Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni
Tuliza akili sio kila unaemuona humu ni CCM,Chadema au ACT

Na usijikute unajua kujibu pumba kila member humu jukwaani

Jifunze heshima na kusikia kile usichokipenda najua unashabikia Chadema

Sasa kama unapinga maoni ya wengine hiyo demokrasia unayoihubiri inatoka wapi.
lumumba nitaendelea kuwakera mpaka akili ziwarudi, unasema nisijifanye najua tabia ya kujifanya iko lumumba ndio maana unaweza kucheka hata ujinga.
 
Kwani umechangia

Mke wangu nimemuoa mimi nikimchakata ninavyotaka inakuhusu nini.

Kaskazini sisi hatunaga domo kaya tunakuchana.

Kwa hiyo acha unaaaaa
Kama umeshindwa kutunza mtoto wako unawezaje kuomba kazi ya kituo Cha kulelea watoto wa wenzio?

Majinga Sana nyie,hamna credibility yeyote ya kumkosoa mtu nyie.
 
Afrika yatupasa kuangalia muundo mwingine Wa kiutawala. Ndani ya miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Wa bars letu DEMOCRACY imeshindwa vibaya sana... Sidhani kama Yale maendeleo ya wazungu ya meletwa na hii democracy
 
Kama umeshindwa kutunza mtoto wako unawezaje kuomba kazi ya kituo Cha kulelea watoto wa wenzio?

Majinga Sana nyie,hamna credibility yeyote ya kumkosoa mtu nyie.
Nyinyi ndio mko na credibility mnaochukua hadi kodi za wananchi kujenga CCM
Hata aibu huonii
Wananchi wanachama wamechanga pesa matokeo mwehu mmoja kama wewe huoji
Wanachama wa ccm hawawezi bila kuona sehemu ya kupigia dili.

Check MCCM mnavyomchukia BASHIRU
Alivyowapiga wapiga dili nock out.
 
Habari wadau..

Chadema wanatia aibu Sana yaani kwa vijengo hivi vya Ofisi ndio wanashangilia na kujipiga kifua [emoji12][emoji12].

Jengo Ni baya Kama Godown/Store ya kutunzia Dagaa,Mbaya zaidi eti gharama Ni mil.116 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Kama mnavyojua muonekano wa nje wa kitu huakisi uwezo wa Akili na hulka yake.

Kama Ofisi tuu zimewashinda hiyo Nchi wataiongozaje? Where is value for money kwa hako kajengo ka 116?[emoji116]

View attachment 2428886View attachment 2428887
Tuwekee source ya taarifa ya 116m
 

Attachments

  • D13C8707-BDC8-4FE8-9E7B-4EE76928A318.jpeg
    D13C8707-BDC8-4FE8-9E7B-4EE76928A318.jpeg
    41.5 KB · Views: 2
Kwahyo unanibatiza chama au sio

Halafu unajikuta mpambanaji mwenyewe na wanakusifia viazi wenzio au sio

Tatizo ninaloliona kwako ni malezi bora yalikupita kushoto

Yaani hata kama ningekuwa humu kwaajili ya kupambania chama chochote kile basi nisingekuwa naandika ujinga kama wako huu

Yaani wewe kama ndio miongoni mwa great thinkers wa chama unachokipambania basi iko chama ni mfu

Ada iliyotumika kukusomesha ni heri wangeinunulia nguruwe sasa hivi wangekuwa wanapata faida tu.
lumumba nitaendelea kuwakera mpaka akili ziwarudi, unasema nisijifanye najua tabia ya kujifanya iko lumumba ndio maana unaweza kucheka hata ujinga.
 
Habari wadau..

Chadema wanatia aibu Sana yaani kwa vijengo hivi vya Ofisi ndio wanashangilia na kujipiga kifua 😜😜.

Jengo Ni baya Kama Godown/Store ya kutunzia Dagaa,Mbaya zaidi eti gharama Ni mil.116 😁😁😁😁.

Kama mnavyojua muonekano wa nje wa kitu huakisi uwezo wa Akili na hulka yake.

Kama Ofisi tuu zimewashinda hiyo Nchi wataiongozaje? Where is value for money kwa hako kajengo ka 116?πŸ‘‡

View attachment 2428886View attachment 2428887
Unapaswa kufanya balance ya hii kitu,ujiridhishe kama ni taarifa rasmi ya chadema then ndio ufanye hitimisho lako.Umelishwa tangopori na wewe umekuja huku kupanua vidole badala ya kupanua ubongo.Wajuzi tunakupuuza na kukuona mshamba tu wa karne
 
Mbona hela nyingi hivyo? Million 20 ndio halali yake, Chadema hapa tumepigwa.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mkuu mleta mada katunga hizo gharama, muulize hizo taarifa za gharama kazitoa wapi? Pili muulize kule kwenye serikali ya CCM kibanda cha mlinzi kimejengwa kwa mil17 kuna yeyote aliyechukuliwa hatua?
 
Back
Top Bottom