Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Utalipa, Lisu hajasema atasamehe, mkopo! Lisu amesema ataongeza fursa za mikopo na pia atapunguza riba za mikopo kutoka 15% ya sasa hadi 3%!Kama Lissu atapita kwenye uraisi
Siwezi kulipa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utalipa, Lisu hajasema atasamehe, mkopo! Lisu amesema ataongeza fursa za mikopo na pia atapunguza riba za mikopo kutoka 15% ya sasa hadi 3%!Kama Lissu atapita kwenye uraisi
Siwezi kulipa.
Hizo ni hesabu hewa.Fanya calculation: watu laki tano na kila mtu anategemewa na watu si chini ya watano waliojiandikisha kupiga kura. Hizo ni kura zaidi ya milioni mbili unusu.
YESU NI BWANA.
Hili linasikitisha sana na ndio mtaji wao... Umasikini na ujinga wa watz wengi... Haiwezekani serikali ambayo inashindwa kutengeneza mazingira walau upate milo miwili kwa siku bado wanaikimbilia na kubebwa kwenye malori na matrekta... Am flabbergasted kwa kweli...Tukija suala ka hoja na kuzipangilia TL hana mpinzani mbona!? Shida ipo kwa wapiga kura wengi bado hawajielewi kabisa. Elimu nchi hii bado inahitajika sana.
But, kasema ukiwa na ajira, mimi sitaitaka ajira wakati wake!Utalipa, Lisu hajasema atasamehe, mkopo! Lisu amesema ataongeza fursa za mikopo na pia atapunguza riba za mikopo kutoka 15% ya sasa hadi 3%!
Huku kwetu magumashi mengi sana wananchi wanakamuliwa kodi kweli kweli ila huduma za msingi kama afya, maji, elimu n.k zipo hoi bin taabani! Wenzetu kodi kubwa ila unaona zinafanya kazi gani mfano public transport sana sana etcLissu kaongea vizuri sana. Amegusia shina la matatizo yetu kama nchi. Kwenye elimu amegusa mshipa mkuu wa tatizo: elimu ya kukariri ili kushinda mtihani badala ya kuelimika. Hii elimu ndiyo imemwathiri hata rais wetu wa sasa Magufuli, ana Phd lakini haonyeshi kuwa na akili za kisomi bali za kukariri. Kwenye afya nako amepatia kabisa. Nimekaa Ulaya muda mrefu na ni kweli kabisa bima ya afya ni kitu mihimu na hakuna mwananchi mwenye uwezo wa kulipia matibabu mwenyewe bila kusaidiwa na bima.
Anahisi!!!! Smh.... Kwani hela za kununua midege zilitoka wapi?Kapangili nini zaidi ya Kutaja bila kufafanua ni jinsi gani Atawakwamua Watanzania anahisi wako kwenye dimbi la umaskini
Ni chizi tu anayeweza amini uongo wa wazi huo wa LissuLissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.
- Bima ya afya kwa Watanzania wote.
- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.
- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.....
It is sad.....Hili linasikitisha sana na ndio mtaji wao... Umasikini na ujinga wa watz wengi... Haiwezekani serikali ambayo inashindwa kutengeneza mazingira walau upate milo miwili kwa siku bado wanaikimbilia na kubebwa kwenye malori na matrekta... Am flabbergasted kwa kweli...
TL aendelee kutoa elimu pana wengi wapo gizani...It is sad.....
Kaanza Kampeni Rasmi,kapiga spana za hatariiiiiiii kagusa kona muhimuLissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.
- Bima ya afya kwa Watanzania wote.
- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.....
Mkuuu , ikiwa Lissu atakua Rais, kwa hili la leoLissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.
- Bima ya afya kwa Watanzania wote.
- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.
- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.
- Elimu ya maarifa, kubadili kabisa falsafa ya Elimu. Elimu ya kutatua matatizo ya maisha yao. Big point here Baba.
In General leo sasa umeongea kama Rais.
Viva Lissu, Viva Tanzania yenye Uhuru, haki na maendeleo ya watu.
====
Ni wapuuzi watakaosema hela zitatoka wapi.Tundu Lissu kaongea vizuri mno.Naiona Tanzania yenye neemaKaanza kutangaza sera, sasa utasikia wanakuja na hoja nyingine nyepesi kama hizo fedha atatoa wapi, n.k .Subirini kuwasikia MATAGA.
Uongo wake uko wapi. Ni kipi alichokisema ambacho hakiwezekani.Ni chizi tu anayeweza amini uongo wa wazi huo wa Lissu
Kabisa wengi tumeondoka tukiwa bado na kiuIla kitu ambacho Chadema wanatakiwa wakishugulikie haraka Lissu asichelewe kuongea maana muda una kua mdogo na mambo mengi mkutano mwingine aanze kuongea saa 9 ikiwezekana kama atakua na pumzi akichoka apewe wa kumsaidia.
Nyie watu headache kweli kwani 2015 uliambiwa ni vipi midege mtainunua na leo mmesema mnaleta mengine matano! We're blessed with abundance of resources is just matter of implementation/execution of the said covenant.Kusema ni rahisi.
===
Ningependa kujua mikakati atakayotumia kufanikasha ahadi hizi! Huku serikali yake ya kufikirika ikiweza kutimiza majukumu yake! Kama kuna mahali amefafanua haya naomba link ya chanzo cha habari hiyo.
Karibu.
Tatizo lipo hapo! Ukiona kwanza kwamba, mkopo ulikusaidia, kupata elimu, na urejeshaji wako utasaidia wengine kupata elimu. Ukaona ni kero, na ukatambua dawa ya kuondokana na hiyo kero ni kulipa, itakujengea discipline.But, kasema ukiwa na ajira, mimi sitaitaka ajira wakati wake!
Mishahara unafikiri ni sekta ya umma pekee yake? Biashara zikiwa mbovu hata sekta binafsi mishahara haipandi.Usiseme sehemu kubwa ya Watanzania.
Hivi wafanyakazi wa umma hapa nchini ni % ngapi?
Hakika hata mimi nimejiuliza sana hili.Wewe dada mdadisi, umeshajiuliza kwa nini Online TV hazizoom wananchi bali zinazoom jukwaa la wahutubiaji tu?