tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tatizo la mdomo kulemaa/kusogea upande huwa linasababishwa na nini?

    Kuna hili tatizo la mdomo kusogea pembeni ambalo humpata mtu akiwa na umri mkubwa kubisa. Kuna watu wawili ambao nawafahamu vizuri tu wamewahi kukutwa na hiya hali, kimtaa hakuna jibu nimeweza kulipata zaidi ya kuwa wamerogwa/wametupiwa majini. Wakuu naombeni majawabu kwenye hili. Kwa...
  2. Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
  3. Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
  4. M

    Natumia uungwana, huna tatizo la nguvu za kiume, ni mwoga.

    Kama ilivyo kawaida. Kwema ndugu zangu wa JF? Aisee, wanaume wenzangu wanalalamika sana humu ndani, kuhusiana na tatizo la nguvu za kiume, ikiwemo kushindwa kusimamisha uume kwa uimara, au kushindwa kusimamisha kabisa, wawapo faragha. Mimi siyo daktari, ila kuliko kufaidika mwenyewe kimya...
  5. Tatizo la dini ni waumini wake kujikita kwenye mambo mepesi na kuacha mazito yanayogusa binadamu wenzao

    Ukifuatilia waumini wa dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu utagundua huwa wanajikita au wanajielekeza katika mambo mepesi zaidi huku wakiwa hawatilii mkazo yale mazito ambayo yangeboresha maisha ya watu wanaowazunguka. Mfano katika dini ya Ukristo kuna kitu kinaitwa Golden rule/ sheria ya...
  6. OMBI MAALUM KWA LISSU: Tunajua utashinda tunaomba mara baada ya kushinda Mrudishe Zaynab Ashraf tatizo la Mbowe ni Udini dada huyu kakitoa chama mbali

    Mhe Tundu Lissu tunajua utashinda Uchaguzi huu kwa zaidi ya 80% Ombi letu sisi wafia chama tunaomba mara baada ya kushinda Mrudishe Zaynab Ashraf pale Makao Makuu ya Chama, Tatizo la Mbowe ni Udini dada huyu kakitoa chama mbali hakuna asijua hili
  7. R

    Nadhani Lissu hayuko sawa sawa, ana tatizo

    Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu. Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote. Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi! Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA. Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani All these boil down to one cause: Kuna nati fulani...
  8. Tatizo la CHADEMA ni kukosa wazee wa ushauri ndiyo matokeo ya kinachoendelea sasa

    TATIZO LA CHADEMA NI KUKOSA WAZEE WA USHAURI NDIO MATOKEO YA KINACHOENDELEA. Utakubaliana na mimi kwamba chama kikubwa cha siasa aina ya Chadema ambacho uhai wake ni zaidi ya miaka 30 kukosa wazee wa Ushauri ni aibu na ndio matokeo ya minyukano inayoendelea kipindi hiki cha Uchaguzi wa wao wa...
  9. Pre GE2025 Tatizo la Lissu ni tishio kwa wenye mirija. Hawataki ikatwe. Na ukweli ni kwamba akishinda itakatwa. Undugu na kujuana mwisho!

    Dadadeki! Wajumbe pambaneni kwa kweli. Kama mnajijua mpo kwa mazoea zoea na kupenda kuendeleana. Au kupeana peana vinafasi hata kama hamna uwezo Basi hakikishenj huyu Lisu hapiti. Mimi sijui mtoto wa Mwenyekiti. Sijui mtoto wa muasisi. Sijui hawara wa kiongozi Fulani nipewe viti maalumu...
  10. YouTube videos kugoma kupakua.

    Hello guys, Leo nimepita pita kwenye YouTube nikajaribu ku-download video kutumia third-party apps bila mafanikio nimekua nikitumia app kama vmate, freemaker nk ila kwa Leo zimenigomea. Kama Kuna mtu anaweza nipa ujanja wakupakua videos huku YT anisaidie. Natanguliza shukran
  11. Ni uamuzi upi tatizo CHADEMA wa MBOWE kuutaka uenyekiti tena, au ule wa LISU kuitosa nafasi ya umakamu mwenyekiti na kumendea uenyekiti taifa?

    Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema? au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi? na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa, kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
  12. Tatizo la Kuishiwa nguvu mara kwa mara

    Habari ndugu wanajamii forum! Mimi nina mke wangu anasumbuliwa na tatzo la kuishiwa nguvu mara kwa mara,kuna wakati anakosa nguvu na kulegea kabisa hadi mtu unaogopa,tumeshaenda hospital na kupima kila aina ya kipimo, kama pressure,Moyo,eco,hiv, maleria na wingi wa dam pia uko vzuri tu na kila...
  13. Kumbukizi: Tusiwalaumu tena vijana wetu kwa kuendekeza mpira, tatizo lilianzia kwenye kauli za kiongozi mkubwa wa taasisi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa kauli hizi ndugu zangu, kuna sababu ya mtu mwenye akili timamu kuacha kushabikia mpira kweli?
  14. B

    Mwanamke ulie kwenye ndoa, mumeo akipatwa na tatizo la nguvu za kiume, ukiwa na uwezo wa kumtibu utamuhangaikia ama ukamuacha ateseke?

    Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten. What about u mwanamke? Wewe...
  15. Kumbe hatuhitaji Katiba mpya kuwaondoa CCM madarakani, tatizo tunaongozwa na viongozi waroho

    Wakuu... Kumbe wala hatuhitaji Katiba Ili kuiondoa CCM madarakani kama tulivyokuwa tukiaminishwa,. Pamoja na Katiba mbovu tuliyo nayo sasa bado CCM wanaweza kung'oka madarakani , Tatizo letu ni Viongozi waroho wa Fedha na vyeo ndio wanaotuponza , wao ndio wanatukwamisha maana wamekubali...
  16. Mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu na kukosa ute wa mimba

    Ndugu zangu salaam Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu hata akiwa kwenye siku za hatari, pia anakosa ute wa mimba. Kuna kipindi ukimuaandaa analoa kidogo na ukiloweka haiishi dk 5 ameshakauka kabisa..kipindi cha siku za hatari ule ute wa...
  17. S

    Pre GE2025 Kama Mbowe atachukua fomu kugombea uenyekiti, ni bora kuanzisha chama kipya cha siasa. Watanzania wanataka mabadiliko lakini CHADEMA ni tatizo

    1. Mbowe alizingua kwa Zitto. 2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa. 3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano. Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king. Sasa;- 4. Akizingua kwa Lisu, imekula kwake. Kwasababu, watanzania wameamka na watamstukia akidanganya tena. You cannot lie...
  18. Nikipata shida nasaidiwa sana na wanawake, hii inasababishwa na nini?

    Mimi ikitokea nimepata tatizo napata msaada na support kubwa sana kutoka kwa wanawake. Hata kipindi nasoma wasichana walipenda kushirikiana na mimi katika discussions na walinisaidia materials ili nifaulu, na endapo nilifeli walijikusanya hata wasichana watano kunipa ushauri. Sasa ni mtu mzima...
  19. Nywele kukatika kwa wanawake: Tatizo, Sababu na Suluhisho.

    Nywele kukatika ni tatizo linalowakumba wanawake wengi, na linaweza kuathiri kujiamini na muonekano wa jumla. Tatizo hili linaweza kusababishwa na mambo mengi, ikiwemo matumizi yasiyo sahihi ya bidhaa za nywele, lishe duni, na matatizo ya kiafya. Kila mtu anayekatika nywele ana sababu tofauti na...
  20. Ukiwa na hichi chombo foleni haitakuwa ni tatizo kwako

    Hichi kifaa kinaitwaje na kinauzwa bei gani? Nataka niwe naruka angani niachane na hizi foleni za barabarani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…