To be honest, Leo Tundu ameongea point sana, jamaa anajua kulitawala jukwaa na kwa aliyoyaahidi kama ni kweli yakitekelezwa hapo baadae yatafuta machungu ya watu wengi sana, Leo alijipanga sana. Mwenyezi Mungu amtangulie.

Hayatekelezeki ni mambo ya kujifurahisha tu
 
Lissu atapata pesa ya kutimiza ahadi zake pale-pale Mzee Pombe alipopata pesa ya kujenga Chato International Airport.

Mataga leo speech ya Lissu imewauma mnoooo kwa kuwa imegusa watanzia wanaotaabishwa na Mzee pombe na CCM.
Hakuna sera
 
Alisema Nini Mkuu


tayar ameshakua potrayed as someone anaetaka kuuza nchi na ukiskiliza hotuba zake hua anakazia sana mahusiano na nchi zingine, watanzania ni watu ambao ni social na wajamaa, ni tafaut na nchi zingine! ukisema swala la kuweka watu kutoka nje tz tayar ni doa kwa sababu ya ule ujamaa tulionao, so he is already out of the game na sidhan kama watu watamwelewa tena kwa jinsi anavokua potrayed jumlisha na ule mkasa wa madini, inshort he is already out of the game mda mrefu

ukiangalia spunda na lissu, utaona kabisa hata ile mada ya kusema ataleta ubwabwa inaonekana ina mashiko zaidi ya kelele za lissu, ameshaharibu mchezo na ni mda muafaka wa kusema bye kwa chadema
 
Mkuu alietuahidi kutujaza mapesa million 50 kila Kijiji ni Cheyo?.
 
Haha ha! Unapata shida sana. Watanzania wamechoka hadithi za ndege mnazoambiwa zenu wakati hata baiskeli huna, reli wakati Tunduru sio reli tuu Bali hata barabara hawaijui.

Hakika Magufuli ni Mshamba sana na taifa kuongozwa na mshamba ni bahati mbaya. I'm sorry kwa nilio wauzi
 
Hizi ni hisia tu mkuu
Watz wa kawaida tumemuelewa Sana Lissu

Kajibu hoja halisi za maisha ya watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…