Umemsikiliza lakini ? Au umeokota vichwa vya magazeti , Hakuna chembe ya swali lako hajaisemea
 
vyovyote iwavyo, mwarabu haikubaliki kuchukua bandari za nchi
 
Hadi 2025 maeneo yafuatayo yatakua chini ya waarabu

1. Serengeti national park
2. Airports zote kubwa
3. Bandari zote za maziwa
4. Bandari zote za bahari
5. Bandari kavu zote
6. Ngorongoro
Mkuu Tabutupu una uhakika na jambo hilo? Ina maana kwa sasa mashirika hayo yanaleta hasira?
 
Mkuu Lukas, wewe umeusoma huo Mkataba au unachuki tu na mtu?
 
kama yule mbunge wa afrika mashariki
 
Kakaa ulaya miaka 6 anakula hela za wazungu mama kamuonea huruma na magongo yake sahizi anaharisha pumba tu
 
Hadi 2025 maeneo yafuatayo yatakua chini ya waarabu

1. Serengeti national park
2. Airports zote
3. Bandari zote za maziwa
4. Bandari zote za bahari
5. Bandari kavu zote
Mbona umeacha kutaja wanasiasa nao watawekezwa wafanye promo ya kuuza nchi yao
 
Chadema wanatafuta kiki Ili wa trend 😁😁
Mkuu huyu naye ni wale wale, tunahoja za kwenye mkataba; sote tuna pita kwenye CHANZO na chanzo cha UHAKIKA ni MKATABA, hawa wengine ni wa kujadiliana nao katika hoja ambayo imebebwa na MKATABA. Watanganyika wengi hubadilika katika mitazamo yao kutokana na yeye kama yeye anavyo faidika na jambo hilo, kwa moja kwa moja ama kwa kupitia kwa mtu fulani na sio kwa faida ya Nchi.
 
Mama ameshakosa nafasi 2025, kwanini ameanguka kirahisi hivyo! Masikini.


YESU NI MWOKOZI
 
'Reasonable.' 'Fair enough'!

Lakini haitoshi. Nchi hii katika miaka ya hivi karibuni imesaini mikataba mingapi mibovu?

Chenge, bila ya aibu yoyote anawaambia watu kwamba "akiamshwa toka usingizini na kupewa mkataba mzuri au mbaya, atautambua mara moja".

Tumeshuhudia ni mikataba mingapi mibovu iliyosimamiwa na Chenge na hao mabingwa wa sheria unaowaandika hapa, kana kwamba tumepata malaika wapya siku za hivi karibuni.
"Ujuaji" una maana nyingi, tunapoona mambo yanayofanyiwa gizani, halafu na kuletwa mbele yetu kwa njia za udanganyifu, ukituita "wajuaji" kwa kubeza tunayoyaona yakisukumizwa kwetu kwa nguvu nyingi zisizo za kawaida, haituvunji moyo hata mara moja kutambuliwa kuwa "wajuaji".

Unajua, hao "madaktari" wa sheria unaotutishia nao, hawatustui kitu. Fisadi hata awe na udaktari wa aina gani, siku zote atabakia kuwa ni fisadi tu katika hali zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…