Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Fanya calculation: watu laki tano na kila mtu anategemewa na watu si chini ya watano waliojiandikisha kupiga kura. Hizo ni kura zaidi ya milioni mbili unusu.

YESU NI BWANA.
Hizo ni hesabu hewa.

Hapo unaingelea watu 5 wanaojitambua kwamba wamekaa tu wanamtegemea mtu 1 awaletee chakula?
 
Tukija suala ka hoja na kuzipangilia TL hana mpinzani mbona!? Shida ipo kwa wapiga kura wengi bado hawajielewi kabisa. Elimu nchi hii bado inahitajika sana.
Hili linasikitisha sana na ndio mtaji wao... Umasikini na ujinga wa watz wengi... Haiwezekani serikali ambayo inashindwa kutengeneza mazingira walau upate milo miwili kwa siku bado wanaikimbilia na kubebwa kwenye malori na matrekta... Am flabbergasted kwa kweli...
 
Utalipa, Lisu hajasema atasamehe, mkopo! Lisu amesema ataongeza fursa za mikopo na pia atapunguza riba za mikopo kutoka 15% ya sasa hadi 3%!
But, kasema ukiwa na ajira, mimi sitaitaka ajira wakati wake!
 
Lissu kaongea vizuri sana. Amegusia shina la matatizo yetu kama nchi. Kwenye elimu amegusa mshipa mkuu wa tatizo: elimu ya kukariri ili kushinda mtihani badala ya kuelimika. Hii elimu ndiyo imemwathiri hata rais wetu wa sasa Magufuli, ana Phd lakini haonyeshi kuwa na akili za kisomi bali za kukariri. Kwenye afya nako amepatia kabisa. Nimekaa Ulaya muda mrefu na ni kweli kabisa bima ya afya ni kitu mihimu na hakuna mwananchi mwenye uwezo wa kulipia matibabu mwenyewe bila kusaidiwa na bima.
Huku kwetu magumashi mengi sana wananchi wanakamuliwa kodi kweli kweli ila huduma za msingi kama afya, maji, elimu n.k zipo hoi bin taabani! Wenzetu kodi kubwa ila unaona zinafanya kazi gani mfano public transport sana sana etc
 
Kapangili nini zaidi ya Kutaja bila kufafanua ni jinsi gani Atawakwamua Watanzania anahisi wako kwenye dimbi la umaskini
Anahisi!!!! Smh.... Kwani hela za kununua midege zilitoka wapi?
 
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.

- Bima ya afya kwa Watanzania wote.

- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.

- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.....
Ni chizi tu anayeweza amini uongo wa wazi huo wa Lissu
 
Hili linasikitisha sana na ndio mtaji wao... Umasikini na ujinga wa watz wengi... Haiwezekani serikali ambayo inashindwa kutengeneza mazingira walau upate milo miwili kwa siku bado wanaikimbilia na kubebwa kwenye malori na matrekta... Am flabbergasted kwa kweli...
It is sad.....
 
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.

- Bima ya afya kwa Watanzania wote.

- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.....
Kaanza Kampeni Rasmi,kapiga spana za hatariiiiiiii kagusa kona muhimu
 
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.

- Bima ya afya kwa Watanzania wote.

- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.

- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.

- Elimu ya maarifa, kubadili kabisa falsafa ya Elimu. Elimu ya kutatua matatizo ya maisha yao.
Big point here Baba.

In General leo sasa umeongea kama Rais.

Viva Lissu, Viva Tanzania yenye Uhuru, haki na maendeleo ya watu.

====
Mkuuu , ikiwa Lissu atakua Rais, kwa hili la leo

Ni wazi tunaenda kushuhudia kwa mara ya kwanza Tanzania Maendeleo ya mtu mmoja mmoja na Taifa kwa Ujumla.
 
Ila kitu ambacho Chadema wanatakiwa wakishugulikie haraka Lissu asichelewe kuongea maana muda una kua mdogo na mambo mengi mkutano mwingine aanze kuongea saa 9 ikiwezekana kama atakua na pumzi akichoka apewe wa kumsaidia.
Kabisa wengi tumeondoka tukiwa bado na kiu
 
Kusema ni rahisi.
===

Ningependa kujua mikakati atakayotumia kufanikasha ahadi hizi! Huku serikali yake ya kufikirika ikiweza kutimiza majukumu yake! Kama kuna mahali amefafanua haya naomba link ya chanzo cha habari hiyo.

Karibu.
Nyie watu headache kweli kwani 2015 uliambiwa ni vipi midege mtainunua na leo mmesema mnaleta mengine matano! We're blessed with abundance of resources is just matter of implementation/execution of the said covenant.
 
But, kasema ukiwa na ajira, mimi sitaitaka ajira wakati wake!
Tatizo lipo hapo! Ukiona kwanza kwamba, mkopo ulikusaidia, kupata elimu, na urejeshaji wako utasaidia wengine kupata elimu. Ukaona ni kero, na ukatambua dawa ya kuondokana na hiyo kero ni kulipa, itakujengea discipline.

Ukiwa na nidhamu siyo tu kwamba itakusaidia kulipa deni, itakusaidia kujiendeleza kimaisha, kuwekeza na kadhalika! Ila hiyo mentalit ya kuwepa majukumu, utakufa masikini, na utaacha urithi huo huo duniani!
 
Back
Top Bottom