikia kile usichokipenda najua unashabikia Chadema
Sasa kama unapinga maoni ya wengine hiyo demokrasia unayoihubiri inatoka wapi.
Kwani umechangiaKwa hiyo Ndio hicho kituko kinaweza kula 116? Majuzi makubwa nyie
Kama umeshindwa kutunza mtoto wako unawezaje kuomba kazi ya kituo Cha kulelea watoto wa wenzio?Kwani umechangia
Mke wangu nimemuoa mimi nikimchakata ninavyotaka inakuhusu nini.
Kaskazini sisi hatunaga domo kaya tunakuchana.
Kwa hiyo acha unaaaaa
Wewe inaonyesha hujawahi kujenga hata banda la kuku, tuliojenga hatushangai sana kwa gharama hiyohako kajengo kamegharimu tshs 116mil, aisee!!!
Nyinyi ndio mko na credibility mnaochukua hadi kodi za wananchi kujenga CCMKama umeshindwa kutunza mtoto wako unawezaje kuomba kazi ya kituo Cha kulelea watoto wa wenzio?
Majinga Sana nyie,hamna credibility yeyote ya kumkosoa mtu nyie.
Huo upuuzi wako peleka lumumbaTuko kwenye hoja ya kajengo ka mil.116,wewe unaona Ni sawa?
Tuwekee source ya taarifa ya 116mHabari wadau..
Chadema wanatia aibu Sana yaani kwa vijengo hivi vya Ofisi ndio wanashangilia na kujipiga kifua [emoji12][emoji12].
Jengo Ni baya Kama Godown/Store ya kutunzia Dagaa,Mbaya zaidi eti gharama Ni mil.116 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Kama mnavyojua muonekano wa nje wa kitu huakisi uwezo wa Akili na hulka yake.
Kama Ofisi tuu zimewashinda hiyo Nchi wataiongozaje? Where is value for money kwa hako kajengo ka 116?[emoji116]
View attachment 2428886View attachment 2428887
Hii hapa πTuwekee source ya taarifa ya 116m
Mkuu umeme upo kweli kwenye hicho kibanda cha mlibzi, tofali zenyewe za kuchoma moja ina uzwa shilingi mia na Hamsinihako kajengo kamegharimu tshs 116mil, aisee!!!
Hili ni banda na haliwezi kuwa na thamani hiyo.Chadomo haina ramani za majengo yake ya ofisi za wilaya?
Kwa hiyo Hilo ghala ndio la mil.116? πππππ
lumumba nitaendelea kuwakera mpaka akili ziwarudi, unasema nisijifanye najua tabia ya kujifanya iko lumumba ndio maana unaweza kucheka hata ujinga.
Unapaswa kufanya balance ya hii kitu,ujiridhishe kama ni taarifa rasmi ya chadema then ndio ufanye hitimisho lako.Umelishwa tangopori na wewe umekuja huku kupanua vidole badala ya kupanua ubongo.Wajuzi tunakupuuza na kukuona mshamba tu wa karneHabari wadau..
Chadema wanatia aibu Sana yaani kwa vijengo hivi vya Ofisi ndio wanashangilia na kujipiga kifua ππ.
Jengo Ni baya Kama Godown/Store ya kutunzia Dagaa,Mbaya zaidi eti gharama Ni mil.116 ππππ.
Kama mnavyojua muonekano wa nje wa kitu huakisi uwezo wa Akili na hulka yake.
Kama Ofisi tuu zimewashinda hiyo Nchi wataiongozaje? Where is value for money kwa hako kajengo ka 116?π
View attachment 2428886View attachment 2428887
Nchi Ngumu hiihako kajengo kamegharimu tshs 116mil, aisee!!!
Mtoa nada ni mnafiki, hizo gharama kazitoa wapi?hako kajengo kamegharimu tshs 116mil, aisee!!!
Mkuu mleta mada katunga hizo gharama, muulize hizo taarifa za gharama kazitoa wapi? Pili muulize kule kwenye serikali ya CCM kibanda cha mlinzi kimejengwa kwa mil17 kuna yeyote aliyechukuliwa hatua?Mbona hela nyingi hivyo? Million 20 ndio halali yake, Chadema hapa tumepigwa.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app