wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kupeana penzi wakati wa mvua kunaongeza kinga ya mwili

    Haijalishi ni muda gani Ila Unapokuwa free na mpenzi/mwandani wako asikae kinyonge wakati wa baridi mtie mguu wa mtoto mpe mkwasa🤣wa mashavu ya chini. Faida za tendo wakati wa mvua 1.kuimarisha upendo baina ya wenza 2.kuondoa stress za Kazi na biashara 3.njia ya kutatua Ugomvi 4.inachochea...
  2. Naibu Waziri Katimba: Kamilisheni Miradi kwa Wakati Kuharakisha Tija kwa Wananchi

    MHE. KATIMBA - KAMILISHENI MIRADI KWA WAKATI KUHARAKISHA TIJA KWA WANANCHI Naibu Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba (Mb) amemtaka Mkandarasi na Mtaalamu Mshauri anayetekeleza Mkataba wa Ujenzi wa miundombinu inayoratibiwa na mradi wa TACTIC wilayani Kahama Mkoani Shinyanga...
  3. Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

    Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza. Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake. Hii ni aibu. https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb Video ndefu zaidi hii hapa…...
  4. Unafuta Sherehe za Uhuru kuokoa pesa wakati huo huo wale wote walio husika na upigaji report ya CAG mwaka huu umewasamehe kwa asilia 100

    Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga. Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
  5. 99% ya wanawake waliokusumbua hawamfikii kwa uzuri mwanamke uliyenaye sasa hivi. Wakati mwingine unawashukuru kwa walivyokukatalia

    Kwema Wakuu! Kijana ambaye upo 17-25 hawa wanawake wanaokusumbua Muda huu na kukatalia kuwa hawakutaki. Baada ya Miaka kumi ijayo utakapopata Mkeo utagundua kuwa wanawake waliokukatalia hawakuwa wazuri kiasi hicho isipokuwa ni balehe na nyege ndio zilizokuwa zinakuendesha. Kwa Sisi kaka zenu...
  6. M

    Najiuliza wakati shetani anaasi mbinguni, alishawishiwa na nani? Maana hakukuwa na shetani muda huo. Binadamu tunashawishiwa na shetani dhambini

    Hili swali huwa najiuliza sana Ni nani alimshawishi shetani kumuasi Mungu? Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuasi ?
  7. C

    Yaliyokuwa yanafanyika Uganda wakati wa utawa wa Idd Amini ndiyo tunayaona sasa

    Nimeamini kuishi kwingi ni kuona mengi, hivi hii ndiyo Tanzania ya nyerere tuliyokuwa tunawalaani watawala madikteta popote pale duniani. Tulikuwa na jirani yetu akiitwa Iddi Amini dada, akifanya haya yote tunayoyashuhudia tulimuona kama mnyama asiyekuwa na utu hata kidogo lakini leo hii...
  8. Wakati naleta Uzi kuwaomba viongozi wa juu CHADEMA kususia uchaguzi na siasa nilisema kuwa viongozi wa chini hawana ulinzi kama nyie

    Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3. 1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu. Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
  9. K

    Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana. Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
  10. R

    Kwanini watu wakitekwa au kupotea viongozi wa CCM hawakemei au kulaani kwa wakati?

    Nadhani viongozi wa CCM wanapaswa kubadili msimamo wao. Kila ikitokea taarifa ya kutekwa au kuuwawa kwa asiye mwana CCM wao ukaa kimya. Kwa kuzingatia umuhimu wa haki ya kuishi niwaombe wabadili response strategy zao na wajitokeze mapema kulaani na kukemea. Ukimya wa CCM umepelekea hata vyombo...
  11. Kwanini wanaume wengi wanaoendeshwa na wake zao hupenda kujionyesha vijogoo wakati ni tetea?

    Wanangu, huwa sipendi kuchangia wala kujadili mambo ya ngono na mambo binafsi. Ila baada ya kusoma nyuzi nyingi za wanaume wanaobemendwa na wake zao wakijifanya vijogoo, nimeamua lau leo niulize. Kuna nyuzi nyingi za kuwakandia na kuwaonyesha wanawake kama viumbe wa ajabu na dhaifu. Nahisi wengi...
  12. Freeman Mbowe, ni wakati wako sasa wa kuachia ngazi kwa heshima, siasa za kuonewa huruma hazitoifikisha mbele CHADEMA

    MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU. Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama kilichodhaniwa mbadala wa CCM. Siasa za Mbowe za kuonewa huruma kila mara Wananchi tumezichoka na...
  13. S

    Ushauri:CHADEMA na wanaharakati mbalimbali, wakati umefika Mdude apewe tuzo ya ushujaa katika siasa za mapambano na harakati za kupigania haki za watu

    Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa. Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
  14. Wakati washambuliaji walipoteka Eneo takatifu la Waislamu

    Siku ya tarehe 20 Novemba 1979. Ilikuwa ni tarehe ya kwanza ya Muharram. Msikiti mkubwa zaidi wa Makka ulijaa mahujaji wa Pakistani, Indonesia, Morocco na Yemen pamoja na wenyeji. Katika umati huu wa watu pia kulikuwa na waasi, ambao walivaa nguo nyekundu zilizofunika vichwa vyao. Baadhi yao...
  15. B

    Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  16. F

    Ni mwiko kufagia wakati maiti iko ndani,kufanya hivyo ni kujipunguzia muda wa kuishi.

    Mh! Mbona unaingia Kwa lazima? 😂
  17. D

    Alichofanyiwa huyu askari wakati wa uchaguzi jana kitampunguzia ari ya kipolisi maisha yake yote

    Ni katika kituo cha kupigia kura Mivumoni madale Majira ya asubuhi vituo vinafunguliwa! Polisi wanawathili kwa ajili kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao (kura zao) Masanduku ya kura yakaandaliwa na kupangwa kwa ajili ya upigaji kura! Wasimamizi wa uchaguzi (walimu ) wakiwa...
  18. LGE2024 Kigamboni: Mawakala wa CHADEMA walalamika kutokuapishwa hadi sasa wakati Mawakala wa CCM wakiendelea na mchakato huo

    Wakuu, Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA wameripotiwa kukumbana na changamoto ya kutokuapishwa. Siku ya jana mawakala hao walipoenda mapema...
  19. Ifike wakati haya mashirika yetu ya nyumba yaanze kununua maeneo ambayo ni prime kwenye miji yetu

    Kwa vile mimi simjuaji naomba kuuliza, hivi kuna utaratibu Mashirika yetu ya nyumba kununua maeneo mapya kwa ajili ya kuyaendeleza? Na kama ndio hawawezi kununua Kinondoni,Magomeni Mwananyamala, Nearby Airport na maeneo mengine ambayo ni prime kwa utaratibu mzuri? Build Vertical Residence...
  20. W

    Safari ya Malezi Bora wakati huu wa likizo

    Wakati wa likizo ni fursa ya kipekee kwa mzazi au mlezi kujenga uhusiano bora na mtoto. Huu ni muda wa kumfundisha ujuzi muhimu kama vile usafi, kupika, kuogelea, au hata kutembelea maeneo ya kufurahisha. Mbali na hilo, likizo ni wakati wa kuonesha upendo kwa mtoto wako, kumfundisha kujieleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…