Fanya calculation: watu laki tano na kila mtu anategemewa na watu si chini ya watano waliojiandikisha kupiga kura. Hizo ni kura zaidi ya milioni mbili unusu.

YESU NI BWANA.
Hizo ni hesabu hewa.

Hapo unaingelea watu 5 wanaojitambua kwamba wamekaa tu wanamtegemea mtu 1 awaletee chakula?
 
Tukija suala ka hoja na kuzipangilia TL hana mpinzani mbona!? Shida ipo kwa wapiga kura wengi bado hawajielewi kabisa. Elimu nchi hii bado inahitajika sana.
Hili linasikitisha sana na ndio mtaji wao... Umasikini na ujinga wa watz wengi... Haiwezekani serikali ambayo inashindwa kutengeneza mazingira walau upate milo miwili kwa siku bado wanaikimbilia na kubebwa kwenye malori na matrekta... Am flabbergasted kwa kweli...
 
Utalipa, Lisu hajasema atasamehe, mkopo! Lisu amesema ataongeza fursa za mikopo na pia atapunguza riba za mikopo kutoka 15% ya sasa hadi 3%!
But, kasema ukiwa na ajira, mimi sitaitaka ajira wakati wake!
 
Huku kwetu magumashi mengi sana wananchi wanakamuliwa kodi kweli kweli ila huduma za msingi kama afya, maji, elimu n.k zipo hoi bin taabani! Wenzetu kodi kubwa ila unaona zinafanya kazi gani mfano public transport sana sana etc
 
Kapangili nini zaidi ya Kutaja bila kufafanua ni jinsi gani Atawakwamua Watanzania anahisi wako kwenye dimbi la umaskini
Anahisi!!!! Smh.... Kwani hela za kununua midege zilitoka wapi?
 
Ni chizi tu anayeweza amini uongo wa wazi huo wa Lissu
 
It is sad.....
 
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.

- Bima ya afya kwa Watanzania wote.

- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.....
Kaanza Kampeni Rasmi,kapiga spana za hatariiiiiiii kagusa kona muhimu
 
Mkuuu , ikiwa Lissu atakua Rais, kwa hili la leo

Ni wazi tunaenda kushuhudia kwa mara ya kwanza Tanzania Maendeleo ya mtu mmoja mmoja na Taifa kwa Ujumla.
 
Ila kitu ambacho Chadema wanatakiwa wakishugulikie haraka Lissu asichelewe kuongea maana muda una kua mdogo na mambo mengi mkutano mwingine aanze kuongea saa 9 ikiwezekana kama atakua na pumzi akichoka apewe wa kumsaidia.
Kabisa wengi tumeondoka tukiwa bado na kiu
 
Kusema ni rahisi.
===

Ningependa kujua mikakati atakayotumia kufanikasha ahadi hizi! Huku serikali yake ya kufikirika ikiweza kutimiza majukumu yake! Kama kuna mahali amefafanua haya naomba link ya chanzo cha habari hiyo.

Karibu.
Nyie watu headache kweli kwani 2015 uliambiwa ni vipi midege mtainunua na leo mmesema mnaleta mengine matano! We're blessed with abundance of resources is just matter of implementation/execution of the said covenant.
 
But, kasema ukiwa na ajira, mimi sitaitaka ajira wakati wake!
Tatizo lipo hapo! Ukiona kwanza kwamba, mkopo ulikusaidia, kupata elimu, na urejeshaji wako utasaidia wengine kupata elimu. Ukaona ni kero, na ukatambua dawa ya kuondokana na hiyo kero ni kulipa, itakujengea discipline.

Ukiwa na nidhamu siyo tu kwamba itakusaidia kulipa deni, itakusaidia kujiendeleza kimaisha, kuwekeza na kadhalika! Ila hiyo mentalit ya kuwepa majukumu, utakufa masikini, na utaacha urithi huo huo duniani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…