Nitahakikisha sipati ajira ili nisilipe mkopo.
Kwa hili nakupinga mkuu! Sikubali hii riba kubwa, 15% ambayo itabidi aliye pewa alipe, ni mzigo mzito kwa Mtu anaye anza maisha.
Lakini ni vizuri kuitumia hiyo pressure siyo tu kulenga kulipa mkopo, lakini pia kujiendeleza.

Ukijua unafukuzwa na simba, utaongeza mwendo! Inawezekana simba asikukute, lakini pia anaweza kukusaidia kufika mapema!! Kwa hiyo At Calvary, kubali kulipa huo mkopo, iwe kwa kuajiriwa au kujiajiri, lakini utumie kama pressure ya kujiendeleza kiuchumi na discipline ya matumizi! (Nje ya mada lakini somo la muhimu!)
 
Kama Lissu atapita kwenye uraisi

Siwezi kulipa.
 
Asante sana kwa uchambuzi mzuri natumaini Lissu na CDM watafanyia kazi ushauri huu. Watanzania tunahitaji kufunguka akili zetu na kulinda vyama vya upinzani kwani ni muhimu sana katika kubalance mambo la sivyo tutatawaliwa kimabavu.
 
Wale waliongeliwa wamerejeshwa au ameona aibu
 
Kabisa Ni aibu Basi tuombe Mbowe awakilishe sera na ilani ya Chadema Kama mwenyekiti taifa huyu mgombea wake hataki kuiwakilisha kwa wananchi .Tunaomba Mbowe fanya hiyo kazi tafadhali
Mnamuogopa jamaaa hahahaaaa.

Yule ni injini kubwa! Ili mumshinde lazima mjipange au vinginevyo mtumie risasi!
 
Kwa bajeti ipi?
Hahahaaaaa. Mbona mnasemaga hii nchi ni tajiri!! Leo unauliza bajeti ipi!

Ukweli ni kuwa, zaidi ya asilimia 50 ya kodi inatumika kuwalisha mafisadi ya ccm.

Huo ufisadi utakatwa. Mkatafute mashamba ya kulima!
 
Kumbe uko vzr mkuu, ubarikiwe sana!
 
Usiseme sehemu kubwa ya Watanzania.

Hivi wafanyakazi wa umma hapa nchini ni % ngapi?
Acha kuuliza maswali ya kitoto... Kwa miaka mitano hii awamu imeboost vipi suala la ajira? Mfano mwepesi ni walimu wa sanaa kwa miaka mitano wapo bench... Kwa taarifa zako ni awamu pekee ambayo hata sekta binafsi zimeshindwa kuajiri kwa level nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…