Leo mtani wetu klabu ya Yanga imetimiza miaka kadhaa tangu kuanzishwa,,
ingawa imeangukia siku mbaya baada ya Jana kuangukia pia baada ya kutoa sare na Jkt ya masau bwire ila ndio hivyo maisha lazima yaendelee TU hakuna namna.
Nawaza TU hapa sherehe na shamra shamra zitafanyika kweli??, au...