tume ya jaji lila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Emmaus Mwamakula: Tume ya Jaji Lila imekwepeshwa mambo muhimu juu ya Mauaji ya Oktoba 2025

    Ndugu Watanzania! Rais Samia aliunda Time ya Jaji Lila kwa ajili ya kuchunguza au kubaini makundi makuu manne ya watu ambayo ni: 1. Watu waliopanga kile ambacho yeye alikiita kuwa ni matukio ya vurugu kabla, wakati na pia baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025. 2. Watu walioratibu kile...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tume ya Jaji Lila yaanza, kusaka waliopanga kufadhili Ghasia za Oktoba 29

    Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, baada ya kukamilisha uchunguzi wa awali kuhusu matumizi ya nguvu katika kudhibiti vurugu hizo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Tume ya Jaji Lila katika kivuli cha ripoti ya Chande: Nini kitarajiwe?

    “Tume ya Jaji Lila ni ukuta unaojengwa kwenye msingi ulioandaliwa na Tume ya awali ya kutambua vyanzo vya vurugu za Oktoba 29, 2025, iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Othman Chande. Kama taarifa kwa vyombo vya habari inavyoeleza, Tume ya Jaji Lila ni utekelezaji wa mapendekezo ya Tume...
  4. JamiiForums Tanzania Tarimba: Wana Kinondoni Tujitokeze Kutoa Ushahidi Ili Waliohusika Wachukuliwe Hatua

    Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Mhe Abbas Tarimba amewataka wananchi wa wilaya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa Wananchi wa Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja Tume hiyo ya kimataifa inayoundwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Wananchi wawe na imani na tume ya jaji Lila

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi mbele ya Tume ya Jaji Lila, ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa wananchi wa wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja. Rungwe amesema wananchi wanapaswa...
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi Wa Ubungo Wahamasishana Kutoa Ushahidi Kwenye Tume ya Jaji Lila

    Wananchi wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam wamehamasishana kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Uchunguzi wa vurugu na uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Soma pia: Jaji Lila Awaita Wananchi Wa Ilala Kutoa Ushahidi Kwa Tume Ya Uchunguzi Wa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Msando Aonya Wanaokataza Watu Kutoa Ushahidi Kwa Tume ya Jaji Lila

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando amewataka wananchi wa Ubungo kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo ipo katika Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja. Soma pia: Tume ya Jaji Lila yaanza kazi, yapewa hadidu tano za kuchunguza wahusika wa ghasia...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Nshala: Tume ya Jaji Lila ni kutaka kuwasafisha watawala haramu wa Serikali ya Samia na kuwabambikia wengine mauaji ya Oktoba 29

    Akiwasilisha maadhimio ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leo Septemba 19, 2026, Dkt. Rugemeleza Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA amesema; “Kamati Kuu inasema kile kilicholengwa na Tume ya Jaji Lila ni kutaka kusafisha Watawala na Serikali iliyopo madarakani ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nshala: Tume ya Jaji Chande na ya Jaji Lila zote ni batili. Kilichofanywa na Samia ni ukiukwaji wa Katiba

    Dkt. Rugemeleza Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA leo Septemba 19, 2026 akitoa maadhimio ya Kamati Kuu ya chama hicho, amesema; “Tume ya Jaji Chande ilikuwa ni batili na kazi zote zilizofanywa ni matumizi mabaya ya fedha za umma na ilikiuka ibara ya 27(1)(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
  10. JamiiForums Tanzania Tukumbushane hadidu rejea za tume ya Jaji Lila.

    Nimekaa nikawaza hapa tu lengo la kumvua uanachama Nchimbi ni lipi? Nikiwa sijapata jibu la swali hilo mara gafla akili ikaniambia rejelea Hadidu rejea za Tume ya Jaji Lila, wakuu moja ya hadidu rejea ya Msingi na ya kwanza kabisa iliyopewa Tume ya Jaji Lila..Ni kina nani wahusika au...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Lila yaanza kazi, yapewa hadidu tano za kuchunguza wahusika wa ghasia

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Shaban Ally Lila, amesema tume hiyo imeanza kazi ikiwa na hadidu tano za rejea zitakazoongoza uchunguzi wake na kubainisha upana...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Jaji Shaban Ally Lila, amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuwa Tume hiyo inaenda kutekeleza kazi iliyoelekezwa ya kuchunguza na kubaini wahusika wa ghasia za...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Lila kuanza uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29

    Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza rasmi maandalizi ya utekelezaji wa majukumu yake. Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 24, 2026 jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Madeleka: Hawa watu walioua, kuuliwa watachunguzwa na tume gani?

    Mtangazaji (Rausath Sued):"Tumeona Rais amezindua tume ikachunguze wale waliohusika na yale matukio yaliyotokea tarehe 29. Kwa unavyona, hii tume iliyoundwa na Rais ni tume ya kijaji kama ilivyokuwa ikipendekezwa na tutakuwa tunatelekea sehemu nzuri ya kuweza kuiponya taifa?" Peter...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Swala la jinai haliitaji Tume ya Rais, sitegemei lolote jipya kwenye Tume ya Jaji Lila

    Mahojiano ya Wakili Peter Madeleka, yaliyorushwa na SAUT Digital Agosti 9, 2026 eo: Madeleka: Kitakachokwenda kupatikana kwenye tume hii ni ripoti. Ripoti ambayo ni mali ya Rais. Mali ya Rais ambayo hawajibikii kuitoa adharani kama alivyofanya kwenye Tume ya Jaji Jishande. Sasa sitegemee...
  16. JamiiForums Tanzania Godfrey Polepole awataja wahusika wa mauaji ya Oktoba 29. Ashauri Serikali isimalize pesa kwenye Tume ya Jaji Lila

    Ujumbe huu hapa👇 Nukuu ya alichokisema Godfrey Polepole "Ningependa kusema mamlaka za Tanzania zimuachilie huru Balozi Humphrey Polepole. Hilo ni la kwanza. La pili, nataka kumwambia Mama Samia Suluhu Hassan, Mama Samia usipoteze pesa ambazo ni kodi za Watanzania kwa ajili ya kuwalipa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Chama cha Upinzani Namibia chapinga uteuzi wa Jaji Damaseb kuwa Mjumbe wa Tume ya Jaji Lila

    Chama cha upinzani cha Namibia, Affirmative Repositioning (AR) kimepinga vikali uteuzi wa Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus Tileinge Damaseb, kuwa mjumbe wa Tume ya Rais ya Uchunguzi nchini Tanzania, kikisema hatua hiyo ni ya kisiasa na inaweza kuhatarisha uhuru wa mahakama ya Namibia. Kwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tume imepewa muda wa miezi mitano kutekeleza majukumu yake na kuwasilisha ripoti rasmi

    Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, uliofanyika Leo Agosti 7, 2026 Ikulu ya Dar es Salaam, Rais Samia ameeleza kuwa Tume hiyo imekabidhiwa hadidu za...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana. Tume inakwenda kutafuta nani walichochea, waliotoa fedha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 07, 2026, amezindua rasmi Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Rais Samia...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Tume ya Jaji Lila haina mamlaka ya kisheria kupeleleza jinai

    Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…